Randy orton
JF-Expert Member
- Apr 29, 2019
- 1,338
- 3,541
Hili jambo lilianza awamu ya tano,kila kitu asante JPM , matokeo yake huyo JPM akafariki (RIP).
Hii ilitosha kutufunza Raisi wetu sio Mungu , ni mwanadamu tu.
Badala ya kujifunza , hivi sasa awamu hii kila mtu asante Mama, yaani wanamshukuru hata kwa vitu walivyofanua wao.
Wanaokera zaidi ni wale viongoz wa dini, mtu anaongelea masuala ya KiMungu anamshukuru Raisi wa Tanzania!!
Yaani huku kujipendekeza na kujikomba kumepitiliza sasa, nadhani unafiki wa viongozi na baadhi ya wananchi umefikia level ambayo haijawahi kutokea.
Wakati wa JPM wengine tulidhani labda ni tabia ya mzee kupenda ujiko, lakini kumbe huu ndio utaratibu mpya, unafki wa kupitiliza.
ipo siku watu watakuja kumshukuru Raisi hata kwa kupewa unyumba na wake zao kwa mtindo huu mchafu kama wasipokemewa.