Kuna Raha yake kwa mwanaume kula mwanamke aliyekuzidi hadhi

lee van cliff

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,722
2,000
Kwanza nguvu huwa zinaongezeka,Raha zaidi,utamu zaidi na starehe sana kwa mwanaume unapokula penzi la mwanamke yoyote aliekuzidi au mwenye hadhi ya juu zaidi.
Kwa mfano:
Kula penzi la mwanamke ambae Ni:-
bosi wako,
Mtoto wa bosi wako,
Tajiri,
Mtoto wa kiongozi,
Mwenye akili Sana,
Mwenye cheo zaidi yako,
Mtoto wa tajiri,
Kiongozi,
Maarufu,
Mashuhuri,
Ikitokea kumpata mrembo mmojawapo Kati ya hawa ambae kwa hakika atakua Ni juu zaidi yako hakika nakuambia ni starehe Sana.
 

Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
12,464
2,000
Wanikumbusha nilipokuwa naishi huko ughaibuni katika nchi moja hivi niliwahi kutambua kuwa kuna mtu mashuhuri wa kike akitoa tunda kimasihara tu.

Alikuja kusoma kakozi fulani hivi na mume alikuwa amebakia home TZ.

Jamaa yangu hata sikufahamu aliwezaje kupata tunda hilo.

Ila nilimpongeza kwa ujasiri huo wa kula tunda la mtu mashuhuri tena kirahisi kabisa.

Huyo mheshimiwa alikuwa "very discreet"nilipenda sana hiyo protocol yake.

Hivyo basi, haya mavitu hutokezea sana hapa duniani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom