CCM ni Sawa na Mwanamke Aliyewalisha Limbwata Watanzania

The Burning Spear

JF-Expert Member
Dec 23, 2011
3,445
8,300
Kama.huamini katika limbwata na mambo hayo basi tafuta sentesi sahihi.amabayo unaweza kuitumia juu ya haya tunayotendewa na CCM.

Ukiritimba wa CCM kwa Watanzania umevuka mipaka na si wa kuvumilia......... Imagime hadi wanavunja sheria za nchi lakini wapi... tupo tumetoa macho tunalumbana ukiristo na uislam.........CCM wanajua uchaguzi ukifika mtapigwa na mabomu ya machozi watajitangazia matokeo wanayojua wao

Cha kusikitisha zaidi ni jeuri kinona hawa CCM utadhani wataishi milele hapa Duniani na hao watoto wao wanaopeana madaraka. ..wanajilimbikizia Mali sijui watazikwa nazo?..........Vyombo vya usalama Tanzania vina jukumu moja tu la kulinda hao wezi wasiguswe......

Nina Imani siku itafika watanzania tutaamka na police pia waakuwa wamechoka kulinda hawa wezi....
Tanzania ya tofauti itapatikana nina uhakika Kuna watu watakimbia hii nchi.

Mafisadi wa CCM wana dunia yao kabisa kaa ukijua hilo. .....Malalamiko yoyote ya wananchi kwao ni makelelee....... ila kama hujui yanayoendelea
Unaweza usielewe nilichoandika hapa na kusema labda naburudisha jukwaa........na uhakika mfuko wa bei una kukaanga hapo ulipo.......hili ni jambo moja tu kati ya maovu mia ya awamu ya sita

Kwa.kweli kuna msululu wa maajabu mengi sana sitaki kuyataja yote ila mikataba ya hovyo iliyoingiwa kimya kimya na namna pesa za umma zinavotapanywa huko serikalini.....mhiii majanga wimbo wa sunura

Njoo kwa watanzania sasa utalia. wana sifu na kuabudi. Huku Raisi kaikanyaga kanyaga katiba ya Tanzania........Ama kweli Raisi wa Tanzania yu juu ya sheria za Nchi ndo maana hakuna mamlaka ya kumwajibisha anapotenda ndivyo sivyo..........


Mchana mwema. Burudika kidogo hapa chini

 
Back
Top Bottom