mwanamke

  1. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Marekani ni baba wa demokrasai na haki Dunia ila ni kwanini hawajawahi kumpa mwanamke nafasi ya kuwa Rais?

    Hapo vip! Binafsi nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana dhidi ya Marekani kujinasibu Duniani ya kwamba ni Baba wa Demokrasia na haki ila haijawahi kutawaliwa na mwanamke hata nafasi ya makamu wa rais ni lulu kwa mwanamke. Je, kuna siri au sababu gani wanayoijua hawa wazungu... NB: Tukumbuke...
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau mnazijua Dalili za mwanamke ambaye hakupendi?

    Katika MAHUSIANO tunayoanzisha yapo yakweli na yauongo baina ya pande zote mbili Yani MAPENZI yanakuwa na maslahi ya upande mmoja Yani kwa ufupi tunaweza kusema ni utapeli wa MAPENZI. Baadhi ya wataalamu wa Mambo wameainisha Dalili za mwanamke asiyekupenda Kama hizi 1. Nivigumu kukutambulisha...
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Idadi ya Nchi zinazoongozwa na Rais mwanamke Africa

    Ninaomba kupatiwa Idadi ya nchi Za africa zinazoongozwa na Mara is wanawake.
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimempata mwanamke asiyeomba pesa

    Habari! Nimempata binti kwakweli haombi Hela na ukimpa pesa anauliza ya nini. Nilichojifinza ni kwamba hawa wadada wanaoomba pesa hovyo ni hali ngumu tu ya maisha ndio inawafanya wakose ustaarabu. Wadada mkizaliwa katika familia za kimaskini tafadhali msitumie miili yenu kama chambo ya...
  5. Faana

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Mwanamke Aliyeolewa na Anasali Makanisa ya Kiroho na Kinabii Anaonekana na Mume wa Mtu Lodge

    Nimemsikia mtu mmoja hapa Mawasiliano daladala terminal akiongea kwenye simu na mwenzake kuwa kuna wawili hao wameonekana mitaa yenye utata na huku wakitokea madhehebu anayoabudu shuhuda, nguvu ya ya asili inaweza kuwa na influence ya kiasi hicho mpaka Mungu asahaulike!?
  6. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke huthaminiwa na Mwanaume Kwa Mambo haya

    Wanaume huwa tunawathamini wanawake ambao huonesha kufurahishwa na hata yale mambo madogo tunayo wafanyia,Kwa kufanya hivyo huwa tunawapa thamani ya juu na kuzidi kuwapenda,chukulia mwanaume amekuletea kazawadi kadogo kutokana na uwezo wake au kutokana na choice yake ukaonyesha kufurahishwa nayo...
  7. Dr NGWAKWA

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mama yangu ni mwanamke jasiri...

    MAMA YANGU NI MWANAMKE JASIRI Naitwa Moza Nilizaliwa Migato iliyokuwa wilaya ya Bariadi Mkoa wa Shinyanga, Ambayo Hivi Sasa Ipo wilaya ya Itilima Mkoa wa simiyu. Mimi Ni mtoto wa sita (6) Kati ya watoto (12) aliobahatika kupata mama yangu, Ambapo Kati ya hao wanane (8) ndio wako hai huku wanne...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania; Kama Mwanamke hajawahi fika Ukanda wa Pwani ni hakika Hajui Kupika chakula kitamu

    Kwema Wakuu! Kuna watu watabisha Kwa ubishi wao tuu lakini kimsingi na kitaalumuna unapozungumzia mapishi Kwa nchi yetu basi hapo utakuwa unazungumzia ukanda wa Pwani. Kama unaishi maisha ya kawaida Kurudi ufukara na hujawahi kuishi Maeneo ya Pwani na hapa nazungumzia DAR es salaam, Pwani...
  9. The unpaid Seller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukitaka amani katika ndoa, oa mwanamke Muislamu mbadilishe kuwa Mkristu

    Peace be upon you all, Wengi watasema tabia haihusiani na dini, well sio kweli tabia inajengwa kua njema au mbaya na mazingira ya mtu na hasa imani aliyo lelewa kwayo. Kuna msemo "Charity begins at home" Mimi ni Mkristu na kwa habari ya malezi ya heshima na adabu nikiri wazi wenzetu Waislamu...
  10. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Jela miaka 7 kwa kumuua mwanaume bila kukusudia, alimkuta amesimama na mtalaka wake

    Mahakama Kuu Kanda ya Morogoro imemhukumu kifungo cha miaka saba jela Donati Phabian baada ya kupatikana na hatia ya kumuua bila kukusudia Alfred Damas kwa madai ya kumkuta akizungumza na mtalaka. Phabian alifanya kitendo hicho baada ya kuwakuta wawili hao barabarani katika Kijiji cha Lugangwa...
  11. Abdull Kazi

    JamiiForums Tanzania Uvumbuzi wa kihistoria wampatia tuzo Mwanamke wa Kashmir

    SRINAGAR: NASIRA Akhter, mwanamke Mvumbuzi wa Kashmiri,mwaka huu alikuwa ni miongoni mwa wanawake 29, walionyakua tuzo ya kifahari ya Nari Shakti Puraskar, iliyokabidhiwa wakati wa kilele cha siku ya wanawake duniani na Rais wa India Ram Nath Kovind. Rais Ram Nath Kovind alimkabidhi Akhter...
  12. Termux

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa kwa asilimia mia. Naombeni ushauri

    Habari wana JF, Nilikuwa na changamoto naitaji kushare na nyinyi ili muweze kunisaidia kimawazo, Maana kuna kitu kinaniumiza sana katika Maisha yangu. Mnamo Mwaka 2015 Nilikutana na binti wa kimakonde wakati nipo nmepata kazi yangu ya kwanza kwa wahindi, kama Full Stack Developer maana nilisoma...
  13. kwisha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katika maisha, nimejifunza kuwa mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa

    Ndugu zangu mimi mwenzenu kwa mara hii nahisi nimepigwa na radi kabisa sio tena kitu kizito. Kuna demu nilimtongoza kwa bahati nzuri demu huyo alinikubalia. Sasa ikawa ngumu kwetu kuongea kwa maana alikuwa hana simu mimi na mapenzi yangu ya kijinga nikajifanya kiherehere cha kumnunulia simu...
  14. Mboka man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu amenibadilikia mpaka nimeona uhalisia wake

    Kuna kosa nilimkosea mpenzi wangu la kutumwambia ukweli kwa baadhi vitu vyangu hivyo baada ya muda aligundua nilikuwa namdanganya Since alivyogundua amekuwa mkali kwangu mkorofi lakini pia lililonistua zaidi ni matumizi ya lugha ya matusi ambayo Imenifanya nione rangi zake halisia Licha ya...
  15. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Rais Mwanamke? Marekani sio wajinga

    Utafiti Marekani ya 73 kati ya 143 zenye uwezekano wa kuwa na Rais mwanamke. Hii ilijidhihirisha pale tuliona Trump mwenye sera Tata akinyakua kiti dhidi ya Hilary Clinton (Mwanamke). Ni vema tunapoamua kujifunza Kwa wakubwa Hawa basi tujifunze Kila kitu. Vitabu vya torati navyo haviko kimya...
  16. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano gani kunyimwa unyumba kama hujatoa hela ya huduma kwa mwanamke?

    Hapa nazungumzia wapenzi ambao wapo kwenye mahusiano ya ndoa au uchumba. Hii mada haiwahusu wanawake wanaojiuza. Unakuta mwanamke unamuhudumia vizuri na Hela unampa kukidhi mahitaji yake ya kila siku. Ila kama mjuavyo siku hazifanani, ikitokea anahitaji lake la Hela na ukute muda huo huna...
  17. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa hiki nilichokifanya,ntahesabika nimembaka huyu mwanamke?

    Issue nzima iko hivi,nilikutana na huyu mwansmke two weeks ago,nikachukua number tukawa tunachat,nikamtongoza akanielewa,basi bana tukawa tunachat sana huku tunanyegeshana.jana jion nikamuambia aje achukue pesa flani alinipiga kuzinga,akaniambia hana nauli.nikamtumia elfu 15 kachukua uber...
  18. hamisi ndingo

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mirathi na Mwanamke baada ya kifo cha mumewe

    habari kamili see my linkedln Academia or Google Scholor
  19. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Wanaume wameishi na malaya hadi wanaona kila mwanamke ni malaya

    Wanaume wameishi na malaya hadi wanaona kila mwanamke ni malaya. Sio wote ni malaya kuna watu hawajikombi kombi au kuvua chupi ovyoo kwa wanaume. Watu wanataka kuishi nawatu wenye malengo,kujituma,kujiongezs na wenye heshima na upendo wa kweli
  20. raxx

    JamiiForums Tanzania Mwanamke siyo mtu kwa mujibu wa Biblia

    Wakuu kama heading inavyoeleza mwanamke sio mtu haya sio maneno yangu kwa mujibu wa biblia kitabu cha mwanzo mungu alimuumba mtu ambaye ni Adamu. Baada ya kuona Adamu amezubaa zubaa ndipo aliamua kumuumba mwanamke kwa kutumia mbavu na material mengine ambayo mimi na wewe hatuyajui Kwa ajili...
Back
Top Bottom