mwanafunzi

  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wabana matumizi plus, tunga bajeti yako hapa kwa vipato hivi ukiwa kama mwanafunzi chuoni

    Weka mawazo ya bajeti yako endapo unapokea kwa mwezi shilingi laki moja 100,000/= ukiwa chuoni hapa tunakadiria kwamba mtu alishalipia gharama ya chumba kwenye hostel ya wanafunzi, hivyo hatasumbuliwa
  2. Chris Mungoreme

    JamiiForums Tanzania Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya Kidato cha Sita 2020

    Mdogo wangu kapata 2 ya 11 (DDC) anataka kusoma medical,is it possible? ===== Habari wanaJF, Leo Baraza la mitihani la Tanzania NECTA limeyatoa matokeo ya kidato cha sita, kwa uzoefu wangu nimeona ni vyema tuanzishe uzi huu maalumu ili tushauriane, tueleweshane, tuambiane nini cha kufanya na...
  3. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Mwalimu aliyeshtakiwa kwa kumbaka Mwanafunzi ahukumiwa miaka 30 jela. Mwanafunzi afukuzwa shule

    Habari wanaJamiiForums, Mwalimu George Ngallu wa Mahiwa Sekondari aliyekuwa na kesi mahakamani ya kufanya ngono na mwanafunzi wake wa kidato cha tano 2019/20 katika mchepuo wa History, Geography na Kiswahili (HGK) amakutwa na hatia na amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kuanzia tarehe...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mhadhiri UDOM aliyetaka rushwa ya ngono kwa mwanafunzi afunguliwa shtaka la uhujumu uchumi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Dodoma inatarajia kumfikisha mahakamani Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Jacob Nyangusi (43) na kufunguliwa shauri la uhujumu uchumi kwa kosa la kutaka rushwa ya ngono kinyume cha sheria ya kuzuia na Kupambana na rushwa...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Katavi: Watu 15 wakamatwa kwa kumuozesha mwanafunzi kwa ng'ombe 12

    Jeshi la polisi mkoa wa katavi limewakamata watuhumiwa 15 wakiwemo wazazi wawili kwa kumwozesha mwananfunzi wa darasa la tano anayesoma shule ya msingi ya Kaseke iliyopo manispaa ya Mpanda kwa mahari ya ngombe 12. Kamanda wa polisi wa mkoa wa Katavi, Benjamin Kuzaga amesema katika mohojiano...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Chuo cha Udaktari wilaya ya Masasi abaka mtoto wake na kumpa ujauzito

    Mwanafunzi wa Chuo cha Udaktari wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara Mkazi wa Mburahati Jijini Dar es Salaam na Itunduma kata ya Mtwango wilaya na Mkoa wa Njombe amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kumbaka mtoto wake na kumsababishia ujauzito. Akimsomea Mashitaka matano yanayomkabili mshitakiwa huyo...
  7. eddy king

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Polisi wanamshikilia Suzy Keneth(19) kwa mauaji ya Mwanafunzi James Magesa (21)

    Mwanafunzi wa mwaka wa Kwanza chuo kikuu Cha sayansi na technologia Mbeya (MUST) ndg Linus Magesa (21) ameuwa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha Kali kifuani na mtu anayesadikika kua ni mpenzi wake anayetambulika kwa jina la Suzy (19). Chanzo kikisadika kua Ni wivu wa mapenzi, Mtuhumiwa anaendelea...
  8. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mtoto Bahati Cornel wa Umbwe primary school amepotea. Yupo Polisi Kawe

    Mtoto Bahati S/o CORNEL, Mchaga, 8 yrs old, M/Funzi Umbwe primary school, Darasa la tano. Mtoto huyu yupo hapa police Kawe ambapo alijieleza kuwa amepotea, alikuja jijini DSM akitokea mkoani Kilimanjaro ambako ndiko anakoishi na Baba yake Mzazi aitwae CORNEL JOSEPH MASAWE, ambae anafanya kazi...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi atuhumiwa kuua mwenzake chuoni

    Mwanafunzi wa Chuo cha Utumishi Kange, jijini hapa anadaiwa kumuua mwanafunzi mwenzake kwa kumchoma kisu baada ya kumkuta kwenye chumba cha rafiki yake wa kike. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Kamishna Msaidizi, Blasius Chatanda, alithibitisha jana kwa njia ya simu kutokea kwa tukio hilo, na...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kufunguliwa kwa shule nchini: Wanafunzi wasisitizwe kuwa waonapo dalili hizi toa taarifa kwa walimu au wazazi

    Dalili za ugonjwa wa COVID19 ni homa, kikohozi na mafua, kubanwa mbavu na kupumua kwa shida, kuumwa kichwa, vidonda kooni, koo kukauka, mwili kuchoka na kupoteza uwezo wa kuhisi ladha na harufu Kwa wanafunzi wanaotarajiwa kurudi mashuleni, ni muhimu kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Acharazwa viboko 12 kwa kubaka mwanafunzi. Asema ibirisi wa mapenzi ndiye aliyemshawishi kufanya yote hayo

    MAHAKAMA ya Mkoa wa Lindi, imemuhukumu mkazi wa Kata ya Nyengedi, Kassimu Bidhali Chilumba (18), kuchapwa viboko 12 makalioni, baada ya kupatikana na kosa la kumbaka mwanafunzi. Mtuhumiwa hiyo alimbaka mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyengedi (jina limehifadhiwa). Hukumu hiyo ilitolewa...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Njombe: Mwalimu Mkuu ahukumiwa kwa kumjeruhi mwanafunzi kwa fimbo

    Na Amiri kilagalila, Njombe Mahakama ya wilaya ya Makete mkoani Njombe imemhukumu mwalimu mkuu wa shule ya Msingi Iwale Mwl.Steven Mahenge kulipa faini ya shilingi Laki 5 au kwenda jela miezi minne kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi mwanafunzi wake anayesoma darasa la 7 mwenye umri wa miaka 13...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Taharuki yatanda mitandaoni kutokana na mauaji ya mwanafunzi aliyekuwa akijisomea Kanisani

    - Mwanafunzi huyo alikuwa anajisomea ndani ya kanisa la Redeemed Christian Church of God (RCCG) wakati wa tukio hilo - Familia yake ilipokea simu kutoka mama mmoja wa kanisa hilo - Uwavera alikimbizwa hospitalini baada ya mlinzi kumpata sketi yake ikiwa imechanika na blauzi yake ikiwa imelowa...
  14. Blue Bahari

    JamiiForums Tanzania Maoni: Kila Mwalimu na Mwanafunzi apimwe covid-19 kabla ya kuanza masomo

    Habarini wadau! Kwa kuwa jana (17/05/2020) Mh: rais katupa matumaini ya hali nzuri ya nchi yetu na kwamba anafikiria kufungua vyuo na michezo mda si punde. Sasa mimi nikiwa kama mdau mmojawapo wa elimu, nina pendekezo lillilo na namna mbili za kufanya: (1) Aidha walimu na wanafunzi wapimwe...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwalimu jela miaka 30 kwa kubaka mwanafunzi

    MAHAKAMA ya Wilaya ya Ileje mkoani Songwe, imemhukumu kutumikia kifungo cha miaka 30 jela na kuchapwa viboko 24 Abed Rajab Mbuba (54), ambaye ni mwalimu wa Shule ya Msingi Shinji iliyopo Kijiji cha Shinji, kata ya Mbebe kwa kosa la kumbaka mwanafunzi. Akisoma hukumu hiyo, Hakimu Shughuli...
  16. kudath omar

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Advance (Science) chukuwa vitabu hivi kwa bei nafuu

    Mwanafunzi wa advance chukua vitabu hivi kwa bei karibia na bure vikusaidie kipindi hicki cha mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19, kaka yenu nimestaafu kufundisha. CONCEPTUAL CHEMISTRY CLASS XI(S.CHAND ) CONCEPTUAL CHEMISTRY CLASS XII (S.CHAND) A-LEVEL CHEMISTRY fouth edition (E.N. Ramsden) Vyote...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa UDSM akamatwa kwa kusambaza taarifa na Takwimu za uongo za Covid-19 WhatsApp

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Mwaka wa Tatu Kitivo cha Kiswahili Mariam Jumanne Sanane (23) kwa kosa la Kuchapisha na kusambaza taarifa na takwimu za uongo kuhusu Corona kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo Whatsapp. Akitoa...
  18. rodian

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi mmoja amefariki baada ya kuzama maji.

    Mtu mmoja ambaye inasadikika kuwa Ni mwanafunzi wa QT jinsia ya kuume katika shule ambayo haikujulikana Mara moja,amezama maji katika ufukwe wa Ununio.Tukio Hilo limetokea majira ya SAA 10 jioni,inasemekana alikuwa akiongelea na wenzake wanne wasichana watatu na mmoja wa kuume ambao...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ili kundoa usumbufu kwa serikali na CCM, Wizara ya elimu iagizwe kuondoa topiki zinazomfanya mwanafunzi kuwa mchambuzi,masomo ya kuchagua A au B muhim

    Nimetafakari sana na kugundua kumbe ccm hii shida tunayoipata tumeitengeneza wenyewe tangu enzi za mwalimu Nyerere Kipindi cha mzee Nyerere,masomo mengi ya kuhoji mifumo yalifundishwa, na haya ndio shida kubwa kwetu Awamu ya mzee Mwinyi na Mkapa,Benki ya Dunia na mashirika ya kimataifa...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Kagera: Muuguzi mbaroni kwa tuhuma za kuua mwanafunzi wakati akimtoa mimba

    Jeshi la Polisi mkoani Kagera, linamshikilia Dezber Kahwa (49), mkazi wa Kijiji cha Kibengwe, Bukoba Vijijini, kwa tuhuma za kusababisha kifo cha Alinda Leverian (14), mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Kilima, kwa kumtoa mimba kienyeji. Kamanda wa Polisi mkoani Kagera...
Back
Top Bottom