SoC02 Mirathi na Mwanamke baada ya kifo cha mumewe

Stories of Change - 2022 Competition
Nime kupigia kura !!!

Unajua umeongea jambo la msingi sana, Naomba hapo kwenye kipengere cha ndoa kuvunjika kwa sababu mbili yani
"talaka na kifo" ongezea kipengere cha namba tatu. Weka "ndoa Kuvunjika kwa sababu ya tamaa ya mali".

Mali pia zinaweza kuwa chanzo cha ndoa za watu kuvunjika, kwamba kuowa au kuolewa kisa mwenza wako anamali nyingi ni tatizo kubwa kwa wana ndoa.
 
Jamii inapaswa kuelewa kuwa mwanamke ana haki zote kama ilivyo kwa mwananume na kwasababu mwanamke naye ana haki ya kumiliki mali aidha kuajiri watu wamfanyie kazi zake na mambo mengine mengi tu mwanamke ana haki ya kuyafanya bila ubaguzi wa aina yoyote ile.

Na katika upande huo huo mwananmke pia ana haki ya kurithi au kurithiwa. Hii inamaanisha mwanamke nae anaweza kuandaa Wosia au bila wosia mali zake kurithiwa na watu wake kama vile mumewe watoto na ndugu zake wengine. Hii inamaanisha kuwa hata mwanamke nae anatakiwa kurithi

Vile vile Kwakuwa mwanamke anaweza kutafuta mali na mambo mengine haifuti Hali yake ya kibaiolojia ya kuwa mke na kuwa mama pia. Mwanamke anapokuwa mke au mama haimaanishi haki yake ya kufanya kazi na kuchangia pato la familia limeondoka.

kwakuwa bado mke anaweza changia uchumi wa familia na kuwa sehemu ya wanandoa bado ndoa hii huweza kuvunjika.

Ndoa huvunjika kwa namna mbili:-
  1. Kwa kuachana/ talaka
  2. Kwa kifo cha mmoja

1. Tukiangazia sheria za Tanzania hususani Sheria ya ndoa Imeweka mambo bayana Kuhusu mgawanyo wa mali kati ya mke na mume pale wanapotengana au kutalakiana, Kwamba mali walizochuma wanandoa pamoja wakiwa katika ndoa zitagawanywa sawa sawa au kwa mujibu wa asilimia kila mwanandoa alizochangia katika kupatikana kwa mali hizo.

Katika upande huu Mwanga umeonekana na mwanamke angalau ameonekana kuzingatiwa kisheria. Lakini sheria hiyo hiyo nayo inaonekana kuwa na mapungufu baadhi ya sehemu kwa kutokuweka mambo sawa sawa.

KIINI CHA MADA YETU

2. Katika kutengana kwa kifo hapa tuangazie moja kwa moja Kifo cha mume na kutakikana lifanyike swala la mirathi.

Suala la mirathi limekuwa bado ni kitendawili katika jamii zetu za kiafrika na Hususani Tanzania upande wa mke kama sehemu ya wanandoa baada ya kufa kwa mume

Katika upande wa mgawanyo wa mali za wanadoa baada ya kufa kwa mwanaume hapa ndipo kwenye mtafaruku mkubwa sana. Na kwanini nimetumia kugawanya mali za wanandoa badala ya kutumia kugawanya mali za MAREHEMU. Na hii ni kutokana na kwamba sheria za Tanzania hazijabainisha na kutenganisha kati ya mali za wanandoa na mali za marehemu.

Inaonekana kuwa ni mali za wanandoa ndizo ambazo hurithiwa zote baada ya kufariki kwa mume wakati ambao mke bado anaishi. Na hurithiwa zote bila kuliengua kwanza Fungu la mke katika zile mali zote za wanandoa ili zibakie mali za marehemu peke ake. Hivyo humfanya mke awe ni miongoni mwa warithi wa mali za wanandoa na kumfanya na yeye arithi mali zake mwenyewe. Vile vile hii hufanya warithi kurithi mali za wanandoa wakati bado kuna mwanandoa mwengine amebaki.

Hebu tuone mambo yalivyo na inavotakikana kuwa:-

  1. Baada ya kifo cha mume inatakiwa kwanza kabla ya kufungua shauri la mirathi mahakamani ni vyema kwanza lifunguliwe shauri la mgawanyo wa mali za wanandoa. Ili kuzigawa mali za wanandoa kwanza kila mtu apate haki yake Mke abaki na haki yake na Mume ambae ni marehemu abaki na zake. na kwa kufanya hivyo Marehemu atabakiwa na mali zake na mwanandoa aliebakia yaani mke nae atabakiwa na mali zake pembeni.

  1. Baada ya kuwa Mgawanyo wa mali umekwishafanyika sasa ndio inapaswa shauri la mirathi lifunguliwe. Na hapa mali ambazo zitaandikwa kwa ajili mirathi ni zile za marehemu tu yaani mume wakati huu sasa hakuna hata asilimia moja ya mali ya mke ambayo itajumuishwa katika mirathi hii yaani mke aliebaki amebaki na mali zake. Isipokuwa mke ataandikwa kama miongoni mwa warithi wa mali za marehemu mumewe.

  1. Suala jingine ni mgawanyo wa mali na katika kuzigawa mali za marehemu bado tunamuona mwanamke nae Akijumuishwa kama miongoni mwa warithi nae atagawiwa Haki yake kama mke wa marehemu na kama mrithi halali wa mali za marehemu. Hivyo mke atabaki na haki yake ya sehemu ya mali zake na Pia atabaki na mali zingine ambazo ni urithi wa Mumewe

Kwa akili ya kawaida tu huwezi zigawa mali za mtu ikiwa mwenyewe bado yupo hai. Au huwezi mgawia mtu sehemu ya mali yake ikiwa yeye mwenyewe ndio mmiliki au ameshiriki kikamilifu katika utaftwaji wa mali hio halafu umgawie kwa njia ya mirathi sawa au kwa kiwango sawa na warithi wengine.

Na suala la mwanamke kurithi mali za mumewe ni haki yake ya kimsingi na kisheria maana. Hivyo hata kama atakua tayari mke huyo amegawiwa sehemu yake katika chumo la ndoa bado ana haki ya kumrithi mumewe Japo kwa wakati huo atakuwa hana tena haki katika mali za mumewe bali atakuwa na haki kama Mke na mrithi wa mumemwe. Kama ilivyo katika mke kurithi mali za mumewe zote endapo mume huyo hana watoto wala ndugu wenginae wa kuweza kumrithi.

Na kwa kufanya hivyo haimaanishi kwamba ndio tutakuwa tumeondoa haki ya watoto hapana suala la huduma kwa watoto bado litabaki pale pale kuwa ni jukumu la wazazi wote wawili kuhudumia familia. Kama ilivyo kwenye Talaka Na basi hata kwenye kifo watoto watapata huduma kwa mama yao aliyebaki na endapo atafariki basi watoto hao bado watakuwa na haki ya kurithi kwa mama yao.

Nashauri hivi ili kuondoa kuipoteza au kuifisha na kuibalagaza haki ya mke katika mali zake mwenyewe na kutakikana kurithi Sawa na warithi wengine kama vile Watoto, na ndugu wengine wa marehemu ambao huenda hawakuchangia chochote katika mali hizo.
Du!
 
Nashkuru sana wa Ushauri wako nitalifanyia kazi hilo Haraka iwezekanavyo
 
Umeandika story nzuri, wazo ambalo linasumbua wajane wengi.

Mamndenyi ni mhanga wa hili.

Niliteseka sana kwenye suala la mirathi, Nga tulikuwa tume separate kwa sababu zetu ila mke wa ndoa nilikuwa mimi.

Na ikitokea mume amefariki mjane akawa hana namna ya kupata ushauri wa kisheria ndo basi tena unapoteza kila kitu.
 
Pamoja na hayo Mirathi bana swala mtambuka sana Yani linahitaji Sana umakini
 
Nime kupigia kura !!!

Unajua umeongea jambo la msingi sana, Naomba hapo kwenye kipengere cha ndoa kuvunjika kwa sababu mbili yani
"talaka na kifo" ongezea kipengere cha namba tatu. Weka "ndoa Kuvunjika kwa sababu ya tamaa ya mali".

Mali pia zinaweza kuwa chanzo cha ndoa za watu kuvunjika, kwamba kuowa au kuolewa kisa mwenza wako anamali nyingi ni tatizo kubwa kwa wana ndoa.

Lakini naona hilo linaweza kuingia katika hoja ya kwanya ya kuachana na Talaka maana hapo ndani ndipo zitapatikana sababu mbalimbali za kuachana na kudai talaka
 
Jamii inapaswa kuelewa kuwa mwanamke ana haki zote kama ilivyo kwa mwananume na kwasababu mwanamke naye ana haki ya kumiliki mali aidha kuajiri watu wamfanyie kazi zake na mambo mengine mengi tu mwanamke ana haki ya kuyafanya bila ubaguzi wa aina yoyote ile.

Na katika upande huo huo mwananmke pia ana haki ya kurithi au kurithiwa. Hii inamaanisha mwanamke nae anaweza kuandaa Wosia au bila wosia mali zake kurithiwa na watu wake kama vile mumewe watoto na ndugu zake wengine. Hii inamaanisha kuwa hata mwanamke nae anatakiwa kurithi

Vile vile Kwakuwa mwanamke anaweza kutafuta mali na mambo mengine haifuti Hali yake ya kibaiolojia ya kuwa mke na kuwa mama pia. Mwanamke anapokuwa mke au mama haimaanishi haki yake ya kufanya kazi na kuchangia pato la familia limeondoka.

kwakuwa bado mke anaweza changia uchumi wa familia na kuwa sehemu ya wanandoa bado ndoa hii huweza kuvunjika.

Ndoa huvunjika kwa namna mbili:-
  1. Kwa kuachana/ talaka
  2. Kwa kifo cha mmoja

1. Tukiangazia sheria za Tanzania hususani Sheria ya ndoa Imeweka mambo bayana Kuhusu mgawanyo wa mali kati ya mke na mume pale wanapotengana au kutalakiana, Kwamba mali walizochuma wanandoa pamoja wakiwa katika ndoa zitagawanywa sawa sawa au kwa mujibu wa asilimia kila mwanandoa alizochangia katika kupatikana kwa mali hizo.

Katika upande huu Mwanga umeonekana na mwanamke angalau ameonekana kuzingatiwa kisheria. Lakini sheria hiyo hiyo nayo inaonekana kuwa na mapungufu baadhi ya sehemu kwa kutokuweka mambo sawa sawa.

KIINI CHA MADA YETU

2. Katika kutengana kwa kifo hapa tuangazie moja kwa moja Kifo cha mume na kutakikana lifanyike swala la mirathi.

Suala la mirathi limekuwa bado ni kitendawili katika jamii zetu za kiafrika na Hususani Tanzania upande wa mke kama sehemu ya wanandoa baada ya kufa kwa mume

Katika upande wa mgawanyo wa mali za wanadoa baada ya kufa kwa mwanaume hapa ndipo kwenye mtafaruku mkubwa sana. Na kwanini nimetumia kugawanya mali za wanandoa badala ya kutumia kugawanya mali za MAREHEMU. Na hii ni kutokana na kwamba sheria za Tanzania hazijabainisha na kutenganisha kati ya mali za wanandoa na mali za marehemu.

Inaonekana kuwa ni mali za wanandoa ndizo ambazo hurithiwa zote baada ya kufariki kwa mume wakati ambao mke bado anaishi. Na hurithiwa zote bila kuliengua kwanza Fungu la mke katika zile mali zote za wanandoa ili zibakie mali za marehemu peke ake. Hivyo humfanya mke awe ni miongoni mwa warithi wa mali za wanandoa na kumfanya na yeye arithi mali zake mwenyewe. Vile vile hii hufanya warithi kurithi mali za wanandoa wakati bado kuna mwanandoa mwengine amebaki.

Hebu tuone mambo yalivyo na inavotakikana kuwa:-

  1. Baada ya kifo cha mume inatakiwa kwanza kabla ya kufungua shauri la mirathi mahakamani ni vyema kwanza lifunguliwe shauri la mgawanyo wa mali za wanandoa. Ili kuzigawa mali za wanandoa kwanza kila mtu apate haki yake Mke abaki na haki yake na Mume ambae ni marehemu abaki na zake. na kwa kufanya hivyo Marehemu atabakiwa na mali zake na mwanandoa aliebakia yaani mke nae atabakiwa na mali zake pembeni.

  1. Baada ya kuwa Mgawanyo wa mali umekwishafanyika sasa ndio inapaswa shauri la mirathi lifunguliwe. Na hapa mali ambazo zitaandikwa kwa ajili mirathi ni zile za marehemu tu yaani mume wakati huu sasa hakuna hata asilimia moja ya mali ya mke ambayo itajumuishwa katika mirathi hii yaani mke aliebaki amebaki na mali zake. Isipokuwa mke ataandikwa kama miongoni mwa warithi wa mali za marehemu mumewe.

  1. Suala jingine ni mgawanyo wa mali na katika kuzigawa mali za marehemu bado tunamuona mwanamke nae Akijumuishwa kama miongoni mwa warithi nae atagawiwa Haki yake kama mke wa marehemu na kama mrithi halali wa mali za marehemu. Hivyo mke atabaki na haki yake ya sehemu ya mali zake na Pia atabaki na mali zingine ambazo ni urithi wa Mumewe

Kwa akili ya kawaida tu huwezi zigawa mali za mtu ikiwa mwenyewe bado yupo hai. Au huwezi mgawia mtu sehemu ya mali yake ikiwa yeye mwenyewe ndio mmiliki au ameshiriki kikamilifu katika utaftwaji wa mali hio halafu umgawie kwa njia ya mirathi sawa au kwa kiwango sawa na warithi wengine.

Na suala la mwanamke kurithi mali za mumewe ni haki yake ya kimsingi na kisheria maana. Hivyo hata kama atakua tayari mke huyo amegawiwa sehemu yake katika chumo la ndoa bado ana haki ya kumrithi mumewe Japo kwa wakati huo atakuwa hana tena haki katika mali za mumewe bali atakuwa na haki kama Mke na mrithi wa mumemwe. Kama ilivyo katika mke kurithi mali za mumewe zote endapo mume huyo hana watoto wala ndugu wenginae wa kuweza kumrithi.

Na kwa kufanya hivyo haimaanishi kwamba ndio tutakuwa tumeondoa haki ya watoto hapana suala la huduma kwa watoto bado litabaki pale pale kuwa ni jukumu la wazazi wote wawili kuhudumia familia. Kama ilivyo kwenye Talaka Na basi hata kwenye kifo watoto watapata huduma kwa mama yao aliyebaki na endapo atafariki basi watoto hao bado watakuwa na haki ya kurithi kwa mama yao.

Nashauri hivi ili kuondoa kuipoteza au kuifisha na kuibalagaza haki ya mke katika mali zake mwenyewe na kutakikana kurithi Sawa na warithi wengine kama vile Watoto, na ndugu wengine wa marehemu ambao huenda hawakuchangia chochote katika mali hizo.
Kaka mafundisho yako ni mazuri mno natamani rafiki angu ambae in mjane a some ujumbe huu hakika atajifunza mengi sana
 
Yah ni kweli kabisa lakini haya ni mambo ambayo nimeyaandaa mwenyewe ni mawazo yangu tu ila yapo Ambayo yanatambulika kisheria pia Ambayo ndio hutumika nchini
 
Back
Top Bottom