mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Mwanamke unakubalije kunuka kikwapa? Kikwapa ni alama ya uchafu

    Huwa nashangaa sana mwanamke anaenuka kikwapa. Kwa kifupi kikwapa ni uchafu na mwanamke anaenuka kikwapa ni mchafu. Kuna njia nyingi za kuzuia harufu ya kwapa. Kupaka deodorant ni njia easy kabisa ya kuzia jasho baya la kwapa. Kuna deodorant mpaka za elfu 5. Pia wanasema kuna njia za asili...
  2. JamiiForums Tanzania Changua kuambatana na familia au mwanamke unayetaka kumuoa

    Hatimaye kijana wetu amaeamua kuchangua familia dhidi ya mwanake aliyetaka kumuoa. Mwingine alikengeuka lakini kilichotokea hadi leo anajuta. Kijana wetu huyu wa kwanza ana miaka 26, yeye alikuwa na mahusiano na mwanamke ambaye ana watoto 2 kila mmoja na baba yake. Kijana kamaliza shahada yake...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuzaa naye

    Male 42, natafuta mwanamke wakuzaa nae japo na mie niitwe baba. Huduma zote kuanzia mimba inapoingia mpaka kujifungua na malezi ya mtoto na mama yote juu yangu. Mwanamke awe tayari kushika mimba kabla ya mwaka huu kuisha.
  4. JamiiForums Tanzania Vifo vyazidi kuripotiwa Iran kwenye maandamano ya kupinga mauaji ya mwanamke kisa hakusitiri kichwa

    Maelfu waendelea kuandamana kupinga kisa cha mwanamke kuuawa kwa kutokuficha nywele zake kama dini ya waislamu inavyoagiza. Wanawake wameamua kuonyesha nywele kabisa.. Iran has come under pressure since the 22-year-old woman died in police custody. Iran's President Ebrahim Raisi, meanwhile...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamke mmoja hamtoshi mwanaume

    Hakuna mwanamke anayeweza kuhimili jitihada za mwanaume kamili. Kila siku wanakuwa na sababu za kutoshiriki. Sasa ni wakati muafaka kuwa na wanawake wengi ili kupunguza ugomvi na mauaji yanayoendelea nchini kutokana na mahusiano na mapenzi.
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri: Usithubutu kumpa mwanamke mtaji. Kama mke wako mpe biashara aisimamie na usimpeumiliki kwa 100%.

    Habari! Sasa tumechoka kusikia vilio vyenu enyi wanaume wenzetu. Nature ya mwanamke ni kutawaliwa, ndio maana mtawala akiwa mwanamke kwa level yoyote ile lazima ichukuliwe special issue. Binti ukimpa mtaji na akauukuza na akili yake ataikuza kuona vile ambavyo hajaviona kabla ya mtaji kukua na...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Usimwamini Mwanamke wako hata kama ameshika dini. Maumivu niliyopata leo sitayasahau kamwe

    Habari wadau !!! Leo nimeachana rasmi na msichana niliedumu nae kwa miaka mitatu ni mlokole na ameishika din kweli kweli yaan ni kila siku jpili ni lazima aende church na siku za kati ya wiki anaenda mkesha misa za usiku mapenzi yetu yalitawaliwa na utata mwing mno km kudo ilikuwa ngumu sn na...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Usimwamin mwanamke wko hata kama ameishika dini maumivu niliopata leo sitayasahau kamwe

    habar wadau !!! leo nimeachana rasmi na msichana niliedumu nae kwa miaka mitatu ni mlokole na ameishika din kweli kweli yaan ni kila siku jpili ni lazima aende church na siku za kati ya wiki anaenda mkesha misa za usiku mapenzi yetu yalitawqliwa na utata mwing mno km kudo ilikuwa ngumu sn na...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanamke ukiishi naye bila ndoa anakuheshimu zaidi kuliko ukifunga naye ndoa, kwa sisi Wakristo

    Kwema Wakuu! Kwanini mwanaume unalazimishwa kuoa? Kwanza elewa Kabisa ndoa haipo Kwa ajili ya maslahi ya mwanaume Bali mwanamke. Yaani mwanaume hapati faida kubwa akifunga ndoa zaidi ya mwanamke, zaidi Sana atapata hasara maradufu ukilinganisha na akiishi na Mwanamke bila ndoa. Angalau ndoa...
  10. JamiiForums Tanzania Natamani Sana mwanamke anishike hivi

  11. JamiiForums Tanzania Afariki kwa ajali ya gari akimfukuza mchepuko wa mume wake

    Kamanda Kikosi cha Usalama Barabarani cha Shirikisho (FRSC), huko Cross River, Maikano Hassan, amesema mwanamke huyo wa makamo alipata ajali hiyo na kupoteza maisha huko Calabar siku ya Jumapili baada ya kuwa katika ugomvi mzito na mwanamke aliyedaiwa kuwa ni mchepuko wa mume wake. Alisema...
  12. JamiiForums Tanzania Wewe mwanamke mwenzangu achaga hizi mambo utazaa kabla ya muda wako

    Wana wa mama tozo hopeful mnapambana ipasavyo... Basi bwana mwezi uliopita nikiwa benk flan ya kikulima kikulima nikakutana na ndugu yangu kwenye ukoo tulipotezana mda sana. Huyu ndugu alikuwa na mkewe pamoja na rafiki wa mkewe. Hawa wanawake wote walikuwa na vibendi vikubwa tu vya kujifungua...
  13. JamiiForums Tanzania Iran: Watu 36 wajeruhiwa katika maandamano kupinga kifo cha mwanamke ambaye alishikiliwa na polisi kwa kutositiri kichwa

    Mataifa yanayoongozwa kidini huwa kama mazombi vile, mwanamke anauawa kisa tu hakufunika kichwa, watu wamejeruhiwa kwenye maandamano ya kupinga mauaji hayo. ====== At least 36 people have been injured in the Kurdistan Region of Iran, in the northwest of the country, during protests sparked by...
  14. JamiiForums Tanzania Taja sifa ya mwanamke mwenye kipini puani

    Mimi naanza. Miuno feni, nimeshawala kama watatu hivi wenye vipini puani mashallah watamu 🤩
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kiarabu au shombe shombe kwa ajili ya serious relationship

    Habari zenu!!! Natafuta mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano serious. Awe anaishi Dar es Salaam Sifa kuu na ya kwanza awe ana asili ya kiarab au colored wa asili yoyote. Umri kuanzia miaka 23. Dini yoyote Kabila lolote Elimu yoyote. Awe na hofu ya Mungu. Awe msafi Mimi sifa zangu Rangi...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mwanamke mgumu asieweza chepuka hata ajaribiwe namna gani?

    Hebu soma kisa hapa chini kwa utafiti wangu hayupo mwanamke ambae hawez danganyika mwanamke ni dhaifu hata awe pastor ndo walivoumbwa There is this man who began chatting with me around October. The man is very handsome and with money, he began showering me with nice messages and slowly...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanamke kumwambia ukweli Mtoto sio kumpa Sumu!

    MWANAMKE KUMWAMBIA MTOTO UKWELI SIO KUMPA SUMU! Anaandika, Robert Heriel Kuna kasumba mbaya Sana iliyoota mizizi ndani ya jamii kuwa Wanawake wanawapa sumu watoto wao ati wawachukie Baba zao. Jambo ambalo Kwa kiwango kikubwa ni uongo mkubwa. Sio dhambi wala kosa Mama kumwambia m/watoto wake...
  18. JamiiForums Tanzania Ni dawa gani madhubuti kwa mwanamke asiyesikia?

    Una mwanamke mpo kwenye mahusiano, hasikii haambiwi, haoni. Ni kiburi pamoja na dharau pale ambapo anakuwa amekosea, unatamani umzabe kofi umsororoe hiyo mikamasi kwa ndoo(kichwa). Ila unamtazama tuu unamvutia kasi. Diplomasia imetumika mpaka yenyewe imechoka inataka kuchanja mbuga. Mimi niko...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada: Kila nikitongoza mwanamke naishiwa kutukanwa

    Hello JF members, Shida yangu ni kuwa kila nikimtongoza msichana naishia kutukanwa hadi kushushuliwa. Naomba ushauri wenu ninyi mnafanyaje jamani kunasa viumbe hawa mpaka wanajaa geto hawa viumbe, au kamzizi gani kanafanya kazi wakuu? Msaada. Nawasilisha.
  20. JamiiForums Tanzania Manyaso ya mwanaume ni magumu kuliko mwanamke

    Morning, Ambao tumeishi kwa ndugu nikiongea hivyo mnanielewa bora akunyanyase mama mwenye nyumba kuliko baba mwenye nyumba. Nimeshaona kitu kama hiki kimewahi nitokeaga mpaka leo sitamani mwanangu aende kwa ndugu yoyote yule, sio kwenda likizo wala kumsalimia. Nilikaaga kwa aunt yangu kulala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…