mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Hakuna mwanamme anawazia kuoa mwanamke mlevi!

    Kama hujaolewa na unataka kuolewa na mume na sio mtu aliyejikatia tamaa, jua hii inakuhusu... Wewe tolewa out badala ya kula msosi na kunywa juice/soda au basi ka glass kamoja kawine; unafakamia mapombe halafu utegemee kuolewa na mtu mtakayejenga maisha pamoja??? Mbaya zaidi ukute msichana hana...
  2. JamiiForums Tanzania Mwaka umeanza vibaya, Mwanamke ameniacha, Haina shida nashukuru Mungu tu

    Huyu dada nimekuwa naye kama miezi 6 sasa. Siku zote alikuwa mstaarabu sana.... Siku za karibuni nlianza tu kuona nakosa hisia kwake. Sababu mahitaji yake yalikuwa yanazidi kila siku. Leo ameamua kuniacha. Kaniacha katika kipindi ambacho namwitaji sana kutokana na hizi mvua na hali ya hewa.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anapompenda mwanaume mwingine Kuna uwezekano kuwa na mapenzi ya dhati kweli ndani ya ndoa?

    Wakuu habari.. Kichwa kinjieleweza, nilipo sijalala Jana kwa hii kadhia, naombeni ushauri nimwache aende au tusuluhishe.,,😭😭😭
  4. JamiiForums Tanzania Hadi leo sielewi shida ni nini, mimi binafsi siwezi na sidhani kama nitakuja kuweza kufanya ngono na mwanamke asiye wangu!

    Salamu nishamuachiaga ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa kina Cognizant Wakuu mimi binafsi huwa sijielewi nina matatizo gani!,yawezekana nikawa dhaifu kwa baadhi ya watu hapa JF lakini pengine yawezekana ndivyo nilivyo! Tangu nimekuwa mtu mzima huwa sitamani mwanamke...
  5. JamiiForums Tanzania Mikoa ambayo haijawahi kuwa na mkuu wa Mkoa Mwanamke

    Nimekaa nikavuta kumbukumbu na kuona kuwa pamoja na kuishi Sana Tanzania sijapata kusikia mwanamke akiteuliwa kuongoza mkoa wowote Kati ya hii. 1. Mbeya 2. Mwanza 3... 4..... Hivi ni Kwa nini? Usiitaje Dar , maana Dar imewahi kuongozwa na mwanamama Jasiri ( Mary Chipungahelo " Mary Chipsi"
  6. JamiiForums Tanzania Madhara ya kuoa Mwanamke ambaye hajasoma na Golikipa ni haya!

    MADHARA YA KUOA MWANAMKE AMBAYE HAJASOMA NA GOLIKIPA NI HAYA! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nimeona kuna vijana hapa wanadanganyana na kuwa na mawazo ya kizamani. Ati wao wataoa wanawake wenye elimu duni na wasiofanya kazi isipokuwa kazi za nyumbani (golikipa). Sasa kwa ninyi mliofanya...
  7. JamiiForums Tanzania Faida za ndoa kwa mwanamke si kwa ajili yake mwenyewe, mara nyingi ni kwa ajili ya kitu fulani au watu fulani

    Utasikia tu: Ndoa ni heshima kwa wazazi Ndoa ni heshima kwenye jamiii Ndoa ni heshima kanisani Na hata mtu akitaka kuvunja et anawaza Nitaonekanaje mtaani Nitawaaibisha wazazi wangu Kwa maana iyo wanawake weng wameolewa kwa ajili watu na sio mapenzi yao na laiti kma kusingekuwa na mitazamo...
  8. JamiiForums Tanzania Vigezo na sifa za Mwanamke wa kuoa kwa 2024 - 2050

    VIGEZO NA SIFA ZA MWANAMKE WA KUOA KWA 2024 - 2050 Anàandika, Robert Heriel. Mtibeli Pasipo kupoteza muda. Ikiwa wewe ni mwanaume unatafuta mke wa kuoa ili ujenge naye familia basi vigezo na sifa zifuatazo sharti Mwanamke huyo utakayemuita mkeo lazima awe nazo. Ili uishi maisha ya furaha...
  9. JamiiForums Tanzania Wakili LHRC: Hakuna Mwanamke anayeweza kumbaka Mwanaume

    "Hata kwenye Sheria yetu ya Kanuni ya adhabu imeeleza kwamba Mwanamke ni nani?, ili kueleza kwa nini tunasema Mwanaume ndiye anayeweza kubaka na sio Mwanamke, japo siku hizi kuna Kampeni nyingi, Wanaume nao wanasema na wao wanabakwa wasikilizwe, lakini sababu kubwa ndio hiyo kuwa kuna mwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Usimpe hela Mwanamke ila fanya hivi

    Habari zenu, Kumekuwa na kasumba ya wanawake kuomba hela kwa kigezo cha kuumwa au kuomba hela kununua Dawa. Ewe Mwanaume mwenzangu nakuhisia! usijaribu na wala usitume muamala mpaka pale mtakapoongozana na kwenda hospital kumpima ili ujue kama anaumwa kweli au lah! Wanawake wengi wamekuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Niliwahi kosea jambo hili kwa Mwanamke, leo sitaki rudia. Naombeni msaada

    Mwaka jana nli kutana na dada mmoja ambaye mtu wangu wa muda kidogo. Actually mimi ni mtu ambaye nazingatia sana masuala ya usafi kwa mpenzi. Shida ya kwanza ikawa mdada amekuja Hotel ananuka jasho. Hili suala likawa limeanza kunipa changamoto. Pia ana bad breath. So obvious siwez mkiss...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke akikudanganya nawe ukadanganyika atakudharau na kukuona hamnazo

    MWANAMKE AKIKUDANGANYA NAWE UKADANGANYIKA ATAKUDHARAU NA KUKUONA HAMNAZO. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Wanawake wanapenda wanaume playboy, badboy, Kwa sababu wanajua kuwa ndio wanaakili. Mwanamke anavutiwa na wanaume wenye Akili sana. Yaani ukishajijua uko na akili(sio hizo za kukariri...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi ubikira wa mwanamke una utamu gani? Maana naona watu wanaahidiwa hata peponi

    Kuna hii video sheikh anaeleza kuhusu wanawake walioandaliwa kwa ajili ya wanaume waislamu kule peponi, yaani mabikira. Hapa najiuliza, kwa nijuavyo uzuri wa kumla mwanamke bikira ni kwa sababu unajua kakuheshimisha na kwamba wewe ndiye wa kwanza kumuingia, ila shughuli yenyewe huwa usumbufu na...
  14. JamiiForums Tanzania Sadaka ya kweli ni ipi?

    SADAKA YA KWELI NI IPI? Mtoto mmoja alikuwa amesimama, bila viatu, mbele ya duka la viatu akitetemeka kwa baridi. Mwanamke mmoja alikuja na kusema: "Rafiki yangu, unatafuta nini hapa au umependezwa na dirisha la dukahilo?" Akajibu, "Nimekuja hapa kumuomba Mungu anipe jozi ya viatu." Mwanamke...
  15. JamiiForums Tanzania Jr. Farhan wa Clouds Tv huna uelewa wowote katika mahusiano ya mapenzi; huwezi kumhudumia Mwanamke uliyezaa naye baada ya kuachana naye ukabaki salama

    JR. FARHAN WA CLOUDS TV HUNA UELEWA WOWOTE KATIKA MAHUSIANO YA MAPENZI; HUWEZI KUMHUDUMIA MWANAMKE ULIYEZAA NAYE BAADA YA KUACHANA NAYE UKABAKI SALAMA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Sijui ulikuwa unatafuta sifa au kiki au vipi. Kama ni Kiki basi upo sahihi na hongera. Lakini kama ni kweli...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na taifa kuwa na Rais Mwanamke, idadi ya watoto wanaojilea kabla ya muda imeongezeka

    Hakuna sera nzuri za kulinda maisha ya watoto. Watoto wengi wanaanza kufanya kazi za majumbani kama kupika, kufagia na kuosha vyombo wakiwa na miaka minne hadi saba. Hii ni asilimia 90 Tanzania nzima. Lakini ni kwa sababu wazazi wao hasa akina mama wanahangaika kufanya biashara ndogondogo...
  17. JamiiForums Tanzania Tuache kufarijiana huko nje kwa maneno ya kijinga,Hakuna Mwanaume wa Kiafrika asiyependa au Kumtamani Mwanamke mwenye Makalio Makubwa!

    Ukihitaji salamu subiri kwanza FaizaFoxy anikubalie ombi langu,tofauti na hapo utaambulia gunzi ukapikie Mapupu! Sometimes huwa nawashangaa baadhi ya wanaume kumtupia lawama kijana Harmonize kwa kupenda Mishangazi yenye matako makubwa! Hivi nani aliwaambia wanaume wa Kiafrika hawapendi...
  18. JamiiForums Tanzania Nawezaje kujua rangi ya ile kitu iliyofunikwa bila kuiona?

    Habari za muda huu wana JF. Natamani sana kufahamu ni jinsi gani naweza kujua ile rangi ya ndani, rangi ya asali bila ya kuichungulia. Ni viashiria gani au ni sehemu gani ya mwili iliyo public ambayo naweza kuangalia ili niweze kujua rangi ya kule ndani. Natamani sana asali nyeupe ila dada...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi wanaume umeishawahi kuishi kwenye nyumba inayomilikiwa na mwanamke ambaye labda ni mke wako au mpenzi wako?

    Katika pilika pilika za maisha kuna baadhi ya wanaume wamekuwa wakipitia msoto mkali, pengine labda ni kwasababu ya umaskini mwisho wanaishia kuishi kwenye nyumba za wapenzi wao au wake zao. Sasa hebu funguka hivi kuna wanaume humu washawai kuishi kwenye nyumba inayomilikiwa na mwanamke ambaye...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu mwanamke ananichukuliaje?

    Wakuuu hivi binti ananionaje? Kwamba ameniona mie zuzu? Au yaani aisee kila siku matusi na vipigo kutoka kwa mke wangu bila sababu yoyote ile na pia maneno ya kashfa kila siku eti kwamba mimi ni mwanaume suruali aisee nimechoka kabisa aisee Yaani kuna siku alikuwa anataka kuondoka hapa nyumbani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…