Licha ya kushikiliwa gerezani kwa tuhuma zinazomkabili, Kunde Gambija Kilulu (15) alikuwa miongoni mwa zaidi ya watahiniwa milioni 1.1 waliofanya mitihani ya darasa la saba na hatimaye kufaulu kwa daraja B.
Wakati wanafunzi wenzake wakifanya mitihani hiyo wakiwa katika mazingira ya kawaida...
Naomba ushauri ya kutuma pesa India ya matumizi ya mwanafunzi bila kupitia wester union maana wana makato makubwa je kuna kampuni nyingini ya kutuma pesa India?
Wakuu habari ya November Nina dogo yuko Dodoma ndani ndani Kijiji kimoja kinaitwa Ibedya amemaliza darasa la Saba amepata wasatani wa 'D'/amefeli naomba nifahamu inawzekana akaja Dar akarudia darasa kwenye shule ya Serikali? Kama inawzekana process zake ziko vipi?
Natanguluza shukrani!
Walinzi watatu wa Shule ya upili ya Wasichana ya Komothai Nchini Kenya wamekamatwa kwa tuhuma za kumuua Mwanafunzi wa kiume wa Shule nyingine jirani ya Wavulana aliyekutwa kwenye Bweni la Wasichana la Shule hiyo saa kumi alfajiri wiki iliyopita.
Taarifa ya leo imesema Walinzi hao Joseph Mutahi...
Mwanafunzi moja wa shule ya msingi Kibaoni Manispaa ya Singida amefariki dunia jioni ya Leo baada ya kugongwa na Gari iliosemekana ni ya kusafirishia hela za benki.
Mwanafunzi huyo aligongwa akiwa sehemu salama kabisa inayoruhusu waenda kwa miguu kuvuka barabara yani zebra, lakini kwa kutojali...
Wakuu kumbe kuna mwamba UDSM ana GPA ya 4.8,.
Khaa ametuokoa wanaume, wanaume tulianza kusemwa wakuu.
---
Mtoni Tito Paul ambaye ni mhitimu wa Shahada ya Awali ya Elimu jamii katika Takwimu yaani B. A. of Arts in Statistics UDSM aliyepata GPA ya 4.8 na kuwa mwanafunzi bora UDSM
Tito...
MKAZI wa Kitongoji cha Mabatini, wilayani Nkasi mkoani Rukwa, Kennedy Fumpa (37), amekamatwa kwa tuhuma za kumuoa mwanafunzi wa darasa la tatu baada ya kulipa mahari ya Sh. 330,000 pamoja na nguruwe mmoja.
Mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 11 (jina linahifadhiwa), alikuwa darasa la tatu na...
Juzi kati jamaa yangu akanipigia, Mshkaji nilisoma naye High school. Tulipotezana kitambo ila hamadi tukakutana town tukabadilishana namba fresh.
Kwa sasa nimehamia kwenye kakibanda kangu ambapo jamaa since naanza ujenzi alikuwa hajawahi kuja though mimi kwake nimewahi kwenda kumtembelea, Jamaa...
Mwananfunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Cyril Chami, Yasinta Mathew (17) amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kile kilichodaiwa kuwa na msongo wa mawazo
Kamanda Maigwa amesema tukio hilo lilitokea Agosti 16, 2021 maeneo ya Mweka kata ya Kibosho Mashariki ambapo mwanafunzi huyo...
Kama mwanafunzi hana utindio wa ubongo huyo anafundishika na akafanya vizuri kabisa katika masomo yake.
Wanafunzi wamegawanyika katika makundi makuu matatu;-
Ni wanafunzi ambao wana uwezo mkubwa wa uelewa na kutafakari; hawa wakifundishwa kidogo tu inawatosha.
Na wengine wapo wenye uwezo wa...
Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kanami, Kijiji cha Isangijo wilayani Magu Mkoani Mwanza Robert Mfungo anatuhumiwa kumbaka shemeji yake ambae ni mwanafunzi wa darasa la sita mwenye umri wa miaka kumi na mbili.
Inaelezwa Mke ambaye ni Dada wa Mtoto huyo pamoja na majirani waligundua Unyama huo na...
Katika kila hatua mpya ya maisha kuna mambo usiyoyajua kwa sehemu, ambayo ukiyajua na kuzingatia kwa asilimia kubwa yatakuwezesha kuwa na matokeo bora ya maisha tofauti na asiyeyajua kabisa.
Katika Makala hii nataka kuzungumza na mwanafunzi mpya wa chuo kikuu na hata wale wanaoendelea na masomo...
Najua unahitaji kuwa na GPA y 3.5 kupata sifa ya kujiunga na MD by TCU standards! Katika daily practice, kuna mwombaji aliyepokelewa MUHAS with this qualification? Nisaidieni information please.
Vyuo vingine vya medicine wanawapokea na wanamaliza vema tu with flying colours.
DODOMA - JULAI 19, 2021
TAARIFA KWA UMMA KUPITIA VYOMBO VYA HABARI
ACHUKUA RUSHWA ILI MWANAFUNZI ASIENDE SHULE
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma leo Julai 19, 2021 inatarajia kumfikisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma Bw. Maliselo Kapampa Saveli (29) na...
"Kati ya mahabusu wa kiume 48 waliokuwepo katika Kituo cha Kirumba, kuna mtoto mwenye umri wa miaka 13. Mtoto huyu, alimsogelea Askofu na kumueleza kwa masikitiko kisa chake. Kwamba siku moja aliamua kuchuma limao moja katika mlimao wa jirani yake ili aweke kwenye dagaa ili ale. Jirani yake...
Ni wazi kwamba mifumo wa elimu yetu hapa nchini Tanzania haijaweza msaidia mwanafunzi kujisimamia na kuendesha maisha yake bila utegemezi wa wazazi/walezi au kuajiriwa.Kwa kiwango kikubwa cha ukosefu wa ajira kwa vijana na kutokuwa na thamani ya elimu yetu ya msingi na sekondari katika ajira...
Kujiajiri ni kinyume cha kuajiriwa. Yani mtu kufanya kazi fulani kwalengo la kujipatia kipato, Mtu wa ngazi yeyote ya elimu anaweza kujiajiri mradi tu anaufahamu wa kile anachotaka kukifanya. Kwa hali ya kawaida iliyozoeleka katika akili za wengi ni kuwa wakati wa uanafunzi ni wakati wa...
Au sijasikia na kuona uzuri mie?
Naangalia TBC1 hapa naona Mke wa hayati Dkt. Omari Ally Juma anatoa historia,
Moja aliyoyasema eti alimchumbia akiwa ndogo sana na kufunga naye ndoa akiwa kidato cha kwanza.
La pili anasema alikuwa ni ndugu yake, mume ndugu.
La tatu, Dkt. Omari Ally Juma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.