mwanamke

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Msongo wa Mawazo Baada ya Kujifungua

    Msongo wa mawazo ni jambo la kawaida linalowapata angalau mwanamke (wamama wapya) mmoja kati ya nane. Dalili zake ni pamoja na kusikia mchovu, kulia, mwenye shahuku, mnyonge na mabadiliko ya kula na kulala hasa wiki ya tano za kwanza baada ya kujifungua. Wakati mwingine kuwa na huzuni, kushindwa...
  2. koncho77

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua mpenzi wako ni mwanamke wa namna gani, kuwa karibu na marafiki zake

    Kama marafiki zake wa 4 ni malaya, basi yeye ni malaya wa 5.. Kama unataka kujua demu wako ni mwanamke wa aina gani, kuwa karibu na marafiki zake.. Marafiki zake watakuonyesha demu wako ni mwanamke wa aina gani..
  3. Namba 26

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anaanza kukupenda kitandani

    Usidanganywe na demu kama anakupenda kabla hamjaingia kwenye ule uwanja wa sita kwa sita a.k.a uwanja wa dhambi. Demu kwa mara ya kwanza anakuwa amekutamani tu na sio kweli kama anakupenda ndio maana ni vigumu kukuvulia kufuli bila kumpa chochote kitu. Ila ukishamtafuna kiufundi na kumkuna...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mama Samia: Mataifa yanajifunza mengi kutoka Tanzania, hata Marekani sasa ina Makamu wa Rais Mwanamke

    Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amewataka wanawake wa Tanzania kujiamini kwani wanawake ni jeshi kubwa. Mama Samia amesema mataifa mengi huko duniani hujifunza kupitia Tanzania ndio maana hata Marekani sasa ina makamu wa Rais mwanamke na hilo ni jambo jema. Chanzo: TBC Maendeleo hayana vyama!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ni ipi maana halisi ya kumkomboa Mwanamke?

    Nawaamkia kwa maamkizi wote watoto na wavyele. Huu ni muendelezo wa pale nilipoishia katika mada zangu kuwahusu hawa wenzetu, wenzetu ambao ni mama zetu, dada zetu, jirani zetu, watoto wetu na wake zetu pia. Kila siku tunasikia mikutano, matamasha, makongamano na sherehe pia ya kuwa Mwanamke...
  6. Maleven

    JamiiForums Tanzania Nikimuacha mwanamke kwa kutoa namba kwa mwanaume, nitakua nakurupuka?

    Ikiwa mtu anajua fika kuwa huyo mwanaume anamtaka, kisha akampa namba, binafsi naichukulia kama nia ya wazi ya kusaliti in the near future Je kumpiga chini ni uamuzi wa kukurupuka? Moja ya utetezi wake ni kua ameghafilika na hata mimi naweza kughafilika Nilijaribu kumsamehe ila katika...
  7. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wawe na siku yao (Women's Day) na si wanaume?

    Mdau amani kwako. Napenda tujifunze na kupeana elimu kwa undani juu ya hili jambo la 'siku ya mwanamke duniani'. Mwanzoni wakati dunia ikiwa na amani na upendo Adamu na Hawa walijiona kuwa wenye kufanana na wakiwa na majukumu tofauti kulingana na maelekezo waliyopewa na Allah. Baadaye kidogo...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Konyagi yatengeneza nembo maalum kutambua Jitihada, Weledi na Ujasiri wa Mwanamke

    Maadhimisho Siku ya Wanawake Duniani: Konyagi Yatengeneza Nembo Maalum Kutambua Jitihada, Weledi na Ujasiri wa Mwanamke. Dar es Salaam: Machi 8, 2021: Katika jitihada za kutambua weledi, ujasiri na taaluma za Wanawake walio na mchango chanya kwenye jamii, kampuni ya Tanzania Distilleries...
  9. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Leo ni Maadhimisho ya Siku ya Mwanamke, Happy Women's day

    Leo Ulimwengu unaadhimisha siku ya Mwanamke, nami nichukue fursa hii kuwapongeza na kuwashukuru. Imagine the world without a woman. Hongereni sana "God Bless The Women" In the middle of the night I heard her pray so bitterly And so softly yeah... She prayed for her children She prayed for...
  10. kekule benzene

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba (mwanamke) muislamu

    Wasalaam wakuu!! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, natafuta mwanamke ambaye atakuja kuwa mke wangu Wasifu wangu *Umri -26 *Elimu -Bachelor degree * Dini - muislam *Rangi- Mweusi(pure) *Urefu-Wastani *Makazi- DSM NB Kama kuna kitu cha ziada nitaweka nikikumbushwa (Nikiulizwa) SIFA ZA...
  11. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Nguvu za kiroho za mwanamke

    Kuelekea siku ya Wanawake Duniani tarehe 8/6/2021 natamani tujifunze kwa kiasi juu ya nguvu za kiroho za mwanamke. Nina uhakika lipo jambo kubwa litakaloeleweka kwa namna tofauti kabisa na ilivyozoeleka. Dunia inatawaliwa na nguvu katika ulimwengu wa roho inayojidhihirisha katika mawanda...
  12. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Italia waiandikia barua kamusi kubadilisha kisawe cha neno 'mwanamke'

    Zaidi ya watu 100 wamesaini barua kuitaka Kamusi ya Mtandaoni nchini Italia, Treccani kubadilisha kisawe cha neno mwanamke katika kamusi yake. Kampeni hiyo inalenga kuondoa neno 'puttana' kama kisawe cha neno 'mwanamke' ambalo linatafsiriwa kama 'kahaba' wakidai kuwa linamfanya mwanamke...
  13. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mwanamke atakayenitongoza ndiye atakayenivumilia

    Nishatongoza Sana wadada Na bado tukaachana.sikuwahi kufikiria Kama nitakuja kukosa mke wa kuoa kwani wadogo zangu wengi tu wanaishi na wake zao na Wana watoto tayari.labda kwa sababu Mimi nilikuwa shule muda mrefu, nimechagua wengi naona hatuendani. Mpaka sasa hivi sijapata mwanamke hata mmoja...
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Bi. Titi Mohamed: Mwanamke shujaa mwana TANU mpigania uhuru wa Tanganyika

  15. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa shoka

    Huyu nipo tayari kutuma na ya kutolea!😄😄😄Hongereni sana wanawake wote wapambanaji popote mlipo.
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Zifahamu sababu zinazoweza kupelekea mwanamke kukosa hedhi

    Katika mada yetu ya leo tutalijadili tatizo la kukusa hedhi ambalo kitaalamu huitwa amenorrhea. Mwanamke anakuwa na tatizo hilo pale ambapo anakosa hedhi kwa kipindi cha miezi mitatu mfululizo, au msichana ambaye hajaanza kupata hedhi akiwa na umri wa miaka 15. Sababu ya kawaida ya kukosa hedhi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhusiano kati ya mwanamke kuwa muasherati na kabila analotoka?

    Habari zenu wana jukwaa. Ni matumaini yangu weekend imeenda vizuri kwetu sote. Kwa wale ambao weekend haikuwa nzuri kwao kutokana na matatizo ya kiafya basi nawaombea Dua Mungu awaponye. Nirudi kwenye mada yetu kama inavyojieleza hapo juu. Nianze kwa kusema kuwa nimekuwa nikikutana na hoja...
  18. Libya

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutongoza katika Zama hizi

    Usimtumie meseji za userious sanaa Kama vile, mambo?"habri ya usiku"? Umelala??? Umekula?? Una mpenzi?? Unasoma?? Unafanya kazi? Unaishi kwenu ??aumepanga??? wee mtoto wangapi?? Miaka yako??? N.k Hizi manzi huwa hazipendi maswali maswali ,kiuhalisia binadam hapendi maswali. Nakupa mbinu...
  19. Planett

    JamiiForums Tanzania Ewe mwanaume, usimchunge mwanamke!

    Kuna sekeseke limetokea hapa limenihuzunisha sana, ipo hivi. Kuna jamaa yeye alikua anamchunga sana mke wake, haruhusiwi kutoka bila taarifa ikafikia akamnyang'anya simu kabisa kiasi kwamba mwanamke akawa haruhusiwi kumiliki hata kitochi tu. Jamaa akajiona YES nimemaliza hamna tena mabaharia...
  20. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi mwanaume kulala nyumbani kwa mwanamke?

    Habari JF? Poleni na misiba inayoliandama Taifa letu pendwa la Tanzania. Nipo safarini mkoa flani, na huo mkoa kuna binti flani alikuwa mpenzi wangu some years ago. Tumerejesha mawasiliano hivi karibuni, after kumuambia nipo kwenye mkoa husika, ameniomba nisiingie cost bure, badala yake...
Back
Top Bottom