Huyu mwanamke nani atamuoa? Atalipwa nae?

Notorious thug

JF-Expert Member
Dec 29, 2021
2,817
10,594
Tazama picha sina maelezo yapo katika picha.
20230811_154111.jpg
20230812_145818.jpg
 
1. Acheni mambo ya Sharia hii nchi huru.

2. Hajavunja katiba wala Muongozo wowote nchini.

3. Nyie mnaojua sheria mbona mmeangukia pua suala la Bandari?
 
Aisee mjomba skiaga tu mama za hvo zinajua kulilia abdala kichwa wazii!!!


Ushawahi lala na demu anavuta bhangi kidogo ndo mpige show 😁kama bado bas we Baki huko huko simiyu
 
Huyo mwanamke akitaka ataokoka/ataslimu na kuanza kuhudhuria ibada kisha kuna mwanaume mwenye huruma atamsitiri bila shida ila kwa sasa acha ale ujana kwanza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom