Iran: Aliyeishi miaka 54 bila kuoga afariki dunia

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,751
48,393
Mwanaume wa Iran ambaye ameishi zaidi ya miaka 50 bila kuoga, hatimaye ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 94, ila huko huko Iran, mwanamke aliuawa kisa kipande cha nywele kilijichomoza kwenye ushungi....

An Iranian man nicknamed the "dirtiest man in the world" for not taking a shower for decades has died at the age of 94, state media reported on Tuesday.

Amou Haji, who did not wash for more than half a century and was single, died on Sunday in the village of Dejgah in the southern province of Fars, IRNA news agency reported.

Haji had avoided showering over fears of "getting sick", the agency quoted a local official as saying.
But "for the first time a few months ago, villagers had taken him to a bathroom to wash," IRNA reported. ;

A short documentary film titled "The Strange Life of Amou Haji" was made about his life in 2013, according to Iranian media outlets.

MSN
 
Kwa hiyo hapo msaafu hausemi chochote na kwa nini sasa walimkogesha.

Dini zimefuata sana mila za waliozileta na utakuta kiukweli matakwa ya Mungu kwenye hizo dini haizidi hata asilimia 20 mengine yote ni matakwa ya watu na tamaa zao.

Mungu kwa kujua hilo ndio maana yeye ana shida na roho yako tu, huo mwili wako unaosumbua watu na kuwawangisha kichwa wala yeye hana muda nao.
 
habari za kuungaunga tu za kutaka tu kutarnish image..btw naskiaga waajemi wamewashika pabaya watu fulani huko. yani ni tafrani kwa drones tu..sasa muajemi akifungua full package watu si wata-poo tikitimaji?
 
jina lako linasadifu unyumb wako kichwan , nlitegemea utetee kuwa kutokuoga ni sawa tu ila kuacha nywele waz kwa mwanamke ni kosa , na ungetoa sabab ila kwa akili zako fupi ata Iran.wakimlawit ndug yako utasema tunakuchonishen na mabashah zenu
 
Mbona wanaume tunauwana kila siku tena kwakosa dogo tu hamsemi
"Muda huu tupo na Iran juu ya usawa wa kijinsia kwenye misingi ya dini inavyowataka , "huez tatua tatizo kwa kuwa hutulii na mada moja , wakisema URUSI NA UKRAINE BAS UNAITAJA USAA , IKITAJWA USA BAS UNAITAJA IRAN IKITAJWA ISRAEL BASI UNAITAJA UTURUKI HATUENDI HIVYO JADILI MADA MOJA UMALIZE HAYO MENGINE YALETE KWENYE SEHEMU NA MUDA WAKE
 
Nadhani elimu ya mapokeo inaweza pokelewa vibaya. Hasa hasa hizi elimu za dini ukiangalia Kila Jambo ni baya. Mfano for us Christian ukimtamani mwanamke ushazini nae, sasa hapo sio sawa manake umembaka😬😬
 
jina lako linasadifu unyumb wako kichwan , nlitegemea utetee kuwa kutokuoga ni sawa tu ila kuacha nywele waz kwa mwanamke ni kosa , na ungetoa sabab ila kwa akili zako fupi ata Iran.wakimlawit ndug yako utasema tunakuchonishen na mabashah zenu
jina lipi hilo we kenge uliotoroka mirembe?
 
Back
Top Bottom