mwanamke

  1. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini ndugu wa mwanamke mara zote hukaa kwenye familia kuliko ndugu wa mwanaume?

    Uzoefu unaonyesha katika familia nyingi ndugu wa mwanamke ndio anaweza kutoboa na kuishi kwa amani kwenye familia nyingi. Ndugu wa mwanaume ni mara chache sana, tena wanaishi kwa kufosi. Tatizo huwa ni nini?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mungu amemuumba mwanamke vile alivyo, je inakuwaje tena amkataze kusimama madhabahuni akiwa period?

    Sijui vizuri neno la Mungu yaani biblia lakini jumapili iliyopita nilishangazwa kidogo na mchungaji alivyokemea na kuwa mkali kwa wanawake kutosimama mbele ya kanisa pale wanapokuwa period. Mchungaji alisisitiza 'unaanzaje kusimama hapa madhabahuni ukiwa siku zako'? "Kama huko siku zako tulia'...
  3. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mwanamke hawezi kumpenda mwanaume fukara?

    Naombeni mnipe majibu, ni kweli mwanamke hawezi kumpenda mwanaume fukara? Lakini mbona baba yangu alipendwa na mama yangu akiwa hana kitu, mimi nimezaliwa mpaka nafikia umri wa kujitambua nimekuta baba yangu anaishi kwao, yaani kwenye nyumba ya wazazi wake nayo ilikuwa chumba kimoja na sebure...
  4. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, hapa duniani pameshawahi kutokea Rais Dikteta mwanamke?

    Tangu kuanza kwa hii mifumo ya uongozi ya Urais, hivi pameshawahi kutokea Rais Dikteta mwanamke?
  5. The Eric

    JamiiForums Tanzania Mwanamke usiache kazi kisa mwanaume

    Greetings members and guests!!!!! Napokea malalamiko/Kero/misuguano/sintofahamu n.k kuhusu wanawake kuacha kazi kisa wanaume.... Wadada acheni hizi eti unaacha kazi kisa jamaa kasema acha mwisho wa siku ni kuonewa mpaka kufikishana dawati la jinsia na mahakamani. Kwani nini mnafanya hivo...
  6. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke nani atamuoa? Atalipwa nae?

    Tazama picha sina maelezo yapo katika picha.
  7. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli tendo la ndoa halijakamilika hadi mwanamke afike kwanza? Nje ya hapo ni ubakaji?

    Wakuu hapa kuna mjadala unaendelea nimeona nishare na wanavyuoni wa JF. Wengine wanasema lengo la tendo la ndoa ni kupata mtoto au mwanaume kuburudika, mwanamke ajiongeze humohumo wakati mwanaume anatafuta burdani. Ushahidi unaotolewa, hakukuwa na mambo ya vileleni kwa wana wa kike enzi za...
  8. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Niliishi na mwanamke miaka mitatu sikuwahi kunusa wala kusikia akipumua mashuzi

    Kuna wanawake wasiri sana miaka mitatu sikuwahi kusikia,kuona wala kusikia harufu ya mashuzi, Hata akienda chooni hakuna harufu iliyokuwa ikivuka chumbani iwe hotelini au nyumbani,kumbuka vyumba ni self. Kivumbi kwa somoe binti wa mwananyamala sitamsahau anaachia mashuzi live kama pikipiki ya...
  9. YE67NBE

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kawaida kuombwa namba na mwanamke? 🤔

    Za usiku. Nimepatwa na sintofahamu ya kuombwa namba na demu fulani hivi Na huyo demu mwenyewe ni member kajiunga mwaka huu? Personally nadhani huyu ni mtu fulani hivi itakuwa ananijua na hata id zangu zote itakuwa anazifahamu. Wakuu nimeingiwa na hofu namba zangu zisije zikawa kwenye mikono...
  10. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kinyamwezi akikupenda ni mtamu sana kwenye mahaba nihabue

    Habari zenu, Hakika kunena ushuhuda ni raha sana ndivyo naweza kusema, mpo, mwanamke wa kinyamwezi mtamu na anayajua mahaba nihabue. Ni fundi na amefundika anaweza hatari sana. Woyo woyo woyo chezea mnyamwezi ni noma. Ni hayo tu wanyamwezi 🙏🙏🙏💯💯💯👍👍👍
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zanini, mwanamke anayefanya kazi za ndani miaka 20 kwa Bosi mmoja

    Mara kadhaa kumeripotiwa matukio ya kikatili yanayodaiwa kufanywa na wafanyakazi wa ndani, ikiwamo kuwaua au kuwapiga watoto wa mabosi zao wakati wazazi husika wakiwa hawapo nyumbani, Hali hiyo imesababisha kujenga uadui kati ya wafanyakazi wa ndani na waajiri. Hatua hiyo, imesababisha wenye...
  12. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Ni dhambi na nuksi kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kwa mwanaume mwingine na angali huyo mwanaume yu hai

    Habarini nyote, Maarifa na ufahamu ni kitu cha bure, napenda kuwajuza ya kwamba haifai kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kama mume alokuwa nae bado yupo. Ni nuksi mbaya na ni dhambi ogopa nuksi. Itoshe kusema hayo chukueni tahadhari. Yangu ni hayo tu.
  13. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Tayari nimepata mwanamke wa kuoa ila kuna vitu sijaelewa wakuu. Nishaurini tafadhali

    Wakuu leo naandika nikiwa na mawazo mengi sana. Mara nyingi nimekuwa nikileta nyuzi za masuala ya kitaifa ila leo huu uzi ni wa ishu yangu binafsi. Mimi kada mtiifu wa CCM kwa sasa kuna mambo nimeshindwa kuelewa kabisa kwa huyu mwanamke ambaye nimetangaza nia ya kumuoa. Nataka ushauri wenu...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa Mwanamke huwezi kuuona siku ya kwanza, Macho hudanganya.

    UZURI WA MWANAMKE HUWEZI KUUONA SIKU YA KWANZA, MACHO HUDANGANYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sisi wanaume kisaikolojia tunapomuona Mwanamke Kwa mara ya Kwanza, macho yetu hutuonyesha kama tumeona kiumbe kizuri. Hii ni Kwa sababu wanaume kiasili katika Akili zetu tumezaliwa tukijua...
  15. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Namshangaa huyu mwanamke wangu

    Hope mpo salama, Niende straight kuhusu mwanamke ambaye niko naye kimahusiano. Mwanamke huyu ananishangaza saana, Kwanza nilishamwambia mimi sina mpango wa kumuoa wa kuoa karibuni coz siamini wanawake hivo ka ataona namchelewesha acheki na mtu mwingine, akasema sawa ila hawezi niacha...
  16. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Kuoa mwanamke masikini

    Wakuu hii ishu ya kumuowa mwanamke masikini asiekuwa na kila kitu mnaichukuliaje, kuna wanaume wengine kama mimi kigezo cha sura na tako wala sikipi uzito. Mimi ni mpambanaji na kiuchumi walau niko vizuri inakuwaje nioe mwanamke masikini? yaani siku anakuja kwangu anakuja na kabegi kake ka nguo tu.
  17. Ndondombi Mulin

    JamiiForums Tanzania Mwanaume, unachopaswa kufanya ukiwa kwenye Mgogoro wa ulezi wa Watoto na Mwanamke

    Mwanaume, NDOA ikishafeli, na Wakati tu mgogoro wa kugombania watoto utapoanza na wewe ukakomaa nao, hapo kaa ukijua tayari umeshindwa kabla hujaanza. Yaani hapo Mwanamke tayari anakuwa amekushinda. Mkienda Mahakamani, utashindwa. Ukienda Kanisani, huko pia utashindwa. Ukienda Ustawi wa...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Wanawake wa Kinyerezi wazindua jukwaa lenye lengo la kumuinua Mwanamke kiuchumi

    Wanawake wa Kata ya Kinyerezi Jijini Dar es Salaam wamezindua rasmi Jukwaa la Wanawake ikiwa ni hatua ya kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika kumuinua Mwanamke kiuchumi. Jukwaa hilo limezinduliwa na Lutta Rucharaba ambaye ni Katibu wa Mbunge wa Segerea, Bonnah Kamoli, jana ya Agosti...
  19. Fabian Vitus

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ukavu wa uke linasababishwa na nini?

    Hili suala la kuwa umemwandaa mwanamke kwa muda fulani Kisha mkaanza game limekolea mara utelezi unaisha mnalichukuliaje? Hii ni shida mpya kwa wanawake wa sasa. Inafikia kipindi mnaboa kuweka mimate iko na bakteria, unaenda kuua ulinzi wa uke. Msiwe mkishupalia kuwa hamuandaliwi vya kutosha...
  20. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa uswahilini

    Ngoja tuambiane tabia za wanawake wa uswahilini, haya ni baadhi tu wengine mtaongezea kama yapo 1. Wanathamini kuvaa kuliko chakula. 2. Hawajui bajeti, ukimpa laki ya matumizi ya kawaida anaenda tafuta mganga. 3. Hawana siri kwenye mambo mazuri, akinunua kitu atahakikisha kila mtu anajua, ndio...
Back
Top Bottom