Nimempa mimba mwanamke asiye mke wangu

Kichochoro

JF-Expert Member
Jul 18, 2017
1,135
1,163
Habar wanajukwaa,

Mimi ni baba wa mke mmoja wa ndoa na mtoto mmoja mwanzoni mwa mwezi February niliamua kuazisha mahusiano na mwanamke wa nje ya ndo yaan asiye Mke wangu tumekuwa tukisafri mikoa mbalimbali kwa Siri bila mama watoto wangu kujua.

Mwezi june alinijuza kwamba anahisi kama ana ujauzito na mimi nilimuomba sana ajitahid kupima na kweli alipima alikuta tayari anaujauzito hapa nina wiki mbili nimechanganyikiwa kabisa Maana najiuliza vipi mke wangu akijua kwamba nilifanya hivyo.

Naombeni ushauri wenu najiona si chochote Mimi hapa dunian sikutegemea kama itatotekea hivyo maana mwanamke huyo alikuwa anatumia sindano kwa hiyo tumekuwa tukilana tu bila wasiwasi nimehakiki kweli ama mimba na nimemwambia kutoa hataki kabisa hzo habari ndg zangu nifanyaje Mimi nimechanganyikiwa kabsa
 
Back
Top Bottom