Natafuta mchumba wa kike anayejielewa

mada20

New Member
Aug 21, 2023
2
0
Salamu Kwa wote, Mimi ni kijana umri 30.

Nafanya kazi migodini, nina mwili wa kawaida.

Nahitaji mwanamke umri usizidi miaka 29.

Dini awe Cristian. Kabila lolote aliye tayari karibu pm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom