Mwanaume raia wa Burundi anayeishi kama mwanamke, ana mke na watoto

kookaburra

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
563
1,409

Hafanyi vitendo vya kishoga, ni mavazi tu

Mwanzo aliishi kama wanaume wengine kwa kawaida za kiume.

Kipindi cha vita vya wenyewe kwa wenyewe ilibidi avae mavazi ya kike ili asigundulike kuwa ni mwanamme kwani ilikuwa wanaume waliuawa zaidi kuliko wanawake.

Ameipenda hali yake maana zaidi ya kuvaa kike sasa mienendo yake yote ni ya kike,ikiwa ni kutembea, kuongea na kujilegeza.

Wananzengo walishangaa ila wamemzoea maana ni miaka 25 ya mageuzi.

Mytake: amelendemka kuliko hata wenye gender yao🙌
 
Hizo hela za kusuka, kununua rasta si angetumia kuboresha mazingira ya nyumbani.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom