Habari za muda huu.
Hizi ndio sheria 9 ambazo kila mwanaume inabidi asijue!
1. Mwanaume inabidi uweze ku control hisia zako.
2. Mwanaume inabidi uwe na uwezo kwa kuchanganua mambo kwa kutumia logic.
3. Mwanaume inabidi awe na uwezo wa kucontrol hasira zake.
4. Mwanaume hutakiwi kujieleza...
Habarini wakuu nimekuwa nikifikiri deepdown kwa muda mrefu,
● Hivi mfumo wa ndoa kwa hapa Tanzania ni kama family ya kike inamuuza mtoto wa kike kwa mwanaume but wameifanyia camouflage iitwe kwa MAHALI
● Pili sidhani kama Mungu analiafiki hilo maana hata maandiko hakuna sehemu yamebariki hicho...
Dunia ni uwanja wa mapambano; unakuta huyu anataka kuwa na yule, na yule anataka kuwa na huyu.
Sasa kumekuwa na mbinu kwa baadhi ya wanawake tunaotembea nao; siku ya kufanya tendo la ndoa, watakuja na kitambaa, kinaweza kuwa cha taulo au cha aina yoyote ile.
Baada ya kufikia mshindo, atachukua...
Amani iwe kwenu!
Rejea kichwa cha uzi hapo juu. Mwanaume mwenye pesa si wa mwanamke mmoja, si unajua pesa si nywele kila mtu anazo. Usikae hata siku moja ukaamini mwanaume mwenye pesa eti ana true love...
Na siku zote ukiona mwanaume mwenye pesa hana mbamba nyingi yaani hana michepuko na wala...
Sio tu wa kuwaoa, bali hata wachumba, wapenzi au part time men. Na hii ndio sababu kuu ya kwanini wanawake wamejazana makanisani 90℅ kulinganisha na wanaume
Akili za mwanamke zinafikiri kwamba, atakapokutana na mwanaume maeneo hayo ya kanisa, mwanaume huyo hatopata mashaka ama kujiuliza mara...
Inashangaza sana kwa mwanamke mwenye ndoto ya kuolewa na kuitumikia familia yake kuanza kuweka vikwazo kama anavyoviweka huyu binti
Amepata mwanaume ambaye yuko kwenye mstari mnyoofu wa maisha, ana biashara yake ya kukidhi maisha. Halafu anaambiwa aolewe naye anaanza kuleta vigezo vya umri...
Sifa za mwanaume rijali
Lazima ajue kushawishi (kumshawishi wanamke na akuamini)
Lazima atembee kiume; sio kwenda upande upande
Lazima ajue kubeba majukumu
Lazima awe na sauti kwa mkewe/ mpenzi wake
Lazima awe na msimamo
Havai vitu wanavyovaa wanawake
Hafanyi vitu wanavyofanya wanawake
Hakai...
Wanawake tuna nguvu kubwa ambayo hatuithamini na tunaipuuza na kuidharau ndio maana sisi tunaongoza kushinda kwa waganga na kwenye makanisa ya kinabii.
Nguvu hiyo kubwa tuliyonayo ni unyenyekevu. Tukiweza kuwa wanyenyekevu kwa wanaume wetu, na kuwaombea, migogoro inapungua na kutoweka kabisa...
Mwanamke hupenda na kuacha kupenda taratibu.
Ukiachana na mwanamke kicheche au kuwa anakulipizia baada ya wewe kumsaliti, mwanamke mpaka akuache lazima kuna sehemu ulianza kutetereka. Akakuvumilia akiamini utabadilika lakini wapi. Sasa amekuacha unaona ghafla lakini kamwe sio ghafla alianza...
Kwa mujibu wa Sheria ya Kiislam mgawanyo wa urithi uko kama ifuatavyo:
Wajane
hurithi 1/8, Wengi huendelea kutunzwa na watoto wao na nimeona kwa huu mgao unalinda wasiwe na tamaa za kutaka mwanaume afe ilinwapate mali, k
Wazazi
- Wazazi hupewa 1/6 ya salio baada ya kuondoa fungu la...
NI DHANA POTOFU KUSEMA MWANAUME HASIFIWI UZURI. NI AKILI NA KAMPENI ZA KISHETANI.
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani.
Soma Kwa Utulivu. Hizi ni falsafa za Watibeli, Kutoka Nyota yenye mbawa Mbili. Isomwe Kwa hekima Kwa walio na hekima wapate ufahamu.
Zipo kasumba nyingi Mbaya katika jamii zetu...
Lile jambo tunafanya wote na kuna wakati mwanaume huzidiwa kabisa ila ni nadra sana kumkuta mdada au mama anajisifu juu ya game.
Sio hivyo tu Kuna wakati hata katika stori za kawaida mdada au mama akisema huyo dada fulani au mama fulani si wamfanye tu Hadi akome. Ila haisemwi hivyo kwa jinsia...
Daaaaah! Usiku wa juzi kuamkia jana kumetokea tukio nikiwa uku Serengeti aisee jamani usiombe yakukute, kuna dada mume wake yupo Shinyanga ameenda kutafuta maisha mke kamuacha Serengeti kijiji cha mbalibali ambapo ndio nilikuwepo, sasa uku kijijini uyu dada ana mahusiano ya kimapenzi na jamaa...
Bwana Saidi mkazi wa Jijini Tanga anaelezea alivyonyanyasika na mkewe ambaye kwa sasa amemuacha na kuivunja ndoa yao kwa Kadhi. Huku bado manyanyaso hayo yakiendelea baada ya mkewe kutaka nyumba waliokuwa wakiishi iuzwe wagawane mali.
Majirani wamesema mwanaume huyo alikuwa akimpenda mkewe hadi...
Mwanaume mwenye thamani mara nyingi hupata anachokitaka.
Maana ya mwanaume wa thamani ni mwanaume ambaye ana mvuto wa kimapenzi kwa wanawake na pia wanaume wanataka kuwa kama yeye au wanamuangalia kama kiongozi. Watu hupenda kuwa karibu naye na kumsaidia. Ili na wao wapate kitu toka kwake.
Hivyo...
Ndugu zangu wakati huu nahitajika nitoe majibu kwa kijana wangu, anapitia wakati mgumu.
Ana mpenzi wake anampenda kwa dhati, wamebarikiwa kupata mtoto. Tatizo lilipo sasa, anashindwa kufanya mapenzi na huyu binti maana yupo kipindi cha kunyonyesha.
Binti anahitaji mapenzi ila kijana...
PESA NA MWANAUME 👈
...
Kuna pesa na Mwanaume |✍
Ukiona mwanamke anakuletea dharau tambua yuko na Mwanaume au yuko na pesa 👈
...
Mwanamke hawezi kuwa na dharau kama hakuna anayemshika masikio! Kama hakuna anayemshika masikio jua anamiliki kiasi fulani cha pesa so wew kama ulikuwa nae anakuona we...
Hivi mwanaume mzima halafu ukiwa kwa masela unajiita wewe ni mwanaume shababu halafu kutwa mapenzi yanakuendesha balaa huo si umbumbu? na ujinga? na ukichaa wa hali ya juu yaani mimi nikiona wanaume wa type hiyo natamani hata kuwapiga makofi hivi unaacha kuwaza pesa unawaza hawa ma slay queen...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.