Daaaaah! Usiku wa juzi kuamkia jana kumetokea tukio nikiwa uku Serengeti aisee jamani usiombe yakukute, kuna dada mume wake yupo Shinyanga ameenda kutafuta maisha mke kamuacha Serengeti kijiji cha mbalibali ambapo ndio nilikuwepo, sasa uku kijijini uyu dada ana mahusiano ya kimapenzi na jamaa...
Bwana Saidi mkazi wa Jijini Tanga anaelezea alivyonyanyasika na mkewe ambaye kwa sasa amemuacha na kuivunja ndoa yao kwa Kadhi. Huku bado manyanyaso hayo yakiendelea baada ya mkewe kutaka nyumba waliokuwa wakiishi iuzwe wagawane mali.
Majirani wamesema mwanaume huyo alikuwa akimpenda mkewe hadi...
Mwanaume mwenye thamani mara nyingi hupata anachokitaka.
Maana ya mwanaume wa thamani ni mwanaume ambaye ana mvuto wa kimapenzi kwa wanawake na pia wanaume wanataka kuwa kama yeye au wanamuangalia kama kiongozi. Watu hupenda kuwa karibu naye na kumsaidia. Ili na wao wapate kitu toka kwake.
Hivyo...
Ndugu zangu wakati huu nahitajika nitoe majibu kwa kijana wangu, anapitia wakati mgumu.
Ana mpenzi wake anampenda kwa dhati, wamebarikiwa kupata mtoto. Tatizo lilipo sasa, anashindwa kufanya mapenzi na huyu binti maana yupo kipindi cha kunyonyesha.
Binti anahitaji mapenzi ila kijana...
PESA NA MWANAUME 👈
...
Kuna pesa na Mwanaume |✍
Ukiona mwanamke anakuletea dharau tambua yuko na Mwanaume au yuko na pesa 👈
...
Mwanamke hawezi kuwa na dharau kama hakuna anayemshika masikio! Kama hakuna anayemshika masikio jua anamiliki kiasi fulani cha pesa so wew kama ulikuwa nae anakuona we...
Hivi mwanaume mzima halafu ukiwa kwa masela unajiita wewe ni mwanaume shababu halafu kutwa mapenzi yanakuendesha balaa huo si umbumbu? na ujinga? na ukichaa wa hali ya juu yaani mimi nikiona wanaume wa type hiyo natamani hata kuwapiga makofi hivi unaacha kuwaza pesa unawaza hawa ma slay queen...
Hapa naongelea mwanamke ambaye ulikua naye vizuri lakini sasa analeta jeuri. Ila kama mwanamke ana hulka ya ujeuri, huyo hakuna haja ya kupasua kichwa.
.
Mwanaume kuwa dhaifu baada ya muda. Mara chache mwanamke atakuambia umekua dhaifu, hivyo njia rahisi kwao ni kuleta ujeuri wakiwa na matumaini...
Wanawake bwana wao huwa wanaambiana vistory vya kweli wao kwa wao. Hata mwanaume ukimkuna vizuri lazima akawasimulie wanawake wenzake. Hawa wenzetu hawawezi kutunza siri hasa kama kuna kitu kimempendeza wanapenda kushare na wenzao.
Ni single mama mmoja alikuwa na watoto wawili baada ya kukaa...
Zijue tofauti mbali mbali Kati ya wanaume masikini na wanaume matajiri.
1.ulaji; siku zote kula ya mwanaume wa kitajiri kamwe haifanani na kula ya mwanaume wa kimaskini.Hapa sizungumzii uwezo wa kipesa wa mtu, Bali nazungumzia ulaji wenyewe haswaa.
Yaani mwanaume wa kimaskini huwa na tabia ya...
Kubali ukatae,haijalishi walikufanyia nn kibaya.....lakini wanaume wa kisukuma ni wanaume Bora,Wana utu.....kitu ambacho hawajajaaliwa kabisa ni dharau na kitu walichojaaliwa kabisa ni upendo wa kweli.Hivyo kwako mwanamke mwenzangu ukimpata mwanaume wa kisukuma ana pesa nenepa,mpende na...
Nikosa kubwa mwanamke kumtawala mwanaume na Mungu amekataa hili, soma 1timotheo2:12 (Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha Wala kumtawala mwanaume). Je, waislamu maandiko yenu yanasemaje kuhusu hili?
Wanawake wa sasa hawalitii hili agizo la Mungu wanalazimisha wawe sawa na wanaume na ni kitu...
Wanaume tunapozeeka tunarudi kuwa watoto,
Wanaume husema "men age like a wine" wakiamini kua kadri wanavyokua ndivyo wanakuwa na mvuto zaidi kwa kuwa wanajijenga kiuchumi, ila ukweli ni kuwa kadri mwanaume anavyokua ndio anakuwa na uhitaji wa ndoa zaidi( kuwa na mwanamke atakayemjali.)
Huwa...
Hawa viumbe wamenishinda tabia kabisa! Eti kazi Gani unafanya? Inakuhusu Nini? Taarifa zangu za kazi anazijua mke wangu na watoto wangu labda na wazazi !!wewe husna wa tabata na ashura wa tandale ambae tumekutana bar unataka kazi yangu Yanini? Embu tupumzisheni!
Na maswali yenu ya kipuuzi...
TEAM NDOA VS TEAM USIOE
Mjadala huu mkali umeshika kasi huku kila upande ukitoa sababu zake! Kabla hujaamua uunge mkono upande upi ni vyema ukajitafakari na kuona Kama uamuzi wako binafsi una mantiki na manufaa kwako.
NDOA NI KWA AJILI YA NANI?
Ukipata majibu ya swali hili utaelewa maana...
Wanaume tumejaliwa vitu vingi unique kwa upande wetu ila hatuvioni. Sisi pia ni Cake.
Wanaume wengi tunateseka sababu ya kujirahisisha kwa wanawake na kuwaona wao ni Cake kumbe ni ushenzi wa nyegez tu.
Kichwa cha juu kiwe chepesi kufikiri zaidi kuliko kulaza akili na starehe kwenye kichwa cha...
Assalaam Alleykum.
hakuna ubishi wowote kuwa mwanaume na mwanamke ni sawa kama binadamu na haki zao za kifamilia zinapaswa kuwa sawa kithamani. Kwa sababu wao wote ni binadamu na hivyo wana haki sawa.
Nukta inayopaswa kuangaliwa hapa ni kuwa mwanaume na mwanamke, kwa sababu ya tofauti zao za...
Sasa hivi nchi imetulia tulii kama kama maji, hakuna mashindano, hakuna ari ya kutaka kuwa wa kwanza na kuwazidi wengine, hata washindani wa Tanzania kama Kenya wame relaxed na kupumua kwani hakuna mikiki mikiki ya ushindani wanapata kila wanachokitaka.
Hiyo ndiyo tofauti kubwa kati ya Mwanamke...
Mwana saikolojia wa kimarekani, Profesa Reek amechapisha matokeo ya utafiti wake juu ya mwanaume na mwanamke katika kitabu kikubwa. Anasema: Ulimwengu wa mwanaume ni tofauti kabisa na ule wa mwanamke. Ikiwa mwanamke hawezi kufikiri au kufanya mambo kama mwanaume, ni kwa sababu wanaishi katika...
Malaya, ni mwanamke, anafanya na nani huo umalaya? Mwanaume, sasa kwanini hatajwi?
Usiache mwanamke mchawi aishi. Heeee, yaani wachawi ni wanawake tu, wachawi wananaume kwanini wanapewa haki ya kuishi?
Bongo ukitaja ujambazi mkubwa kabisa, utaambiwa ni ule wa Sarah Simbaulanga. Mabenki na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.