mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Okrap

    JamiiForums Tanzania Njia nyepesi ya kumfukuza mwanaume

    Muombe hela tu mwanaume akikutongoza wewe umtaki muombe hela tu akikutumia uyo kweli anakupenda nakuganda 🤗🤗🤗 napenda pesa jaman ukija kwangu unatakiwa uwe mvumilivu na kibunda pia
  2. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Nimepata kuamini kuwa, hakuna mwanaume anayekula mke wa mtu kwa kudhamiria

    Wiki iliyopita nilikutana na mwanamke niliyefahamiana zamani sana, tena utotoni kabisaa, hata ugwadu wa barehe niliumalizia kwake, sio mimi tu, hata na marafiki zangu waliponea kwake na kwa marafiki zake kwa ujumla. Nilikutana nae maeneo ya Sinza Siku iliyofuata alinialika kwake maeneo ya...
  3. Engager

    JamiiForums Tanzania Mwanaume unaemkataza mkeo kufanya kazi unafanya makosa makubwa

    Pengine wewe ni mwajiriwa ama umejiajiri. Unauwezo kifedha. Umemzuia mkeo kufanya kazi kwa sababu wewe unamtimizia haja zake zote kifedha. Unahudumia familia, na yeye as an individual unamhudumia. Pengine zaidi ya hata angefanya hiyo kazi. Kazi kwa maana ya shughuli yoyote inayoweza kumfanya...
  4. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kama huyu anapatikana mkoa gani?

  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanaume anamchoka mwanamke Haraka?

    Macho, pua, masikio, ulimi na Ngozi ya mwili huwa vina tabia ya kuchoshwa na kukinaishwa na kuona, kunusa, kusikia, kuonja na kugusa kitu cha aina moja tu kilekile kukiona, kukinusa, kukisikia, kukionja na kukigusa kila mara kwa muda mrefu. Mfano, mtu huwa anaishangaa na kulipenda vazi jipya...
  6. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mwanamke, Ukipata fursa usiiache kisa mwanaume uliyenaye

    Wanawake ukipata fursa yoyote kwenye maisha yako usiiache eti kisa kuogopa mwanaume au kuwaza kuwa mbali na huyo mwanaume. Wanawake jifunzeni kujiweka wa kwanza kwenye kila kitu kwani hao wanaume hujiweka wao wa kwanza kabla yenu. Ikitokea mwanaume kapata fursa labda ya kusoma au kazi mbali na...
  7. Cute Msangi

    JamiiForums Tanzania Kila mwanaume Jana amempost hakimi

    Jana status zote, comments kumsifia hakimi kwa maamuzi yake Mali zote kuandika jina la mama yake. Hivi nyie mwanaume wa Tanzania mna weza kufanya hivo Kuna kitu hamkijui ngoja niwape Siri ukishaingia kwenye Ndoa tunawaroga mtulie kila nachosema unisikilize huo muda wa kuandika jina la kizee...
  8. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Wanawake tuambieni kuhusu kauli yenu ya ‘Mwanaume hata umpe nini haridhiki’. Hiyo ‘nini’ ni kitu gani?

    Hivi Mwanamke akisema hata Mwanaume umpe umpe nini haridhiki, hiyo ‘nini’ humaanisha kitu gani? Tuambieni hizo nini ni nini basi. Kama hamsemi mtaendelea kuita wanaume wote ni Mbwa.
  9. Okrap

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kutomtegemea Mwanaume

    Kama mwanamke mpaka leo umebweteka unamsubiria mwanaume akuletee hela pole. Hela za wanaume zina manyanyaso sana pamba upate chako ujivunie usikae kumtegemea mwanaume akupe pesa please amkeni. Kuna wanawake mpaka hela ya pedi wanaomba kwa mwanaume ni aibu sana, inatakiwa ata mwanaume asijue...
  10. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Tambua sifa za mwanaume asiye na mvuto wa kimapenzi kwa mwanamke

    Wanaume wenye tabia/ aina hii hupata shida kwenye mapenzi. Wanaishia kuona wanawake ni wagumu/ hawaeleweki. Wanatumia muda mwingi kutaka kumridhisha mwanamke. Au atatumia mali kuficha udhaifu wake. Wanaamini akipata kitu fulani basi hatopata shida tena na wanawake. Anaweza pata mahusiano lakini...
  11. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hupata hisia ya ngono anapomuona mwanaume akiwa mtupu?

    Hivi kibailojia suala hili limekaa vipi? Ni kweli kuwa damu za wanawake huchemka wanapokutana na tupu za wanaume hasa za kushtukiza?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ni hali ya kawaida mwanaume kupenda kumuona mkewe akilia lia kila mara

    Waswahili wanasema mficha maradhi kifo humuumbua.Kuna kipindi hapo nyuma nilimpiga mke wangu vimatukio tukio akawa mtu wa kulia na kutoa machozi kila Mara Mbaya zaidi ameanza kuneneepa kufikia hatua ya ndani ya miezi miwili mitatu naye aanze kuitwa bonge Niwe muwazi wife wangu si mtu wa...
  13. plan z

    JamiiForums Tanzania Mwanaume usisikilize ushauri wa mapenzi kutoka kwa mwanamke

    Habari za siku nyingi wadau! Leo nataka kuwakumbusha wanaume msisikilize ushauri wa mapenzi kutoka kwa mwanamke. Hii ni kwa sababu mwanamke atakushauri kitu ambacho anakipenda yeye lakini kitu hicho hicho ukimfanyia yeye, atapoteza hisia na wewe. Mfano mwanamke anaweza akakushauri kwamba "ili...
  14. Rakims

    JamiiForums Tanzania Wewe ni Mvulana au mwanaume? | Maana halisi ya Umri ni namba

    Wewe ni Mvulana au Mwanaume.? Kuna ukweli mchungu inapokuja kwenye kubadirika kutoka Mvulana kwenda Mwanaume na umri hauhusiani na hilo. Ni ngumu katika kubadirika kutoka Mvulana na kuwa Mwanaume. Lakini pia jamii ya sasa inafanya hili kuwa ni ngumu zaidi. Jamii ya sasa inajaribu...
  15. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Wewe mwanamke unaetaka mwanaume wa peke yako tafuta mwanaume kapuku

    Nasema hivi wewe mwanamke unaetaka kuwa na mwanaume wa peke yako tafuta mwanaume kapuku huyo ndie atakaekusikiliza na kubembeleza. Mimi mwanaume mwenye future sina muda huo 😁😁 ninatafutwa na wengi. Mimi mwanaume mwenye assets na mwenye muonekano mzuri ninapendwa na wengi ukitaka niwe wa peke...
  16. Okrap

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ambaye wanawake wengi tunawapenda

    Mamboo Wanaume mna sifa nyingi ila kuu ni moja ambayo kila mwanamke anataman awe naye ni huyu hapa Mwanaume ambaye anajua kucare. Mwanaume ambaye anajua kupenda yaani anajua nini mwanamke anataka naye ana mtimizia kwa wakati Pia furaha mwanaume ambaye anampa furaha muda mwingi na pia hana...
  17. sanalii

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kupenda wanawake wazuri ni sawa, wanawake kupenda wanaume wenye uwezo ni kosa kwanini?

    Wanaume wanapiga sana kelele kua wanawake wanapenda wanaume wenye pesa/uwezo wa kuwahudumia, lakini kwa nini hatuwasikii wanawake wakilalamika kua wanaume wanapenda wanawake wenye muonekano mzuri? Wanawake wanauwelewa mkubwa sana na nature ya mwanadamu. Kama vile wanaume wanavyopenda wanawake...
  18. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania Mwanaume asiyeweza kujilipia mahari mwenyewe anawezaje kulea familia?

    Nimeona taasisi moja ya kiislam imeazimia kuwalipia mahari wanaume 50 ili kuwawezesha kufunga ndoa. Nikajiuliza maswali kadhaa. 1. Hivi mwanaume kama hauna uwezo wa kulipa mahari unataka ndoa ya nini? 2. Hii taasisi imekaa na kuona namna bora ya kuwainua vijana ni kuwawezesha kuoa? 😀 Angalau...
  19. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya mwanamke na mwanaume nani anatakiwa kubadili dini ili aoe au kuolewa? Na kwanini?

    Naombeni mnisaidie kuna mdada nimempenda anakata kubadili dini anasema nibadili mimi .
  20. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu wa kuwa mwanaume

    Mwanaume unathaminiwa kutokana na uthamani unaotoa kwenye jamii. Harakati zako na mapambano yako vitaonekana vya maana pale tu unapofanikiwa. Lakini kabla ya hapo utaonekana tu kama kijana azururaye. Hakuna atakayekujali sana wakati unapambana kiasi gani. Hakuna atayesema ngoja nichukue...
Back
Top Bottom