mwanadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu wapendwa Wasabato naomba leteni ushahidi kamili kupinga hoja kuwa Roho ya mwanadamu ina yo hali ya kutokufa au inayo hali ya kuishi milele

    Njooni na Ushahidi kamili Maandiko yaani Biblia na siyo maelezo kuthibitisha kuwa ROHO ya mwanadamu Haina hali ya kuishi Milele au Haina hali Kutokufa
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Usipokuwa na hofu ya Mungu wewe si mwanadamu ni mnywa damu

    "Ni imani yangu hema hili litatumika kujenga jamii yenye maadili na jamii yenye hofu ya Mungu. Ni kupitia tu hofu ya Mungu na ndiomaana Mungu akatushushia dini na miongozo ndiyo mwanadamu anasimama kuitwa mwanadamu, na nilisia hapa mtu mmoja anasema kuna wanadamu na wanywa damu, sasa usipokuwa...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Its even more crazier kufikiria kwamba jinsi mwanadamu anavyozidi kubunu mbinu za ku-survive ndivyo anavyoongeza njia zake za kupukutika

    Madawa na chanjo ili kushinda ugonjwa fulani lakini zinaacha particles za sumu mwilini kupelekea kuwa prone na magonjwa mwengine. Chemicals na elements katika vyakula ili kushinda ushindani ila ndio hivyo zinashinda pia na afya zetu. Booster na ngao katika wanyama na mazao ili kuwa bora zaidi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nini hutokea kichaa kisababishwacho na mapepo kinapompata Mwanadamu?

    Salaam, Shalom! Aina ya ukichaa ninayoiongelea Leo, ni tofauti, SI Ile inayotibika hospitalini, Aina hii ya ukichaa ni Ile ambayo madaktari hupima Kila kitu na kuona kipo sawa, wasione ugonjwa wowote, lakini mgonjwa Hali ni Tete. NINI HUTOKEA KATIKA AINA HII YA UKICHAA. Pepo au jini...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama ikitokea ghafla mwanadamu akapoteza uwezo wa kudanganya. Ni sekta ipi itaathirika vibaya mno?

  6. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Kufika mwaka 2030 mwanadamu ataweza unganisha akili yake na akili bandia AI

    Mtaalamu maarufu wa mustakabali wa teknolojia, Ray Kurzweil, ametabiri kuwa kufikia mwaka 2030, binadamu wataweza kuunganisha akili zao moja kwa moja na akili bandia (AI) kwa kutumia nanoboti, Virobiti vidogo vya kimitambo vinavyosafiri kupitia damu bila hitaji la upasuaji. Kwa mujibu wa...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Akili ya mwanadamu inajulikana kwenye mazingira ya chooni tu si kwengine

    Hii code nimepewa na watu wenye elimu za kujua ulimwengu. Ndio maana kwa waislamu unapotaka kuingia kuswali au kuzikwa inabidi kuwa msafi. Ukitaka kujua mapungufu ya akili angalia vyoo vilivyo ndio utajua hawa watu ndio akili zao. Hata kama kutakuwa na vyoo vizuri kama kutakosa usafi ni yale...
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Zumaridi yupo sahihi (Mwafrika hajaumbwa/ Mwafrika ni Mungu) Likud 7th theory of creation

    Bado naendelea kutafuta asili ya mwanadamu na kwanini yupo duniani. Nimesha taja nadharia Sita kuhusu kile ninacho ona huenda kikawa ndio chanzo cha Sisi kuwepo hapa duniani. Hii ni nadharia yangu namba saba. MWAFRIKA HAJAUMBWA. Ila? MWAFRIKA yuko pamoja na Mungu. Kama ambavyo Mungu hana...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hata mchepuko ana ndoto ya kupata bwana aliyetulia na muelewa" Yani mwanadamu lazima ajivutie kwa upande wake hata kama yeye havutiki

    Namiini Shetani hajiiti shetani kama tunavyomuita huku, anajiita lucifer ingawa ana matendo ya kishetani. Ni kwa kiasi gani mwanadamu ni mnafiki? Sometimes tuna stahili yanayotukuta kwa maana sisi wenyewe ndio ma-engineer wa vituko hivyo. Umekula wake za watu weeeeh sasa unataka kuoa at 37 na...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Dini ni kwa ajili ya ukombozi wa mwanadamu kimwili na kiroho, wanaosema viongozi wa dini wasihubiri siasa ni wajinga waelimishwe

    Naomba niliweke katika picha hii Dini inafundisha katika muktadha wa software na hardware! Dini ni platform ya kumuongoza mwanadamu kiroho na kimwili ili aondokane na mahangaiko na mateso kutoka kwa shetani. Huwezi kuwahubiri watu wenye njaa wakakuelewa! Huwezi kuwahubiri watu kiroho pasipo...
  11. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Ni dhambi kupromote umasikini misikitini/makanisani

    Adam na Eva waliumbwa na kuwekwa kwenye mazingira ya utoshelevu. Kama haitoshi Mungu aliwawekea akiba kubwa ya Dhahabu (Dhahabu ya Havira) na vito ili viwasaidie watakapoongezeka. Bustani ya Eden hapakuwa mahala pa kimasikini. Eden maana yake ni protected place of pleaseure (Sehemu ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba ndiyo baraka ya kwanza kwa mwanadamu

    Duniani kote nyumba ni namba moja kwa mwanadamu, matajiri wote unaowajua duniani kila kukicha wanajenga na kununua nyumba. Hutakaa ujue nguvu ya nyumba mpaka siku utakapokosa pa kulaza familia yako au pale utakapotembelea mitaa ya kariakoo usiku uone watu wanavyolala kwenye mabox na kwenye mitaro.
  13. KENZY

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha ulimwengu na Mungu bado ni fumbo kwenye fikra za mwanadamu!

    Natumai mu buheri.. Mada yangu leo nitapenda kuangazia misimamo mbalimbali juu ya uwepo wa Mungu/Miungu pamoja na chanzo cha ulimwengu na kisha nitagusia mtazamo wangu kutokana na mitazamo hiyo.. kumekuwa na mitazamo mbalimbali juu ya hizi hoja mbili lakini binafsi nionavyo katika mitazamo yote...
  14. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Mwanadamu ni nani?

    Hakuna jambo lililoumiza akili za Watu kwa miaka mingi kama Mada hii. Kwa karne nyingi mwanadamu amekuwa akihangaika sana kutaka kufahamu yeye ni nani. Hata hivyo kumekuwa na majibu tofauti yanayoelekeana, na leo hii nimeamua kukufahamisha. Nitaenda kukufundisha mwanadamu ni nani kwa kutumia...
  15. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Mwanadamu huzaa kwa uchungu sababu ya dhambi aliyofanya bustanini Eden. Fisi je alikosa nini, mbona yeye ndio mnyama anayezaa kwa uchungu zaidi?

    Je, ulijua kwamba fisi hupitia moja ya uzazi wenye maumivu na ugumu zaidi kati ya wanyama wote? Fisi jike ana anatomia ya kipekee ya uzazi—kile kinachoonekana kama uume ni kisimi kilichorefuka, kinachojulikana kama pseudo-penis. Sehemu zake za siri zimeungana, zikionekana kama korodani. Wakati...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Jumatano ya majivu: Kupakwa majivu ni kukubali kwetu kuwa, tu wadhambi, tunahitaji kusafishwa 'Mwanadamu, u mavumbi na mavumbini utarudi'

    Jumatano ya Majivu, Mwanzo wa Kipindi cha Kwaresima Cha Siku 40 Kwaresima ni kipindi cha siku arobaini za kufunga, kusali, kutafakari Neno la Mungu na kufanya matendo ya huruma. Ni kipindi kinachotualika kumwilisha ndani mwetu utamaduni wa upendo, kwa kufunga na kutenda matendo ya huruma: kiroho...
  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nadharia yangu namba saba: Mwanadamu aliumbwa duniani kwa ajili ya kuzalisha hewa ya carbondioxide

    Mtu mmoja mwenye hekima na busara aliwahi kusema " You can know the artist by studying his art" Unaweza kumjua msanii kwa kuisoma sanaa yake... Babu zetu walimuabudu na kumsujudu Mungu baada ya ku study kazi ya mikono yake. Walipotazama, jua, mwezi, nyota etc , walipo jitazama wao wenyewe...
  18. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Adui mkubwa wa mwanadamu ni mawazo yake ( Mental block chain)

    Hapa kuna mpangilio mzuri zaidi wa maandishi yako kwa mtiririko mzuri na uwazi: Nguvu ya Hofu na Sanaa ya Kubadilisha Nishati The Keeper Don Pablo – The Master of The Mind Brotherhood Kumtawala mwanadamu, mpandikie hofu ndani yake, na utateka akili yake yote. Hofu ni nguvu kubwa zaidi...
  19. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Sandhguru anasema inapofika wakati wa full moon mwanadamu anapitia hali ya hulka zake kuwa kiwango cha maradufu pasipo kawaida

    Anasema kwa mfano kama wewe ni mtu wa hasira sana na ukaendelea kuwa na hulka hio hadi wakati wa full moon basi itakupelekea kufanya jazba kubwa hata kwa vitu vya maudhi madogo. Anasema pia sio kweli eti full moon inakupa nguvu hasi ndani yako bali ina zidisha energy iliopo., kama uliammka na...
  20. Marcy

    JamiiForums Tanzania Ni kweli matunda yote yasiyo na mbegu ndani yametengenezwa na mwanadamu kwenye maabara?

    Inasemekana matunda yasiyo na mbegu ndani asilimia kubwa yametengenezwa na mwanadamu na hayana nutrients Halisi kama haya yaliyozalishwa na nature Mfano kwasasa kuna machungwa , ndimu ,limao maembe nk yasio na mbegu ndani Ukiuliza wanakwambia ni aina ya hayo matunda lakini kiuhalisia ni...
Back
Top Bottom