Wadada wanapenda kuuliza ATI kazi Gani unafanya? Wanamtaka mwanaume atakaetatua shida zake! Mtuonee huruma tuna watoto na wazazi!

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,032
2,769
Hawa viumbe wamenishinda tabia kabisa! Eti kazi Gani unafanya? Inakuhusu Nini? Taarifa zangu za kazi anazijua mke wangu na watoto wangu labda na wazazi !!wewe husna wa tabata na ashura wa tandale ambae tumekutana bar unataka kazi yangu Yanini? Embu tupumzisheni!

Na maswali yenu ya kipuuzi!! Nakereka sana na maswali yenu siyapendi kabisaaa!! Kama unanipea na unipee TU ! Usitake kuujua undani wangu
 
Unafanyiwa usaili kujua uwekwe category ipi ndani ya gangbang Moja matata Sn
JamiiForums776213249.jpg

Sent using JamiiForums mobile app
 
Kiuhalisia ,Mwanamke yoyote kabla hajakukubalia anataka awe ameshajua hakikisha lake la ulinzi .... Ulinzi wa Huduma yake, na ule Uanaume wako n.k .

Akishakua na uhakika wa Ulinzi , basi anaangalia chapili... Je Wewe Mwanaume hata akikubebea mimba, atazaa Nawewe mtoto mzuri??.

Akishaona unaweza mpa watoto wazuri, basi hata mimba atajilengeshaaa 😂😂.

( Katika hayo mambo mawili, ukiwa mjanja mjanja, utaweza kuya bypass , ndio maana Kuna wakati unakuta Demu mksliiiiii anatoka jamaa ana sura mbovuuuu, au Demu wa kishuaaaaaa au anampungaaa ila anatoka najamaa Hoehaeeee kama Carlos hapa).

Sasa, Sasa ,Sasa ( in Tundu Lissu Voice ) Sasa ukishindwa wewe Mwanaume Kucheza na Hisia za mwanamke huyo nakumfanya awe mtumwa wako Kihisia, amini nakuambia Mwanamke huyo atakupendea tu vihela vyako akuchune ubaki na ngozi tu .
 
ukipenda uwa ... unapenda na boga lake coz hayo ndio mapenz sio kuzinguana akili
 
Hawa viumbe wamenishinda tabia kabisa! Eti kazi Gani unafanya? Inakuhusu Nini? Taarifa zangu za kazi anazijua mke wangu na watoto wangu labda na wazazi !!wewe husna wa tabata na ashura wa tandale ambae tumekutana bar unataka kazi yangu Yanini? Embu tupumzisheni!

Na maswali yenu ya kipuuzi!! Nakereka sana na maswali yenu siyapendi kabisaaa!! Kama unanipea na unipee TU ! Usitake kuujua undani wangu
Una watoto, mke ma wazazi.
Kwa nin utafute mchepuko anaekuzid akili na kipato
 
Back
Top Bottom