Mapenzi ni fumbo gumu sababu moyo wa mwanadamu ni msitu mnene

Artifact Collector

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
6,539
10,007
Kumekuwa na dhana potofu sana pale mtu anaposumbuliwa na mapenzi watu wanamwambia tafuta ela wanashindwa kuelewa mambo yafuatayo.

Kuna utofauti wa sex na love, ukiwa na ela itakupa uhakika wa kupata sex mda wowote na matamanio, wanawake wengi watakutaman na matamanio yanakuja na kuondoka hayadumu.

Lakin love au upendo ni ngumu sana kununuliwa na ela, kwa lugha nyingine huwez nunua upendo wa kweli kwa pesa, ni Mara chache sana upendo wa kweli unanuliwa kwa fedha.

Dunia ilivyo ya ajabu Kuna watu wanakipato Cha kawaida sio matajiri lakin wanafurahia mahusiano waliyokua nayo kwa sababu wanapata love and sex.

Kuna watu wanaela ni matajiri ila wanapata tu sex na sio love hiki kitu kinawatesa vibaya mno. Kuna wanawake wengi wameolewa na watu wenye ela Ila hawafurahi sex na matajiri furaha yao ipo pale wanapochepuka na Wanaume wawapendao ndo wanafurahia sex

Kitu ambacho unatakiwa uelewe ili ufurahie maisha ya mahusiano unatakiwa upate love and sex tofauti na hapo utakua huna tofauti na mtu anayenunua Malaya
 
Msiwatishe Walimwengu...!

Ooh Moyo wa Mtu msitu. Wengine utawasikia ndoa ndoano. Mbona zipo Familia kibao zinafanya poa tu.Mifano inayokuja humu ni 'Mapenzi Matukio' au 'Ndoa Zilizopinda' tu

Mwisho Watu Wakatafsiri
Mapenzi = Matatizo.

Sio poa.!
 
Msiwatishe Walimwengu...!

Ooh Moyo wa Mtu msitu. Wengine utawasikia ndoa ndoano. Mbona zipo Familia kibao zinafanya poa tu.Mifano inayokuja humu ni 'Mapenzi Matukio' au 'Ndoa Zilizopinda' tu

Mwisho Watu Wakatafsiri
Mapenzi = Matatizo.

Sio poa.!
Maneno matupu kama hayo ndo yanakutisha pole sana, ukitaka kila mtu aongee unachopenda kusikia utasubiri sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom