Mwanaume wa kitajiri Vs Mwanaume wa Kimasikini

Raymanu KE

JF-Expert Member
Jan 20, 2022
6,962
12,790
Zijue tofauti mbali mbali Kati ya wanaume masikini na wanaume matajiri.

1.ulaji; siku zote kula ya mwanaume wa kitajiri kamwe haifanani na kula ya mwanaume wa kimaskini.Hapa sizungumzii uwezo wa kipesa wa mtu, Bali nazungumzia ulaji wenyewe haswaa.
Yaani mwanaume wa kimaskini huwa na tabia ya kula chakula kingi,Yaani huyu anaweza kumaliza mahamri 20 Tena akayashusha kwa chai vikombe 5 bila tabu yoyote😂.Yaani Hawa mabwana kwenye kula huwa hawajambo.
Ila Hawa wanaume wanaojiweza kipesa huwa hawana appetite ya kula, huwa wanakula chakula kidogo sana.Huyu Ni vigumu Sana kumaliza chai vikombe 2 na ukimpa slices 4 za mkate atakula mbili akuachie mbili.Si mnajua mtu ukiwa na pesa za kutosha appetite ya kula chakula huwa inakata sana.Yaani ukiwa na pesa huwezi hisi njaa hovyo hovyo, ila ukiishiwa pesa yenywewe utakula Kama nguruwe😂

2.kufanya mapenzi; mwanaume wa kimaskini akimpandia mwanamke kushuke Ni kea mbinde Sana😂
Unaambiwa Hawa majamaa huwa wanajua kupeleka Moto sio poa,huwa Wana uwezo wa kukesha kwenye kifua Cha mwanamke kwa zaidi ya masaa matatu na kuwaweka mikunjo ya aina zote.Hawa majamaa huwa wanajikamua Kweli Kweli.
Ila wanaume wa kitajiri huwa hawakeshi muda mrefu vifuani mwa wanawake coz wao huwa hawana muda wa kupoteza kwenye mambo yasiyo na faida Kama hayo.Yaani muda wao mwingi huwa wanauwekeza kwenye kutafuta pesa.Mwanaume wa kitajiri anaweza piga show ya dakika 30 tu na kusepa zake kwenda kuendelea kutafuta pesa.

3.uvaaji na matumizi ya pesa;Uvaaji wa mwanaume wa kitajiri na matumizi yake ya pesa kwa ujumla Ni tofauti Sana ule wa mwanaume wa kimaskini.
Mara nyingi mwanaume wa kimaskini akibahatika kupata pesa huwa ananunua vitu vya thamani Kama vile Simu Kali na mavazi ya Bei ghali na kuanza kutambishia watu.
Unaweza kuta mtu anamiliki Simu ya milioni Moja wakati hata Hana kiwanja Wala nyumba, anaishi nyumba za kupanga.
Wanaume wa kitajiri huwa hawana hulka ya kuvaa mavazi ya Bei ghali.Hawa huwa Wanavaa simple Sana na pesa wameiweka kwenye mzunguko.

4.mada wanazozungumzia;ukienda kwenye kundi la wanaume wa kimaskini Mara nyingi utawakuta wakizungumza umbea na fitina tu.Mambo ya Simba na Yanga Arsenal na Man Utd huwa hayawakauki vinywani mwao.
Muda wao mwingi Ni kupiga stori za hovyo tu na kupigana majungu.
Ila ukienda kwenye kundi la wanaume wa kitajiri utawakuta wanazungumzia ideas mbali mbali zinazohusiana na masuala ya pesa.Wao siku zote wanapeana dili za kutengeneza pesa Wala sio vinginevyo.
Huwa hawana muda wa kupigana vijembe na mambo mengine ya kijinga Kama hayo.
 
Picha inajieleza
1676565138277.jpg
 
Wewe uko kwenye kundi gani?
 
Mwanaume ukiweza kuwa mwanaume hayo ya kusema sijui tajiri au maskini yanafutika kutofautisha.

Ujakutana na watu uwezi kujua ni maskini wala tajari sababu katimiza kuwa mwanaume kamili
 
Back
Top Bottom