Chanzo Cha Mwanamke Kuonesha Kiburi Kwa Mwanaume Wake. Cha Kufanya

Infinite_Kiumeni

JF-Expert Member
Jan 23, 2023
382
661
Hapa naongelea mwanamke ambaye ulikua naye vizuri lakini sasa analeta jeuri. Ila kama mwanamke ana hulka ya ujeuri, huyo hakuna haja ya kupasua kichwa.
.
Mwanaume kuwa dhaifu baada ya muda. Mara chache mwanamke atakuambia umekua dhaifu, hivyo njia rahisi kwao ni kuleta ujeuri wakiwa na matumaini utawaelewa na kufanyia kazi (hapa ndo wengi hupata shida). Hivyo kabla hujaanza kumshutumu mwanamke pitia upya misimamo yako, malengo yako, mipaka yako na hali yako ya ujasiri sababu we ndo kiongozi. Inawezekana wakati unamtongoza mwanamke ulikua mwanaume jasiri lakini sasa mmeshazoeana umebweteka, mnachukuliana poa. Kwa hilo jeuri ya mwanamke maana yake kuna sehemu umelega na anataka uwe kama yule mwanaume kipindi anamtongoza, aliyekua na mipaka, msimamo na ni jasiri haendeshwi na mwanamke hovyo.
.
Majaribu ya mwanamke. Mara nyingine mwanamke humjaribu mwanaume wake ili kuona je upo ngangari, ataongea/ kufanya vitu vya ajabu ili akuchokoze aone kama utamuadhibu au utajichekesha tu na kumuacha. Usipomrudisha katika mstari unaotaka wewe heshima yake itashuka na ataanza kukudharau. Mfano, mwanamke amekununia bila sababu na kila unapojaribu kumfanya afunguke anagoma au kukujibu kimkato au anapiga makelele, apo inabidi kuonesha msimamo na mipaka yako kuwa huwezi vumilia usichotaka na kumuambia kitu kama “baby, unaonekana kuna kitu kinakusumbua lakini hutaki kusema, sasa ukiwa tayari kuongea kiutu uzima uje tuongee vizuri, na usinifate kwa makelele” kisha muache mpaka akiwa tayari atajileta mwenyewe. Pia katika kipindi kama hiki ndo utamjua vizuri mwanamke uliyenaye.
.
Mwanaume kumpa nafasi kubwa mwanamke. Unamuona kama ye ndo mwanamke pekee duniani, au ndo mwanamke mkweli kuliko watu wote na hutaki kukubali anaweza kukusaliti au ndo ile umeongea naye tu leo unaanza kuwaza maisha yatakuaje mkiwa wawili nyie au kumshirikisha mwanamke kwa kila kitu chako kwa mapana. Watakuona huna kitu chochote maishani mwako zaidi ya mwanamke, hivyo atakudharau na kuweka kiburi. Mwanamke ukimsikiliza atakuambia anataka awe namba moja (ndo kila kitu) kwa mumewe lakini hiyo siyo nafasi yao, hivyo usiingie kwenye huo mtego. Ila mfanye ajisikie wa thamani kwako kuliko wanawake wengine.
.
Hapo juu utaona mwanaume ndo anaanza kuruhusu ujeuri uwepo kwa mwanamke ambaye hakua jeuri, hivyo ni muhimu mwanaume kuwa kiongozi wa mahusiano yako na kutambua unapolega/ jeuri inapoanza na kumuongoza mwanamke wako awe mwenye upendo na sio jeuri. Nakazia tena, kama kiburi ni hulka ya mwanamke hauna haja ya kuumiza kichwa.
 
Mwanaume kuwa dhaifu baada ya muda. Mara chache mwanamke atakuambia umekua dhaifu, hivyo njia rahisi kwao ni kuleta ujeuri wakiwa na matumaini utawaelewa na kufanyia kazi (hapa ndo wengi hupata shida). Hivyo kabla hujaanza kumshutumu mwanamke pitia upya misimamo yako, malengo yako, mipaka yako na hali yako ya ujasiri sababu we ndo kiongozi. Inawezekana wakati unamtongoza mwanamke ulikua mwanaume jasiri lakini sasa mmeshazoeana umebweteka, mnachukuliana poa. Kwa hilo jeuri ya mwanamke maana yake kuna sehemu umelega na anataka uwe kama yule mwanaume kipindi anamtongoza, aliyekua na mipaka, msimamo na ni jasiri haendeshwi na mwanamke hovyo.
Mkuu nitumie tigo pesa yako nikurushie japo Bando la Buku mbili.
Umechoma kwenye mshono tena
 
Kuna mambo ya kuyapa kipaumbele katika maisha kama Biashara, miradi, kutengeneza pesa na kuji imarisha kiafya. Haya ni mambo mtambuka ambayo yatakufanya uweze kuendelea kama ukiyapa kipaumbele katika akili yako.

Sishauri umuweke mwanamke sana kichwani na kudeal na tabia zake ambazo hazina malengo ya kukusaidia isipokuwa kukumanipulate akili yako iache kufikiria maisha imfikirie yeye.

Goal ya kila mwanamke ni kumshika mwanaume akili ili amuone yeye tu juu ya wanaweka wote na mwisho wa siku akucontrol utafute Mali na pesa kisha avitwae kutoka kwako ama avihodhi kisha akutoe katika umiliki akae yeye.

Hili atalifanya aidha kwa kukubadilishia tabia, au kukuvumilia hadi uchoke mwili na akili kisha ataanza kululaumu kuwa umebadilika haupo kama zamani ili ujione una hatia (guilt tripping) kisha ukose mamlaka juu yake akuite wewe sio mwanaume aliyemzoea so hajisikii safe tena mikononi mwako.

So kimsingi, kwa ushauri wangu, ingia katika mahusiano na mwanamke kama msaidizi wako na si mwenzako maana yeye hakutambui kama mwenzake. Waliumbwa ili kuwa wasaidizi wetu hilo ni agizo la asili la uumbaji no matter how hawa feminists wanajaribu kupinga. Nitakupa mfano, hivi ukifungua kampuni yako ya mtaji mkubwa sana wa mamilioni above 500, je ukiwa kama CEO utamuacha secretary au P. A (Personal Assistant) wako akupande kichwani na kuamua ni nini ufanye kwenye maamuzi ya mwisho ukiacha kukushauri?

The same katika maisha yako, haya maisha ni kampuni, wewe ndie unatafuta, kukuza na kuendeleza mtaji wa maisha yako. Anakuja mwanamke ambaye anatakiwa kusapoti mishe zako kwa kushauri pale unapokuwa haujaona au kupitiwa anakuwa kinyume chake anataka aje kutake over kampuni (Maisha) yako na Mtaji wako ili akutoe then wewe unachekacheka kama fisi ukisema aaah ni haki yake yeye ni mke wangu mama wa watoto wangu. Akichukua yeye si atalea watoto wangu. Hii sio sawa na ni batili.

Simamia mali zako mkeo anachohitaji kutoka kwako ni matunzo tu, umiliki hizo ni tamaa za akili za wanawake wa kisasa namna walivyoshauriana na shetani huko kuzimu. Sasa usiruhusu mipango ya mwanamke wako na shetani viharibu vision na future plans zako.
 
Na hili ndilo mwanaume wengi tunashindwa kulijua mapema aisee mwanamke awe msaidizi tu na sio mwenzio kwenye utafutaji kwasababu hawa wenzetu wakipata mafanikio kidg tu hawana tena kuficha tabia zao za ovyo ndani
 
Mwanamke hawez kuonesha kibur kwa mwanaume anayempenda
Bro upendo hauwezi kuishi milele Hawa viumbe wakishapata watoto mapenzi hayawi kama mwanzo yaani wanabadirika hata kama anakupenda hasa akiwa na nguvu ya kiuchumi na kama Hana hofu ya mungu ndio hatari utaanza kuona... Bro nature ni kuwa mwanamke ni msaidizi wa mwanamke full stop na kama unataka wewe kuishi maisha ya Furaha na amani tafuta hela na mfanye mkeo kuwa msaidizi wako na si mtafutaji mwenzio
 
Hata wanaume wanabadlika bro!
Naamini mwanamke hawezi kuongea kwa ukali na mwanaume anayempenda.
Mwanaume ni boss na boss hata akikosea hakaripiwi bali anaelezwa kwa heshima.
 
Kuna mambo ya kuyapa kipaumbele katika maisha kama Biashara, miradi, kutengeneza pesa na kuji imarisha kiafya. Haya ni mambo mtambuka ambayo yatakufanya uweze kuendelea kama ukiyapa kipaumbele katika akili yako.

Sishauri umuweke mwanamke sana kichwani na kudeal na tabia zake ambazo hazina malengo ya kukusaidia isipokuwa kukumanipulate akili yako iache kufikiria maisha imfikirie yeye.

Goal ya kila mwanamke ni kumshika mwanaume akili ili amuone yeye tu juu ya wanaweka wote na mwisho wa siku akucontrol utafute Mali na pesa kisha avitwae kutoka kwako ama avihodhi kisha akutoe katika umiliki akae yeye.

Hili atalifanya aidha kwa kukubadilishia tabia, au kukuvumilia hadi uchoke mwili na akili kisha ataanza kululaumu kuwa umebadilika haupo kama zamani ili ujione una hatia (guilt tripping) kisha ukose mamlaka juu yake akuite wewe sio mwanaume aliyemzoea so hajisikii safe tena mikononi mwako.

So kimsingi, kwa ushauri wangu, ingia katika mahusiano na mwanamke kama msaidizi wako na si mwenzako maana yeye hakutambui kama mwenzake. Waliumbwa ili kuwa wasaidizi wetu hilo ni agizo la asili la uumbaji no matter how hawa feminists wanajaribu kupinga. Nitakupa mfano, hivi ukifungua kampuni yako ya mtaji mkubwa sana wa mamilioni above 500, je ukiwa kama CEO utamuacha secretary au P. A (Personal Assistant) wako akupande kichwani na kuamua ni nini ufanye kwenye maamuzi ya mwisho ukiacha kukushauri?

The same katika maisha yako, haya maisha ni kampuni, wewe ndie unatafuta, kukuza na kuendeleza mtaji wa maisha yako. Anakuja mwanamke ambaye anatakiwa kusapoti mishe zako kwa kushauri pale unapokuwa haujaona au kupitiwa anakuwa kinyume chake anataka aje kutake over kampuni (Maisha) yako na Mtaji wako ili akutoe then wewe unachekacheka kama fisi ukisema aaah ni haki yake yeye ni mke wangu mama wa watoto wangu. Akichukua yeye si atalea watoto wangu. Hii sio sawa na ni batili.

Simamia mali zako mkeo anachohitaji kutoka kwako ni matunzo tu, umiliki hizo ni tamaa za akili za wanawake wa kisasa namna walivyoshauriana na shetani huko kuzimu. Sasa usiruhusu mipango ya mwanamke wako na shetani viharibu vision na future plans zako.
Mimi nimekuelewa. Sijui wengine...
 
Hata wanaume wanabadlika bro!
Naamini mwanamke hawezi kuongea kwa ukali na mwanaume anayempenda.
Mwanaume ni boss na boss hata akikosea hakaripiwi bali anaelezwa kwa heshima.
Unawajua feminists-uchwara wewe? Anaweza akawa anakupenda sana lakini kutokana na falsafa yake hiyo potofu ya ufeminist anakuona kama vile mko sawa na hivyo kukufokea anaona kuwa ni haki yake. Jambo dogo tu ambalo angekwambia kwa upole kuwa hapa SYB wangu sijapenda utafokewa mpaka ukome.

We omba tu usikutane na hawa wasomi halafu feminist aisee it is a deadly combination!
 
Huwa wanakuja kubadilika mwishoni sana giza likiingia, wanagundua kuwa halutakuwa na usawa maana hatupo sawa. Wanaanza kujuta but the itsis too late
 
Back
Top Bottom