mwanadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Kiongozi na Mwanadamu anayependwa, kukubalika na mwenye ushawishi zaidi kwa sasa hapa nchini

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna mwanadamu mmoja na Raia mmoja ambaye kwa sasa ndiye anayependwa , kukubalika,kuungwa mkono na mwenye ushawishi wa hali ya juu sana hapa Nchini.Ndiye Binadamu ambaye asipoonekana hata kwa siku moja tu hadharani watu wanaanza kumtafuta kama Pesa.Ni kiongozi ambaye...
  2. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kila mwanadamu angeliweza kuitambua hadithi ya uzao wake, angelikuwa na hadithi kubwa ya ujazo wa vitabu vitakatifu

    Wale wenye maono mapana na marefu mnalitafakari vipi hili!
  3. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania Huwenda ikawa mwanadamu hapaswi kuwa na furaha ya maisha moja kwa moja

    Kupitia andiko hili kwenye Biblia, mfano alioutoa Yesu dhidi ya tajiri mkulima aliye fikia kilele cha mafanikio ilimchukiza Mungu na kuamua kumuua. Nimetafakari namna tunavyo ishi sisi wanadamu na utafutaji wetu usiofikia kikomo, leo mtu anaweza kuwa na hatua fulani kwenye maisha yake ambayo...
  4. President of China

    JamiiForums Tanzania Armageddon: Nuclear Winter - Matokeo ya vita vya nuclear na Mwisho wa mwanadamu kuishi duniani

    Utangulizi Za leo wana JF. Kama kawaida yangu katika kuelisha watanzania ili waweze kuijua kweli. Matishio haya na uvumbuzi wa hizi silaha za maangamizi hayana nia njema katika dunia yetu hii. Leo nitaongelea kuhusu Mabomu ya nuclear na matokeo ya Neclear Winter na mwisho wa binadamu kuishi...
  5. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Huu mfuko mdogo kwenye suruali nyingi za jeans huwa ni wa kazi gani haswa?

  6. J

    JamiiForums Tanzania Adamu: Mwanadamu wa Kwanza Ulimwenguni

    Adamu: Mwanadamu wa Kwanza Ulimwenguni Adamu ndiye mwanadamu wa kwanza kuishi ulimwenguni. Kuumbwa kwa Adamu “Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai’’ (Mwanzo 1: 26-27; 2:7) Binadamu wa kwanza ulimwenguni, Adamu na mkewe Hawa. Wote...
  7. Brojust

    JamiiForums Tanzania UBONGO WA MWANADAMU (Maswali matano ya kufikiria kuhusu uwepo wa Mungu)

    Salamu kwa nyote mnaosoma uzi huu. Baada ya kufikiria kwa kina basi haya ni maswali yangu matano kuhusu ubongo wa binadamu. Swali 1: Kama binadamu amegundua computer, na haya mambo yote tunayoyaona kuhusu teknolojia, Je ni kitu gani kitakuja kuvumbuliwa na binadamu ambacho kitashinda uwezo...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watu hawasamehi. Kuwa makini

    Ni jambo dogo hili ninalokuambia lakini please take care. Watu hawasamehi, hawasahau kwahiyo kama kuna mtu alikutendea ubaya kuwa naye makini, hajasahau. Ipo siku atatamani akutendee tena ubaya uleule au ubaya mwingine. Kuhusu kutokusamehe , yes watu hawasamehi, kama ulimfanyia mtu mafisango...
  9. Brojust

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha Dunia, Uhai na Ulimwengu ni nini?

    Swali: Ukitoa principles zote za kisayansi unazozijua na usizojijua na Ukitoa imani zote za Dini zote unazozijua na usizozijua Je, Chanzo cha Dunia, Uhai na Ulimwengu ni nini? NB; Uzi huu utawekwa kwenye record za Dunia kwamba ndio uzi pekee uliotaja chanzo cha Dunia, Uhai na ulimwengu bila...
  10. Oscar Wissa

    JamiiForums Tanzania Wahubiri wa kweli hawahubiri kwa nia ya kushawishi akili ya mwanadamu

    Katika maandiko, Mtume Paulo anatoa mfano bora wa mhubiri ambaye lengo lake halikuwa kushawishi akili za binadamu bali kuhubiri kwa nguvu za Roho Mtakatifu. Paulo mwenyewe anasema katika 1 Wakorintho 2:4-5, "Na neno langu na kuhubiri kwangu hakukuwa kwa maneno ya hekima yenye kushawishi akili za...
  11. Bams

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tujue Thamani ya Uhai wa Mwanadamu

    Shetani ameingia kwenye nchi yetu, anayetaka kutuaminisha kuwa uhai wa mwanadamu si chochote, unaweza ukauondoa wakati wowote unaoutaka, tena kwa sababu za kipuuzi kabisa, eti wanakosoa Serikali. Vyeo na madaraka hupewa mtu yeyote ambaye wanadamu wameamua, lakini tujue kuwa hata katika umoja...
  12. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Wa Mungu Kwa Ajili ya Mwanadamu: Katiba ya Sentensi Moja kwa Viumbe Vyote Wenye Akili – Wanadamu na Mashine (III)

    Kabla ya kuzuka kwa teknolojia hizi mpya, wanadamu walikuwa wakipiga hatua kwa kasi. Sasa ni zamu ya teknolojia kuendelea kwa kasi pia. Kwa nini? Hii ni kwa sababu ni asili ya viumbe wenye akili kuendelea mbele: Kwanza katika akili zao, na matokeo yake, katika nyanja zote za kile wanachokiona...
  13. kwisha

    JamiiForums Tanzania Mwanadamu pia ni Mungu

    Katika pita pita zangu, nimekutana na hoja ya pasta mmoja wa Kenya akisema kuwa kuna Mungu na pia kuna miungu, na miungu ni sisi wanadamu. Watu walicheka sana na kumuita mnafiki. Kuna watu wengi wanashindwa kuelewa maana ya neno Mungu. Wanafikiri Mungu (Allah) ni jina la Yehova au Yahweh. Neno...
  14. Heart Wood.

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Mikataba ya Wachezaji ina asili ya kikoloni nyakati hizi za uhuru wa Mwanadamu?

    Nijuavyo mie, kazi ya Mchezaji Mpira (Professional player) ni kazi ya ajira kama ilivyo kazi nyingine. Sasa, kwa ushamba wangu na kutokujua kwangu huwa nashangaa mambo haya: - Mikataba haiwapi wachezaji uhuru wa kuvunja mikataba yao wakati wowote kama ilivyo kwa waajiriwa wengine. Mikataba...
  15. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Hivi mnajua roho ya mwanadamu kama ijapangiwa kufa kwa wakati inabaki hapa hapa duniani?

    Kuna kisa kimoja kilitokea marekani ambacho mama mmoja alijikuta mikononi mwapolisi baada ya kwenda kituoni kuanza kueleza kuwa eneo fulani kuna mwili wa mtu fulani nendeni mkautoe. Lile jambo liliwashtua polisi na kuanza kufanyia uchunguzi ila kutokana na umbali mfano tuseme mama yule yupo...
  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Starehe na kustarehe ndio ibada ya kweli ya mwanadamu

    Ndio maana His Majesty King David, the King of The United Kingdoms Of Israel and Judah, alisema " Nilifurahi walipo niambia twende nyumbani kwa Bwana" Ibada ya kweli ni starehe na kustarehe na sio kinyume chake. Watu walio tunga taratibu za ibada kwenye dini zetu hizi mbili kubwa ( Ukristo na...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Wasabato mwanadamu anayo asili ya kutokufa, anaiishi milele, nafsi yake haifi, Wakatoliki wapo sahihi

    Wadau hamjamboni nyote? Wasabato wanao uelewa mdogo kidogo ukilinganisha na wakatoliki kuhusu asili ya mwanadamu ya kuwa na hali ya kutokufa. Mwanadamu anapokufa: “sehemu zake” za mwili na nafsi zake zinatenganishwa lakini mtu anayekufa hapo ni mwanadamu kwa maana ya kufa mwili. Hii ndiyo...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Ipi faida ya mwanadamu hapa duniani?

    Habari wanadamu Hivi mnalionaje suala la ongezeko la watu duniani, na upungufu wa watu miaka ya mbeleni? Yani kwa wakati huu watu wanaongezeka lakini tuendako watu watapungua kama tafiti zinavyoonesha. Je, nini faida ya watu kuongezeka na hasara zake na ipi faida ya watu kupungua na hasara...
  19. Tman900

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli wa dhati wa mwanadamu: Mume/Mke uliyenaye unaweza kuta wewe wala siyo chaguo lake

    Katika Dunia, kuna mengi ila mume/mke ulie nae, unaeza kuta katika ukweli wa ndani wa moyo wake wala wewe ulie nae sio chaguo lake, ila yuko na wewe ili mladi tu maisha yaende. Yaani unaeza kuta mwanaume/mwanamke yuko katika uhusiano lakini hisia zake na upendo wake wa dhati uko kwa mwingine...
  20. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Hii vita ya Mwanadamu na Shetani haina usawa na haki

    Hapo vipi? Awali ya yote nadeclare yakwamba ni kisasi cha milele na shetani na lazima nitalipa kisasi juu yake. Nije kwenye mada husika ya kwamba ninaposema hii vita kati ya mwanadamu na shetani sio sawa na haki ni kwasababu zifuatazo. 1. Vita hii mwanadamu ni kiumbe ambacho kwa namna...
Back
Top Bottom