Leo ni Alhamisi ya tarehe 01.01.2026
Ni siku ya kwanza ya mwaka mpya 2026.
Tuma salamu kwa members wawili wa JamiiForums uwatakie heri na fanaka za mwaka mpya 2026..
Hii inafikirisha sana, nchi zilizoendelea muuaji angekuwa tayari ameshakamatwa yupo ndani na ameachia ngazi kulinda heshima ya raia wake na nchi yake.
Lakini Tanzania, Mtu aliyepora uhai wa wananchi bado ana nguvu na uthubutu wa kutoa salamu za Mwaka Mpya.
Kweli tunahitaji msaada kutoka katika...
Wanabodi
Rais wa JMT, Samia Suluhu Hassan, yuko hewani live mubashara, kuhutubia taifa kuuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2026
https://www.youtube.com/live/nNvsNM8Esw8?si=PVpOlaVydbZ45elx
Karibuni
Na sababu leo ndio mwisho wa mwaka, hakuna ubaya na mimi nikiweka salaam zangu za...
Kwa upande wangu nipo bar nakula bia baridi wakati nasubiri kitimoto kavu na ndizi za kutosha!
Bila kusahau nawaangalia wahudumu wenye makalio makubwa kama mlima kilimanjaro huku speaker zinakita, basi najiona kama mimi ndio dullyboy.
Location: DSM
Katika mkesha wa mwaka mpya, rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba ya salamu za mwaka mpya wa 2026 kupitia Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) na mtandao wa Internet. Ifuatayo ni hotuba hiyo:
Hamjambo! Wakati wa zamani umepita huku maisha yakifungua ukurasa mpya. Wakati mwaka mpya...
Tunaingia mwaka mpya huku mtu akiwa ameuwa maelfu ya watanzania wenzake sio hivyo tu amewasingizia watoto wadogo wa miaka 13 uhaini.
Sio hivyo tu amewafunga wababa wa watu wakina polepole kinyume cha sheria kwa hirq zake.
Watu wengi hutofautiana katika namna ya kujiwekea malengo—wapo wanaoanza kupanga kabla mwaka haujaisha, wakitumia muda kutafakari yaliyopita na kujipanga mapema, na wapo wanaosubiri Mwaka Mpya uanze ndipo waanze kuandika malengo yao. Wewe uko upande upi, na ni nini kinakusaidia zaidi kufanikisha...
Wanabodi,
Mliokaribu na Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kipenzi cha watanzania wenye nia Njema na Taifa tunayempenda, Tunaomba kwa heshima na tahadhima tuweze kupata salamu kutoka kwake za Kheri ya X-Mass na Mwaka Mpya 2026 uliojaa kheri na fanaka tele.
Ni hayo tu, tuendelee kumuombea Dua...
Wakuu niaje
Mimi binafsi
Nawatakia heri ya Christmas na mwaka mpya 2026 members wote wa JF,
Ujumbe ni mmoja tu
Sometimes we create our own heartaches through expectation.
Tuma salamu na heri za Christmas na mwaka mpya kwa member yoyote unaemkubali na kumpenda..
Show Love
Je, katika huu mwaka unaoelekea ukingoni 2025 ulijiwekea lengo na limetimia au limeshindwa kutimia kwa sababbu gani?
Je, umejipangaje kwa mwaka mpya 2026?
Salaam!
Haya ni maono.
Nimmekuwa nikilisemea hili tangu May 2022, kwamba,
Year 2026 ni mwaka mpya, mwaka wa kipekee ambao, mfumo mzima wa kutawala ,na mifumo yote muhimu juu ya nchi yetu unakwenda kubadilika.
Ni mwaka ambao, Rasimu Ile ya Warioba kabla ya kuchakachhuliwa itarudishwa mezani...
Haya mambo CCM wameanza lini? Mbona ni kujipendekeza sana kuelekea mwaka huu wa chaguzi kutafuta kura kwa namna na kujionyesha wao ni wema sana
=====================
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinatoa salamu za heri na baraka kwa Waislamu wote nchini Tanzania na duniani kote katika kuukaribisha...
Kabla ya mwaka 1582, jamii nyingi zilikuwa zinaadhimisha mwaka mpya tarehee 1 Aprili. Kumbuka karne hiyo papa alikuwa na nguvu kubwa ya kuamua chochote. Mnamo mwaka 1582, papa Gregory XIII akaamua kubadilisha kwamba mwaka mpya utasheherekewa inapofika tarehe 1 Januari.
Kuna watu hawakukubaliana...
Takwimu zilizotolewa na Mamlaka ya Filamu ya China zinaonesha kuwa hadi kufikia Februari 3, mauzo ya tiketi za filamu katika kipindi cha sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa 2025 yamefikia yuan bilioni 8.02 na kuweka rekodi mpya ya kihistoria.
Kwa mujibu wa takwimu hizo, filamu ya katuni...
Kwa ufupi mwaka wangu mpya umeanza rasimi tarehe moja ya February, ule mwezi wa kwanza ulikua ni mwezi wa majaribio.
Leo nawapeni hizi codes ambazo utumiwa na mjambazi Ku survive mtaani
Kanuni 10 za Majambazi za Kuishi Katika Vita vya Maisha
Uaminifu ni Kila Kitu – Usimsaliti mtu...
Tarehe 28 Januari ni mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China. Kama ilivyo desturi, saa 2 kamili usiku kwa saa za Beijing, tamasha la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China ambalo linaandaliwa na Shirika kuu la utangazaji la China CMG linalojulikana kama “Chunwan” linarushwa hewani kwa ajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.