mwanafunzi

  1. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi afariki kwa kupigwa risasi shuleni, kisa kuzuia kuangalia mechi ya Man Utd

    Mwanafunzi amefariki kwa kupigwa risasi wakati polisi wakituliza vurugu za wanafunzi wa Shule ya Sekondari Gulu nchini Uganda, zilizotokana na kuzuiwa kutazama mchezo wa Man City dhidi ya Man United, Jumapili Machi 6, 2022. Mwanafunzi huyo ametajwa kuwa ni Gabriel Rwotomiya ambaye alikuwa...
  2. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mganga asakwa kwa tuhuma za kumbaka, kumpa mimba mwanafunzi wa Shule ya Msingi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi linamtafuta Juma Salumu maarufu ‘Juma Kipanya’ ambaye ni mganga wa kienyeji mkazi wa Manispaa ya Lindi kwa tuhuma za kubaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wa darasa la saba mwenye umri wa miaka 15 Wilayani Lindi. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, Foka Dinya...
  3. John Haramba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Chuo Kikuu afariki baada ya ‘jogoo’ kuwika siku tatu mfululizo

    Mwanafunzi mmoja wa Chuo Kikuu cha Maasai Mara ameaga dunia baada ya ‘jogoo’ wake kuwika kwa siku tatu mfululizo katika Kaunti ya Narok nchini Kenya. Ripoti ya Polisi imeeleza kuwa mwanafunzi huyo aliyekuwa na umri wa miaka 22 alifariki akiwa katika Hospitali ya Shepherd alikokuwa amelazwa...
  4. John Haramba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Kenya afungwa jela kwa vifo vya moto shuleni

    Msichana mmoja raia wa Kenya amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la kuua bila kukusudia kufuatia moto katika bweni la shule na kuua wenzake tisa. Msichana huyo mwenye umri wa miaka 18 alitenda kosa hilo mwaka wa 2017 akiwa na umri wa miaka 14 katika mwaka wake wa kwanza wa...
  5. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Geita: Auawa akidaiwa kujaribu kumbaka mwanafunzi

    Mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka kati ya 18 hadi 22 ameuawa na mwili wake kuchomwa moto na wananchi wakidai kuwa alijaribu kutaka kumbaka mwanafunzi wa kidato cha pili katika Sekondari iliyopo Kata ya Bombambili mjini Geita. Tukio hilo limetokea leo Alhamisi Februari 24, 2022 saa...
  6. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Mkuu wa Mkoa ahoji kuhusu askari anayetuhumiwa kumpa ujauzito mwanafunzi

    Picha: Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila mwanzoni kulia Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila ameagiza kupata maelezo ya kina juu ya hatua zilizochukuliwa na Jeshi la Polisi dhidi ya askari, Nuru Mtafya anayetuhumiwa kumpa ujauzito mwanafunzi anayejulikana kwa jina la Neema Mabula wa...
  7. Replica

    JamiiForums Tanzania Geita: Mwanafunzi wa miaka 14 ajinyonga mtini baada ya kukasirika

    Mwanafunzi Saada Ngedea(14) wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Shinamwenda Mkoani Geita amefariki dunia kwa kujinyonga kwa kamba ya mti ambayo aliifunga kwenye mti. RPC wa Geita Henry Mwaibambe amesema chanzo cha kifo ni kwamba Mwanafunzi huyo alikuwa analazimishwa kutoka Kijijini wao na...
  8. Andrew Miyombo

    JamiiForums Tanzania Ni hatua zipi za kufuata kwa mtumishi anayetaka kuhama wilaya ndani ya mkoa huohuo?

    Mtumishi akitaka kuhamia wilaya yoyoye ndani ya mkoa husika anafanyaje?
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tabora: Mwanafunzi auawa na kunyofolewa sehemu za siri

    Watu wasiojulikana wamemuua kikatili mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Tutuo, Sikonge mkoani Tabora, Maria Kazungu (13) na kisha kunyofoa viungo vyake vya siri wakati akienda kisimani kuchota maji. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi (ACP) Richard Abwao...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Silinde: Kila mwanafunzi apande mti mmoja, zoezi liwe endelevu

    Wakuu wa mikoa na wilaya wametakiwa kusimamia kila mwanafunzi kupanda mti mmoja kila mwaka katika shule za msingi na sekondari ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi yanayoathiri sekta ya elimu ikiwemo kusababisha udumavu kwa watoto shuleni. Pia, maofisa elimu wa mikoa na...
  11. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania Course gani fupi za miezi angalau sita ambazo zinaweza kuwa na faida kwa aliyemaliza Form Four?

    Wakuu nina vijana wawili wa kike na wa kiume wamemaliza kidato cha nne mwaka huu 2021. Kama mnavyofahamu kwamba matokeo yao yakitoka January wanatapaswa kujiunga kidato cha tano mwezi July. Sasa kwa miezi yote hii sita naona kama muda ni mrefu sana kwa wao kukaa nyumbani tu. Sasa nilitamani...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Aliyepata elimu ya msingi na sekondari katika shule za serikali hajui chochote zaidi ya kukariri majibu kwaajili ya mitihani ya taifa

    Habari! Hii mada imeshushwa kama ina kakejeli ndani yake ila ndio ukweli. Ukiondoa shule chache za msingi za serikali ambazo kidogo zina afadhali kama Diamond primary school and like. Ukuondoa sekondari zile za vipaji vya juu na kati tulizosoma zamani ambazo mnakutana wanafunzi kutoka kona...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanafunzi afariki kwa kunyongwa na boflo na soda

    Na SHABAN MAKOKHA SHEREHE za kutuza mshindi wa kula boflo na kunywa soda jana ziliishia simanzi, baada ya mwanafunzi mmoja kunyongwa na mlo huo hadi kufa kwenye Shule ya msingi ya Sikura, Kaunti ya Busia. Marehemu Harrison Oduor Ouma, alikuwa kati ya wanafunzi waliojawa na furaha akitumai kuwa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Vilio na simanzi vyatawala mwili wa mwanafunzi wa SUA aliyeuawa

    Vilio na Simanzi vimetawala wakati wa ibada ya kumuaga Mwanafunzi ambaye amehitimu katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) mkoani Morogoro, Magreth Mashuwe aliyeuawa na watu wasiojulikana katika mashamba ya chuo hicho hivi karibuni huku chanzo kikikwa bado hakifahamiki. Ibada hiyo...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwandisya na Mhongo: Msimlaumu Mwanafunzi Kupata PHD jilaumuni Ninyi (Dr and Prof) mlioacha taaluma mkakimbilia siasa kwa makundi makundi

    Siku zote Mwanafunzi anapokwenda darasani ufanya Kwa mujibu wa maelekezo ya walimu na wasimamizi wake, ufanya Kwa mujibu wa Sheria na kanuni za chuo na ufanya Kwa kuzingatia principles za vyuo husika. Mwanafunzi ajifaulishi anafaulishwa na wanaofaulisha ni wasimamizi wake. Prof Mwandosya na...
  16. KENZY

    JamiiForums Tanzania Hivi ukishampa mimba mwanafunzi sasahivi hufungwi?

    Au nikimbie tu jamani..?😥 Majibu yenu tafadhali!
  17. Point less

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani mwanafunzi wa masomo ya "SCIENCE" inabidi afanye kufaulu?

    Naomba njia ambazo mwanafunzi wa masomo kama MATHEMATICS, PHYSICS, BIOLOGY and CHEMIA kwa kutumia lugha yoyote ile. Unaweza kutoa general au single subject!
  18. polokwane

    JamiiForums Tanzania Kwanza mwanafunzi asichapwe, pili akipata mimba arudi shuleni, tatu kama ana utovu wa nidhamu pia arudi shuleni. Waoneeni huruma walimu

    Nyie wanasiasa waoneeni huruma hao walimu mnao wakabidhi watoto wa aina hiyo. Wazo la kwanza kuwawekea mfumo wao lilikuwa zuri sana lakini hili la kuwachanganya na wanafunzi wengine katika mfumo rasmi hapana. Nitajieni ni nchi gani Ulaya na Amerika ambayo inatumia mfumo huu unao letwa...
  19. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi Chuo cha Ufundi Arusha amuua mwenzake akimdai Tsh. 3000

    Mwanafunzi Ibrahim Shaaban wa Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) anashikiliwa na polisi Mkoani Arusha Kwa kosa la kumuua mwenzake Evance Florian (17) katika ugomvi wa kudaiana sh, 3000. Kamanda wa polisi Mkoa hapa Justine Masejo amethibitisha tukio hilo na kudai kuwa mwili wa marehemu umehifadhiwa...
  20. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Nkasi: Peter Lijualikali amdaka Mwalimu aliyemuoa Mwanafunzi na kuishi nae Nyumba za Shule

    Mwalimu wa Shule ya Msingi Itete kata ya Kirando Wilayani Nkasi, Clarence Mwanakurya (29) amekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kumuoa Mwanafunzi wa kidato cha kwanza Jesca Mwanji (16) tangu mwaka jana na kuishi nae katika majengo ya Serikali yaliyopo katika Shule ya Msingi Itete anaposoma...
Back
Top Bottom