Mwanaume kamili hakikisha unakuwa addicted na mojawapo wa vitu vifuatavyo!

Raymanu KE

JF-Expert Member
Jan 20, 2022
6,806
12,564
Addiction Ni kitu ambacho kamwe hakiwezi epukika katika Karne hii ya 21.In one way or the lazima kila mwanadamu especially wanaume atakuwa addicted na mojawapo ya vitu vifuatavyo;

1.Betting & gambling
2.Keyboard warrior( internet)
3.Masterbation( punyeto & kujichua)
4.Sigara/ bangi/shisha
5.Pombe
6.Ngono

Binafsi nipo addicted Sana na kubet mikeka,Yaani kwa wiki ninaweza bet Mara 5,sema kushinda hela yenywewe ndio kazi😂
Afu pia nipo addicted na internet,Yaani Mimi ni keyboard warrior hatari Sana.Ni Bora nikose mengine yote Ila nisikose hela ya kuunga bundle kwenye simu ili nibrowse.

Kwa Kama wewe Ni njemba kamili afu haupo addicted na mojawapo ya vitu nilivyovitaja hapo juu Basi jiongeze haraka usikae kizembe bana.Tafuta kitu Cha kuwa addicted nacho bana😂

Kwa ambayo tayari mko addicted chama lako no gani hapo juu?
 
Nipo addicted na Kujifunza aseh ... Kwenye hiyo list yako nauhusudu msuba pekee

*TUNAMOKA ILI KUSAFIRI KIHISIA *

FID Q-Sumu
 
Addiction Ni kitu ambacho kamwe hakiwezi epukika katika Karne hii ya 21.In one way or the lazima kila mwanadamu especially wanaume atakuwa addicted na mojawapo ya vitu vifuatavyo;

1.Betting & gambling
2.Keyboard warrior( internet)
3.Masterbation( punyeto & kujichua)
4.Sigara/ bangi/shisha
5.Pombe
6.Ngono

Binafsi nipo addicted Sana na kubet mikeka,Yaani kwa wiki ninaweza bet Mara 5,sema kushinda hela yenywewe ndio kazi😂
Afu pia nipo addicted na internet,Yaani Mimi ni keyboard warrior hatari Sana.Ni Bora nikose mengine yote Ila nisikose hela ya kuunga bundle kwenye simu ili nibrowse.

Kwa Kama wewe Ni njemba kamili afu haupo addicted na mojawapo ya vitu nilivyovitaja hapo juu Basi jiongeze haraka usikae kizembe bana.Tafuta kitu Cha kuwa addicted nacho bana😂

Kwa ambayo tayari mko addicted chama lako no gani hapo juu?
Mtazamo tu huo
 
Addiction Ni kitu ambacho kamwe hakiwezi epukika katika Karne hii ya 21.In one way or the lazima kila mwanadamu especially wanaume atakuwa addicted na mojawapo ya vitu vifuatavyo;

1.Betting & gambling
2.Keyboard warrior( internet)
3.Masterbation( punyeto & kujichua)
4.Sigara/ bangi/shisha
5.Pombe
6.Ngono

Binafsi nipo addicted Sana na kubet mikeka,Yaani kwa wiki ninaweza bet Mara 5,sema kushinda hela yenywewe ndio kazi
Afu pia nipo addicted na internet,Yaani Mimi ni keyboard warrior hatari Sana.Ni Bora nikose mengine yote Ila nisikose hela ya kuunga bundle kwenye simu ili nibrowse.

Kwa Kama wewe Ni njemba kamili afu haupo addicted na mojawapo ya vitu nilivyovitaja hapo juu Basi jiongeze haraka usikae kizembe bana.Tafuta kitu Cha kuwa addicted nacho bana

Kwa ambayo tayari mko addicted chama lako no gani hapo juu?
Biblia inasema muwe na kiasi any addiction ni dhambi tu kama ulafi, uroho nk nk. Hakuna mwanaume wa hivyo hao ni wapumbavu tu
 
Gambling ina hela zangu nyingi sana naidai.
Kwenye list yako najiweka hivi 1, 2, 6.
 
Biblia inasema muwe na kiasi any addiction ni dhambi tu kama ulafi, uroho nk nk. Hakuna mwanaume wa hivyo hao ni wapumbavu tu
Kuwa muwazi mkuu, lazima upo addicted na kitu fulani SEMA tu hujui Kama uko addicted.
 
Back
Top Bottom