Kwema Wanazengo!
Sio lengo langu kumkwaza yeyote, lakini embu tujadili kidogo.
Hivi ukijitazama ukajitathmini, Unaishi au Unaishia?
Kama huli chakula ukitakacho, unaishi au Unaishia?
Kama huvai utakacho, unaishi au Unaishia?
Kama hujawahi hata kumiliki usafiri hata wa punda, unaishi au...