Kaka zetu na vijana wetu wa kiume mpo? Baba mchungaji keshasema hivyo
Kuna msemo babu yangu alikua akiwaambia wajukuu zake wa kiume "... kabla hujaja kuniambia unaoa uniambie una mali gani maana kama ni kupata mke tuu hata nyani akijenga nyumba atapata mwanamke wa kuoa" kweli wahenga ni...
Kuwa na mwanamke asiyependa gharama ni ndoto ya kila Mwanaume katika sanaa ya kudeti. Kwa kawaida wanawake aina hii hawana drama wala stress lakini je ni muhimu kweli kuwa nao?
Hebu jiweke katika hii hali: uko na mwanamke ambaye ukifika nyumbani tu ashakuandalia kila kitu, hakuulizi kwa nini...
Katika ulimwengu wa sasa mawasiliano kupitia jumbe fupi unazidi kutumika kiasi cha kuwa mazungumzo baina ya watu yamegeuzwa kuwa meseji fupifupi. Kupewa namba kutoka kwa mwanamke ni nusu ya muelekeo wako wa kuuteka moyo wake. Lakini je wakati wa kumtext mwanamke je unatumia mbinu ipasayo...
Habari, JF ni sehemu sahihi ya majibu sahihi.
Nipo kwenye hatua za mwisho kufanya maamuzi ya kupata mama watoto. Wapo mabinti wawili imekuwa ni mchuano mkubwa wa kupata selection.
Yupo mmoja yeye kila ninapomuonyesha mbele ya watu wangu wa karibu wanasema huyu ndio sahihi kuwa mke, kwangu...
MWAKA 2019
JAMAA: Kaka Miyeyusho habari? Naitwa Nassoro, samahani naomba unishauri. Nina mchumba wangu nampenda ila yeye anipendi, mara kadhaa ameniambia tuachane ila nambembeleza tunarudiana. Ila sasa naona kawa kweli na maamuzi yake, wiki sasa kila nikimbembeleza ananiambia hanitaki.
MIMI...
Je ishawahi kukutokea? Unakutana na mwanaume ambaye anaonyesha kuwa anapenda kutoka deti na wewe. Mnaspend miezi mitatu mkiwa pamoja, mnatumiana jumbe za sms na kemia ya mapenzi mnaijenga kuwa ya nguvu. Deti ya kwanza inapita kuwa ya tatu, mwezi hadi miezi mitatu inawapita.
Inapita miezi mitatu...
Sijui huyu ni demu wa aina gani? Ipo hivi; one day usiku ilinitafuta namba ngeni kwa sms(ilinitext Mambo), sikutaka kuchelewa nikapiga, najua wanangu wa halotel mnajua wingi wa dakika za halotel kwenda halotel. Basi bana, sauti iliyosikika upande wa pili ilikua ya kike.
Mazungumzo yalikua hivi...
Mwanzo nilikuwa najua sitapata shida kupata mchumba kwa kuwa Mimi ni handsome boy, genius nina akili Sana nikiamua hata kuwa professor nakuwa na hivi JF imeniongezea madini na pia kwetu tuko vizuri yaani means Ni familia ya kipato kizuri.
Lakini imekuwa tofauti wanawake wananizingua sana...
Wakati kila siku mara moja au zaidi huwa tunawatext wanawake. Aidha wawe ni wapenzi wetu, tunaowatongoza ama marafiki zetu. Na kila siku huwa tunapatwa na changamoto mbalimbali kutokana na matangamano yetu. So huwa kunakosekana nini? Ifuatayo ni orodha ya mambo 5 makuu ambayo wanaume wengi...
Kuna jamaa anaomba ushauri kwani kwa sasa yupo na dailema kuna manzi wawili anafikiria kuoa.
Manzi wa kwanza alikua nae miaka kadhaa nyuma kwa miaka kadhaa then manzi huyo akapata jamaa mwingine akamuacha msela akazaa na jamaa mwingine kisha huyo jamaa mwingine wakatemana manzi akabaki na mtoto...
Kwa ufupi sana, niliwahi kudate na mwanamke flani miaka ya nyuma mkoa flani sitautaja.
Tukapotezana kwa maana ya kuonana, ila mawasiliano yalikuwepo kwa simu. Juzi kati amekuja mjini kwa biashara zake, kaniahidi tutaonana kweli kafika tukaonana ilikuwa jioni sana.
Tukapata msosi tukaelekea...
Wakuu,
Kuwa na six park sio mbinu ya kumfikisha mwanamke kileleni. Watu wamekazana kwenda jim kuvimbisha vifua wenzako wanatumia sayansi ya mapenzi.
Kama tu kidole cha pete kinaweza kumfikisha mwanamke kileleni kwanini mnahangaika kunyenyua mivyuma. Mapenzi ni sayansi, na sayansi ya mapenzi ni...
Mwanaume kwenye ndoa ama mahusiano serious anawajibika kumfanyia mwanamke mambo mengi, mwanamke jiulize kitu gani uta offer in return tofauti na papuchi?
Mwanaume anapaswa kufanya mengi yakiyomo haya.
1. Kumlisha mke wake ama mpenzi.
2. Kumtibia mke wake ama kuwajibika kumlipia huduma ya afya...
Kuna kautafiti nimekafanya katika mahusiano yeyote yale iwe uchumba au ndoa ikitokea mwanamke amefanikiwa basi penzi litayumba au litavunjikaa.
Shida huwa ni nini lakini?
Hebu tusaidie wana ndugu kama mnavyojua wanawake ni watu wa vitimbwi, visa, dharau, vituko na maneno ya karaha yaani kuishi nao inahitaji akili sana lakini hebu leo hii tusaidiane ni njia ipi bora ya kuishi na mwanamke kwa akili bila kukwaruzana nao.
Maana kuna wengine watakwambia uishi nae...
Habari za asubuhi wakuu, poleni na pilikapilika na kutafuta liziki ya hapa na pale, sitaki kuongea mengi naomba nieleze kwa ufupi sana na naamini kwa walio pitia kadhia kama yangu watakuwa wanaelewa, nimekuwa kwenye mapenzi na binti kwa miaka 8 (nilianza nae mahusiano nikiwa o-level, advance...
Rejea hapo juu....naomba niende kwenye mada husika..
Nina mdogo wangu alimtambulisha binti nyumbani kwa wazazi wetu, wazazi wakambariki baada ya hapo binti aliendelea kuishi kwao
Kwa bahati mbaya au nzuri binti alipata Ujauzito ,ikabidi binti atoroke aje kwa mwanaume ili Nyumbani wasigundue...
Je inawezekana mwanamke wako akawa ameshakupiga chini muda mrefu lakini we unaona mko pamoja yaani kila ukimuangalia mwanamke wako usoni mnaongea vizuri, mnacheka vizuri na kusex pia mna sex vizuri lakini watalaamu wa manbo wanakwambia huyu mwanamke kutokana na tabia hizi na hizi huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.