mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuwa mwanaume usiyekera wanaume wenzako

    1. Ukija kijiweni au pub au kwenye nyama choma acha zile stori za sijui umesoma wapi hadi wapi, sijui una madigirii mangapi. Piga stori nyingine, mbona ziko nyingi tu. Kujielezea sana shule yako ni ushamba fulani hivi,dizaini kama hujiamini so lazima ujivishe nyota. Unaboa. 2. Tembea na keshi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Matembezi ya mikono ya mwanaume kwenye mwili wa mke wake

    Una mke wako ambaye umeishi naye kwa miaka kadha hadi sasa. Je ni sehemu gani za mwili wake ambazo alama za viganja vyako (fingerprint) zikitafutwa hazitaonekana? (Sitarajii kutajwa sehemu za ndani ya mwili kama maini, figo, utumbo, nk.)
  3. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kwa matendo haya, sasa naamini mimi ni mwanaume wa ukweli!

    1. Kuna siku nlikuwa naitwa na mwaamke niende kwake nikamle, na wakati huo huo kuna jamaa yangu anajisikia vibaya kanipigia simu yupo home. Nlikataa kwenda kwa mwanamke nikaenda kwa jamaa kumchukua na kumpeleka hospitali. Uamuzi huu umenipa sifa sana kwa kweli. 2. Kuna kipindi dada mmoja...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kama kweli jamaa anajiamini yeye ni mwanaume kweli afanye hivi

    Kama kweli anajiamini yeye ni kidume asijifiche ajichanganye hadharani kama zamani. Aende sokoni kama kariakoo. Asitumie sana usafiri binafsi. Asijifiche jifiche. Hapo nitamuamini jamaa kweli mwanaume. Ila kwa wabongo wanavyokera utasikia huyooo huyoooo kachapiwaaa huyooo huyoo kagongewa. Yaani...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ipo sababu moja tuu itakayomfanya mwanaume amsamehe mkewe endapo atamfumania akiwa kwenye tukio

    Anaandika, Robert Heriel Vijana muache ubishi na ujuaji, oooh mimi siwezi msamehe mke wangu endapo nitamfumania amelala na njemba nyingine, hayo utayasema ukiwa timamu, unajiweza na nguvu za kutosha. Mwanamke msaliti hata Shetani hawezi kumsamehe achilia mbali Mungu mwenye wivu mkali mno...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini mara nyingi mwanaume ukimhudumia sana mwanamke lazima upigwe na kitu kizito?

    Utakuta mwanaume uko vizuri kipesa, unamuona mdada unampenda, ila amepauka kwa umaskini. Unajitoa kumhudumia kipesa kwa hali na mali, hadi mdada ananawiri, ila atakachokuja kukulipa huyo binti, ni heri tu angekuambia tuachane. Niliona makala YouTube, mdada mmoja wa Kifilipino alimuua mume wake...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukifanya kazi hizi wanawake lazima wakupende

    1. Uhasibu 2. Bank 3. Urubani 4. Udaktari 5. Uaskari 6. Mfanyabiashara
  8. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Mwanaume akutongoze, kisha umfuate kwake kumkanya, kweli ulisikia wapi?

    Hii script inazidi kuwa unbelievable and untrustable zaidi ya bongo muvies zetu. Kitendo cha mwanamke ambaye ni Mamq Mchungaji kutumiwa meseji za mapenzi na Katibu wa Kanisa lao kisha ati amchukue mmama mwingine haraka haraka na kwenda kwa huyo Katibu kwenda kumuambia aache, badala ya kutoa...
  9. X-Agent

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kamili utapanda hizi ngazi kwa style gani?

  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo mwanaume unatakiwa na hutakiwi kufanya kwenye mawasiliano ya simu

    1. Usipige simu ikaita hadi ikakata. Huko ni kujikosea heshima. Labda uwe unapigia wazazi. 2. Usimpigie mwanaume mwenzako video call. Labda iwe kuelekeza kazi. 3. Isipigepige simu sana, pia usipige simu ukiwa na shida tu. 4 .........
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa hakuna mwanaume aliyevunja rekodi ya mahari ya Adamu kwa Eva

    Adam ndiye mwanaume aliyeoa kwa mahari kubwa kuliko mwanaume mwingine yeyote tangu dunia kuumbwa. Imagine alitoa mbavu zake ili kumpata Eva! Halafu hawa "ng'ombe" wa siku hizi wakipangiwa mahari ya milioni 5 tu wanalalamika utadhani wamekatwa kichwa. Hakuna wanaume siku hizi.
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania JKCI: Mwanaume anatakiwa kunywa Bia 2 na mwanamke Bia 1 tu kwa siku

    MWANAUME anatakiwa kunywa uniti mbili za bia sawa na chupa mbili wakati mwanamke anapawa kunywa unit moja ambayo ni sawa na chupa moja ili kuepuka magonjwa yasiyo ambukiza ikiwemo Moyo. Hayo yamesemwa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Tatizo...
  13. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania X wangu anataka turudiane ila mimi ni mwanaume mwenye msimamo sana

    Wadau habari za muda huu poleni na majukumu na Mungu awabariki katika kazi zenu za mikono. Twende kwenye mada moja kwa moja, kuna mwanamke mmoja mwenye miaka 34 hivi, hajaolewa, mtoto wa Kikurya, tulikutana naye nikamtumia rafiki yake kumtongoza kama utani tuu akakubali. Basi tukawa wapenzi...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kumbe yawezekana mwanaume kutokuchepuka kabisa

    Naomba nitoe ushuhuda wa huyu rafiki yangu..ana miaka minne kwenye ndoa now..jana nilikuwa kwenye maongezi nae akanieleza Jambo la kustaajabisha sana. Alinieleza ni tokea atoke kanisani hajawahi kugusa mwanamke mwingine nje ya mke wake. Tukamuuliza swali: Umekunywa pombe au mzima...
  15. Dr. Mariposa

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

    Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji mwanaume wa kunipa ujauzito kwa makubaliano kua huyo Mtoto atakua wa kwangu peke yangu, Niliwahi kuja hapa na kutoa ushuhuda kua ninajihusisha na mapenzi ya jinsi moja, nilipata shauri mbali mbali wengi walinambia niende kanisani na wengine walinambia...
  16. kilamba lamba

    JamiiForums Tanzania Unamuogopa mwanamke au mwanaume wa aina gani kwenye mahusiano?

    Habarini wanajamvi, natumai ni wazima wa afya. Kama mada inavyosema. Kwa upande wako unamuogopa au hupendi kuingia kwenye mahusiano na mwanamke au mwanaume gani? Kwa upande wangu mwanamke muongo muongo dah, ananikata stimu kabsa yaani. Niliwahi kutoka na mwanamke miaka mitatu kumbe...
  17. Equation x

    JamiiForums Tanzania Familia isiyokuwa na mwanaume (baba) huwa inapwaya.

    Mwanaume ni kiongozi wa familia, hii ni kutokana na asili ya uumbaji. Kuna kipindi, mwanamke lazima amtegemee mwanaume, iwe ni kwenye kufikiria au kutoa maamuzi. Kwa wale ambao hawaishi na wanaume, wanalijua vizuri gepu lililopo hasa pale mwanaume asipokuwa katika maisha yao. Ndio maana...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila Mwanaume ana Nyota ( Upepo ) wa Kuwapata tu Wanawake wa Mikoa fulani, ila mingine hata afanyeje huwakosa?

    Mikoa ya Wanawake wenye bahati ( upepo) nao ni wa Mikoa hii tu ifuatayo...... 1. Iringa 2. Ruvuma 3. Tanga Mikoa ambayo Kudadadeki hata nifanyeje iwe kwa Kudanganya ( Sound ) au hata nimaanishe ( niwe Serious ) hata kwa Kutoa / Kutanguliza Pesa siwapati na hata ikitokea nimewapata siusikii...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike

    Mimi ni mwanaume umri 37 ni mwl natafuta mschana awe anajipenda na kujiheshimu nipo Dar es salaam 0689104184 siyo uchumba kuoa
  20. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Mwanaume unapotoa pesa za maelezi hakikisha watoto wanajua lasivyo hawataona umuhimu wako na kudhani mama yao ndie anaekamilisha kila kitu

    Walengwa: 1. baba alietengana na mzazi mwenzake ila anaendelea kutuma pesa ya matumizi ya mtoto 2. Baba ambae anaishi nyumba moja na familia yake lakini anampa mke wake pesa ya chakula cha familia , mavazi, elimu, n.k bila watoto kujua. aliotengana na ambao wanakuwa nje ya nyumba kikazi kwa...
Back
Top Bottom