Awali ya yote napenda kutoa pole na hongera kwa kila mwananchi kwa pilika za mwaka 2023. Mengi ya kuumiza, kutaabisha, kutia faraja na furaha yalitukia miongoni mwetu. Mungu baba wa rehema alikuwa katikati yetu katika yote hayo hivyo tunapaswa kumshukuru.
Pili napenda kutoa pole kwa kila...