Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,663
- 167,602
Malaya, ni mwanamke, anafanya na nani huo umalaya? Mwanaume, sasa kwanini hatajwi?
Usiache mwanamke mchawi aishi. Heeee, yaani wachawi ni wanawake tu, wachawi wananaume kwanini wanapewa haki ya kuishi?
Bongo ukitaja ujambazi mkubwa kabisa, utaambiwa ni ule wa Sarah Simbaulanga. Mabenki na mabenki yameibiwa, majambazi wakuwa wanaume, kamwe hutoyajua majina yao.
Watu kama ni unga, wamekula hadi kusaza, lakini utayasikia majina machache tu, Ray C, Rose Mhando.
Kwenye vitu positive sasa, mwanamke hatakiwi kuwemo. Kwanini mama apewe urais na dini yake inakataza?
Wanawake wakiwa watumishi wa Mungu mitume na manabii, walimu na wainjilisti, wachungaji na maaskofu, utasikia, kwanini mchungaji awe mwanamke?
Nyie Waswahili vipi?
Majungu na maneno kibao. Mama Nakubusu hadi useme yalahhh these mabusu are so hot I can handle them.