Swali kwa wanaume: Mnaposema mwanamke huyu mtamu, mnamaanisha nini?

Zeemadeit

JF-Expert Member
Oct 16, 2020
776
1,553
Heri ya pasaka wakuu. Nimekua nikiona mara nyingi hapa jukwaani wanaume wakizungumzia mwanamke huyu kuwa mtamu mara yule hakuwa mtamu.

Huwa nabaki kujiuliza maswali kama vigezo gani vinatumika kuwa grade wanawake. Na kwa wale waliokutwa watamu inawasadia kudumu kwenye mahusiano au ndoa? Like wanaume mkiwa na hawa hamuwaachi au hamchepuki?

Nategemea majibu mazuri kutoka kwenu wanaume.
 
Utamu wa mwanamke ni hisia za Mwanaume kwa Mwanamke husika,

Mwanamke akiwa mtamu kwa Mwanaume mmoja haimaanishi kua huyo Mwanamke atakua mtamu kwa wanaume wote,

Ni sawa na chakula tu,kuna mtu atasema Biriani la Kuku ni tamu ila mwingine atasema hapana,Ugali na dagaa ndio mtamu,

Utamu wa Mwanamke ni feeling tu za anaye mtumia,sio kwamba utamu huo ni formula.
 
Okey , ngoja nikujibu mimi hapa. Ipo hivi, Kwanza kabisa ni kweli kuna wanawake watamu na ambao sio watamu, Lakini kuna msemo wa kiswahili unasema "Utamu wa Pipi ni Mate yako" So, utamu unatofautiana kwa mantiki kwamba mwanamke anaweza akawa mtamu kwa huyu na asiwe mtamu kwa Yule, Kutokana na sababu mbalimbali lakini pia mwanamke anaweza akawa mtamu leo na asiwe mtamu kesho..

Kuhusu utamu ni kitu gani haswa, naomba nikwambie kwamba utamu ni vitu vingi sana na vinatofautiana kwa kila mtu nitataja vichache (Tightness, Joto, Maji , ringtone, mikogo, ufundi, Mnato, Usafi na Harufu, ubunifu, na vingine vingi)

Kuhusu swali lako la pili kama mtu kuwa mtamu itamfanya adumu kwenye mahusiano , Jibu ni Hapana. Kudumu kwenye mahusiano au ndoa Hakuhusiani kabisa na mwanamke sijui kuwa mtamu au kuwa mzuri. Mambo yanayohusika ni mengine mengi tofauti kabisa. Japo vijana ambao hawapo matured enough watakuja na kusema hapa kwamba utamu au uzuri ndio kila kitu.
 
1. Wengi wanaoandika alikuwa mtamu kwelikweli ni kwaajili tu ya kunogesha story

2. Mwanamme akiwa na hamu ya kutokufanya kwa muda mrefu ni rahisi kuisifia papuchi yoyote atakayokutana nayo

3. Mwanamke akiwa na hamu anatoa utelezi mwingi unaoleta mshawasha and utelezi is directly proportional to utamu

4. Mwanamke na mwanaume wote wakiwa hawajafanya mapenzi wala kupiga puli kwa siku kadhaa, wakikutana na mtu kimapenzi utamu unaongezeka

5. Uke wenye utelezi kwa majority unakuwa mtamu kuliko wenye maji

6. Kuna wanawake/ wanaume wenye joto jingi (warmth) naturally.. Warmth is directly proportional to utamu

7. Wale wanaojikuta wamekula tunda kimasihara mara nyingi kinachowapelekea kulana kimasihara ni hamu nyingi either zilizosababishwa na kutokufanya siku nyingi au sababu nyinginezo.. and hence utamu

8. Principally, any K isiyokuwa kavu ni tamu.. Sema utamu unakolezwa na other factors as mentioned above. Kuna siku unaiona K ni mnato, kesho yake unaweza usiione mnato.. Just bz siku uliyoiona mnato ulikuwa haujaiingia kwa kama siku 7 hivi.. Ukaiingia siku 4 mfululizo, uksiona siyo mnato.. Ukaipumzisha kwa siku tatu, shahawa zikaongezeka, ukaiona mnato tena.



Over!!
 

Similar Discussions

21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom