mwanadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya kwanini inakinzana na Masuala Ya Dini/Mwongozo wa Mwanadamu

    Wizara ya Afya jaribu kujitafakari... tumeletwa Duniani ili tuijaze Dunia, haya masuala ya uzazi wa Mpango unatoka wapi? Kila siku wanawake wanalalamika wanaume hawana mbegu za kiume kumbe wanawake nao wako na matatizo yao kuhusu haya mavidoge mara sindano. Mwanamke anameza vidoge ili...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lolote kuhusu lishe ya mwanadamu

    Wakuu mnakaribishwa kuuliza chochote kuhusiana na lishe na afya ya mwnadamu kwa ujumla.Ili kuelimishana na kuongeza maarifa lakini pia kujifunza njia salama za ulaji kuepuka matatizo ya kiafya.
  3. Mokaze

    JamiiForums Tanzania Mwanadamu sawa na kuku bandani

    Wakuu salamu zenu. Nimekaa na kutafakari hali ya maisha yetu sisi binadamu nimeona yapo mithili ya maisha ya kuku bandani. Kuku anafunguliwa asubuhi kutoka bandani hapo anapata "uhuru" wa kuvinjari na kujitafutia riziki, katika kipindi hicho kumswaga ili arudi bandani sio kazi ya kitoto, ni...
  4. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Ndoa humpa hadhi na heshima mwanadamu

    Kumekuwa na Maandiko kadhaa na mijadala kadhaaa kuhusiana na umuhimu wa ndoa na wengine wakisimamia katika kampeni Yao ya Kataa ndoa,ndoa ni utapeli na kadhalika. ETUGRUL BEY nae ameona achangie kidogo katika Jambo hili, nianze Kwa kusema Kwanza wale ambao wanakataa ndoa hawakatai Bila...
  5. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Ndoa ndio kitu bora kabisa Mungu alichowahi kumpa mwanadamu

    Kukatia tamaa suala la ndoa, ni kukatia tamaa sababu ya kuishi. Mungu kwa akili yake timamu alisema si vyema mwanaume akae peke yake. Shetani ndiye amebrainwash watu kuona ni vyema kuachika, kuwa single mama/baba, kupiga na kuacha, punyeto, na lgbtq. Usikatishe tamaa. Ndoa ni kitu bora na safi...
  6. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Je roho za mwanadamu na wanyama huweza kuwa na ufahamiano?

    Mbwa huyu kwa jina la Bryan amekuwa na matendo ya kustaajabisha huko uingereza toka waliokuwa wanafamilia wenza kufariki kwa ajali amekuwa akifika kwenye kaburi kwa miaka miwili mfululizo bila kuchoka na kupumzuka hapo kwa nusu saa na kuondoka zake, je katika ulimwengu wa Kiroho huwa tuna...
  7. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Moyo wa Mwanadamu

    .
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kiasili kila mwanadamu ni mfanyabiashara huwezi kuikimbia asili, ukistaafu utairudia tu

    Biashara ni kitendo cha kubadilishana vitu. Mfumo wa ajira ulikuja ili kupata watu wa kusaidia kazi watu wengine ambao wanafanya biashara fulani.😃😃😃😃 Kama sikosei mfumo ulianza kipindi cha zamani huko watu walipoanza kutawala wengine. Kunazuka wanadamu wajanja ambao wanawazidi wengine akili...
  9. Peter Mwaihola

    JamiiForums Tanzania Kuna Faida Katika Kuamini Uwepo wa Uzima Baada ya Kifo Hakuna wakati mgumu anao upitia mwanadamu kama ule wakati wa kumpoteza mtu wa karibu au ndu

    Hakuna wakati mgumu anao upitia mwanadamu kama ule wakati wa kumpoteza mtu wa karibu au ndugu yake. Wengine hudiriki hata kujikana wao wenyewe kuwa hawawezi kuishi pasipo wapendwa wao waliofariki huchukua maamuzi magumu kwa kujiua wakiamini kuwa watakutana nao katika maisha baada ya kifo...
  10. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Mwanadamu una kikomo

    MSAADA WA MWANADAMU UNA KIKOMO Je, kuna msaada wa milele? -Ni kweli tumesaidiwa sana na watu na tunaendelea kusaidiwa. Ni kweli pia tumewasaidia sana watu na tunaendelea kuwasaidia. Lakini pamoja na hayo yote tunapaswa kutambua kuwa msaada wa mwanadamu una kikomo chake. -Hakuna binadamu yoyote...
  11. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania MAISHA ya mwanadamu yana UKOMO

    SOMO LA LEO MAISHA ya mwanadamu yana UKOMO. "Tumezaliwa" "Tunaishi" "Tutakufa" Huu ndio ukweli halisi wa maisha yetu. Neno la Mungu katika kitabu cha AYUBU 14:1-2 linasema " Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu. Yeye huchanua kama...
  12. PrMujuni

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu Bora ilenge kutimiza mambo manne kwa mwanadamu

    ELIMU BORA ILENGE KUTIMIZA MAMBO MANNE KWA MWANADAMU. Na PrMujuni ELIMU BORA inahitajika sana na kila siku inaimbwa na wanaharakati wa kisiasa na kijamii. Leo nakuja na wazo kuwa ELIMU yoyote iliyo Bora inapaswa kutimiza malengo makuu manne kwa mwanadamu. Nitatumia msitari wa Biblia kufafanua...
  13. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania SoC02 Starehe muhimu za mwanadamu na umuhimu wake Katika saikolojia

    Katika maisha ya mwanadamu, Kuna vitu 4 vikubwa vinavyompa RAHA/FURAHA ( HAPPINESS). 1. MAPENZI 2. PESA 3.CHAKULA 4. MZIKI 1.MAPENZI; Hii ni furaha ya kwanza kabisa katika maisha ya mwanadamu kuanzia akiwa mtoto mpaka anakufa, mapenzi hayajali hari yoyote, uwe chizi, mgonjwa, masikini au...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyo kwa mwanadamu, mimea hulala usiku?

    Hapo chini ni picha za mmea uitwao muhaladari, wengine wanaita mdodoma. Kisayansi unaitwa panama berry tree. Picha ya kwanza imepigwa wakati wa usiku na nyingine wakati wa asubuhi. Kinachoonekana ni kwamba wakati wa usiku majani husinyaa na kufumba kabisa (kulala). Ikifika asubuhi tu unaanza...
  15. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha maisha ya mwanadamu

    Utangulizi Maisha ya mwanadamu, yana sehemu kuu tatu:- Kuzaliwa Kuishi Kufa Sura 1: Kuzaliwa Mtu anazaliwa pale panapokuwa na uhusiano wa kimapenzi, kati ya mwanaume na mwanamke. Na uhusiano huo uleta ujauzito na baada ya miezi 9 mtoto uzaliwa. Na tukio hili hutokea mara moja Sura 2: Kuishi...
  16. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni fumbo gumu sababu moyo wa mwanadamu ni msitu mnene

    Kumekuwa na dhana potofu sana pale mtu anaposumbuliwa na mapenzi watu wanamwambia tafuta ela wanashindwa kuelewa mambo yafuatayo. Kuna utofauti wa sex na love, ukiwa na ela itakupa uhakika wa kupata sex mda wowote na matamanio, wanawake wengi watakutaman na matamanio yanakuja na kuondoka...
  17. Randy orton

    JamiiForums Tanzania Rais sio Mungu, Punguzeni kumshukuru mwanadamu mwenzenu kila muda

    Hili jambo lilianza awamu ya tano,kila kitu asante JPM , matokeo yake huyo JPM akafariki (RIP). Hii ilitosha kutufunza Raisi wetu sio Mungu , ni mwanadamu tu. Badala ya kujifunza , hivi sasa awamu hii kila mtu asante Mama, yaani wanamshukuru hata kwa vitu walivyofanua wao. Wanaokera zaidi...
  18. ward41

    JamiiForums Tanzania Kwa siku kila mwanadamu anatumia bidhaa ya Marekani

    Kama sio Airbus, utatumia Coca-cola au Pepsi, utakwepa huko utakamatwa Kwenye Colgate. Haya utakimbia iphone lakini utabanwa Kwenye fb, insta, Whatsapp. Kama uko kijijini, una kitorch Cha mchina utapiga tu cm na network na ya beberu. tasema Mimi ctumii cm lakini utavaa mtumba wa mu America...
  19. Surya

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Mwanadamu na hisia za Mwanadamu Duniani ni mfano wa Mungu (Kiungu)

    Soma kwa Makini uhusiano huu..hadi mwisho. ******************* Yohana 1:1-5 [1]Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. [3]Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. NENO Maneno yalitumika Kuumba ulimwengu...
  20. Ryan Holiday

    JamiiForums Tanzania Ni Uovu gani mkubwa zaidi kwenye Maisha ya Mwanadamu?

    Matendo ya mwanadamu yamegawanyika katika makundi mawili nayo ni matendo ya Nuru (Good Deeds) na matendo ya Giza yani (Evil Deeds). Evil Deeds - Actions that are intended to harm others and vice versa is true (Good Deeds). Let's start, 👉By differentiate between Sin, Evil and mistake. Tofauti...
Back
Top Bottom