Ijue nafasi ya " Mwanamke Bikira" katika ulimwengu wa kiroho

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,111
27,095
Every thing in the physical realm represents something in the realm of the spirit

And every thing in the physical realm is connected band attached to something in the realm of the supernatural

Na kila kitu katika ulimwengu wa damu ,macho na nyama kinawakilisha kitu Fulani katika ulimwengu wa rohoni.

Leo nitakujulisha "NAFASI YA MWANAMKE BIKIRA KATIKA ULIMWENGU WA KIROHO."

In the realm of the spirit, a virgin woman is a PORTAL which connects the HEAVENS and the EARTH

Katika ulimwengu wa kiroho, Mwanamke Bikira ni lango linalo unganisha kati ya MBINGU na DUNIA

Ndio maana when God wanted to reconnect the Heavens with the Earth through Christ Jesus he did it thru a virgin woman called Mary


If you want your HEAVEN in this world you must get it from a virgin woman and not otherwise.

Kila Mwanaume anaekuja duniani Mungu kamuandalia MBINGU yake hapa duniani kupitia Mwanamke Bikira.

So kila Mwanaume anaishi duniani Kuna mwanamke Bikira ameumbwa Kwa ajili yake.

Personally Nimeona mambo yangu yalivyo funguka Kwa namna ya ajabu mara baada ya kukutana na MKE wangu bikira.

Wazazi wake wamezaliwaZnz. Waarabu. She was born in Dubai . They are living in Oman. And met with her mwaka Jana. She was born in 1988 so mwaka Jana she was 31 and a virgin...

Brothers ; I am telling you I am living in the Heaven .

# Kama haujaoa Mwanamke Bikira. Am sorry to tell you your marriage is null and void.

Whatever a bad thing happen to your marriage . U don't need to blame God. She was not meant to be Ur wife.

Aliweka AGANO la damu na Mwanaume alie lala nae Kwa mara ya Kwanza..

The blood that come out when you break into her " political party's is a very powerful in the realm of the spirit. It breaks all yokes. I will teach you in details about this topic next time..

# Tafuta Bikira oa.

# Ukifa Bila kuoa bikira, maana yake ni kwamba hapa duniani utakuwa umepita Bila kuonekana.

( A joke : NI Sawa na enzi za Chuo kama ukimaliza chuo Bila kupita na demu wa chuo basi Jamaa wanamkwambia " Hujagraduate" )
 
Kuna ambao hata bikra hawazijui zikoje ,
Wanazisikia Kama hivi unavyoongea,

Kwa lugha nyepesi kwetu bikra sio deal, ili mradi napiga nakojoa.
 
Dunia Mapito,Maisha safari Ndefu...
Kwa hiyo Usijifanye Mkristo sana Kuliko Yesu..
 
"The blood that come out when you break into her political party's is a very powerful in the realm of the spirit. It breaks all yokes. I will teach you in details about this topic next time.."

Haya maelezo sikuelewa. Chama cha siasa kinaingiaje hapa mkuu?

Mabikra wote walioko JF itabidi wajitambulishe tu kwa sababu hakuna namna sasa....Kuna hatari ya kupita hapa duniani bila kuonekana aisee

"Ukifa Bila kuoa bikira, maana yake ni kwamba hapa duniani utakuwa umepita Bila kuonekana".
 
"The blood that come out when you break into her political party's is a very powerful in the realm of the spirit. It breaks all yokes. I will teach you in details about this topic next time.."

Haya maelezo sikuelewa. Chama cha siasa kinaingiaje hapa mkuu?

Mabikra wote walioko JF itabidi wajitambulishe tu kwa sababu hakuna namna sasa....Kuna hatari ya kupita hapa duniani bila kuonekana aisee

"Ukifa Bila kuoa bikira, maana yake ni kwamba hapa duniani utakuwa umepita Bila kuonekana".
Political part = private part

We hujui Ur private part is a political part?
 
Hahaha kumekucha hilo povu lake nakuonea huruma Mkuu,

1. Wanawake wasio bikra povu
2.wanaume ambao hawajaoa bikra povu
Umekwisha Mkuu ni asilimia 99 ya watu umu JAMII FORUM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom