Ikiwa Leo ni Kumbukizi ya Kuzaliwa kwangu, Umri ukiwa umesogea sana nimeona niwaachie ujumbe kidogo
Maisha yanapokupa baraka nyingi usikimbilie kusema wenzako ni Wavivu, watu wapo kimya hawasemi tu ila wanapigana vita nyingi sana na wanafeli ila hawalalamiki, ukipata shukuru.
Mwanangu wewe...
Hiki kifaa kinaitwa ID-WTM6 TRIMMER, KAZI YAKE NI PAMOJA NA KUTENGENEZA MAPAMBO KWENYE MBAO NA NAKISHI, NI KIZURI SANA KWA WATENGEZA FURNITURE
LEO NA KIUZA KWA BEI NDOGO SANA 120000 TU.
Namba 0617009453
DSM
Wapendeni adui zenu kama nafsi zenu
A police officer in Zambia has been arrested for allegedly releasing over a dozen prisoners so they could celebrate New Year's Eve.
Detective Inspector Titus Phiri "forcibly seized cell keys" on Tuesday morning whilst "in a state of intoxication," Zambia's...
Natafakari tu hapo
Bado tuko kwenye mwaka mpya, ni lini hasa huu mwaka mpya unaanza kuchakaa?
Baada ya kulipa ada?
Siku ya kuzaliwa CCM?
Siku ya wajinga (1/4/2025)
May Mosi?
Embu wajuzi mtuambie?
Wasalaam.
Tunapouanza mwaka mpya wa 2025,ninafahamu kuwa Kuna watu wengi wanaendelea kupambania afya zao,wengine wako mahospitali,wengine kwa waganga wa kienyeji na wengine walishakata tamaa wako majumbani kusubiri hatma ya siku za kutwaliwa kwao. Kama ndugu zangu wa hapa duniani,ninawatia moyo...
Huo ndiyo ukweli ukubali ama uukatae!
Janamke au Janaume ambalo hulijui umekutana nalo tu huko kwenye Viwanja vya starehe,tambua limekuachia Mikosi ambayo itakuandama mwaka mzima !
Kibaya zaidi ili uonekane unayaweza mambo ukaona umlambe na kumnyonya Uke au Uume!
Your finished my friend,huu...
Niliomba kazi kwenye hii taasisi wiki iliyopita Sasa Leo nakutana na email na hivi ni mwaka mpya nikajua itakua ni habari njema kumbe ni huu upuuzi 🤣🤣🤣
Thank you for the time you took to express interest in Watu.
We regret to inform you that at this stage we have decided to proceed with...
Mwaka mpya, iwe wa Hijria au wa kawaida (Gregorian), ni fursa muhimu kwa Muislamu kujitathmini, kufanya maamuzi mapya, na kujikurubisha zaidi kwa Mwenyezi Mungu. Quran na Hadithi zinatoa miongozo ya kimaadili na kiroho ambayo inaweza kumsaidia Muislamu kutumia kipindi hiki kwa mazingatio...
Mojawapo ya jukumu la Mkuu wa Mkoa ni kuhakikisha Amani na utulivu unatamalaki.
Mkoa wa Arusha uliwahi kusifika kwa uhalifu na hususani uhalifu nyakati za sikukuu na nyakati za usiku.
Kwa mara ya kwanza katika historia tumejionea Watu wenye haiba mchanganyiko,dini mbalimbali ,vipato...
Heri ya mwaka mpya 2025.
Nimejiuliza ni namna gani kila mmoja wetu alivyoupokea mwaka nikagundua kila mmoja atakuwa ameupokea akiwa katika situation fulani. Kuna waliokuwa kwenye bata, wengine nyumbani na familia, wengine hospital, wengine safarini, wengine kazini n.k
Hebu share na sisi hapa...
UJUMBE WA MWAKA MPYA 2025 KWA VIJANA WENZANGU WA KITANZANIA
Na Mohamed Ali Kawaida, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa
Ndugu vijana wenzangu!
Tukiwa tunaanza safari ya mwaka mpya wa 2025, nipende kutumia fursa hii kuwatakia heri ya mwaka mpya, afya njema, na mafanikio tele. Mwaka mpya ni fursa mpya...
Habari za muda huu waungwana.....
Mimi nadhani maisha ya kiumbe mwanadamu hapa duniani yamekuja mfano wa simu iliyojaa chaji na kutolewa kwenye chaji pindi anapozaliwa kutoka tumboni kwa mama yake.......
Na chaji hutumika na kupungua kwa kadri anavyoziiishi nyakati zake hapa duniani.....na...
Leo mimi na mke wangu mkubwa,tuliamua kuupokea mwaka 2025 kwenye baa moja hapa mwanza uswazi,kwakuwa hatukuwa na kipato cha kutosha.Tumekunywa bia za Tanzania na kuku wa kienyeji na tumefurahi sana,tukampigia simu mke wangu mdogo ambae yuko nje ya nchi na watoto wetu pia wote tukaongea...
Wapendwa Wana Jukwaa letu pendwa, salaam.
Sisi familia ya Advocate Gwajima, tunawashukuru sana kwa ushirikiano wenu na upendo wenu kipindi chote cha mwaka 2024.
Tunawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2025 na Baraka tele mwanzo hadi mwisho wa mwaka huu. Tunawaombea na kuwatakia Upendo, Furaha na Amani...
Mungu aifanye roho ya Freeman Mbowe kuwa yenye kuridhika - Mungu anapomuinua Tundu Lissu aifanye njia yake ya uongozi kuzingatia:-
* Kutozidisha miaka 10 katika uongozi huo;
* Kuamini kuwa mbali yake wapo wafuasi wengi wenye uwezo wa kuongoza taasisi hiyo;
* Afahamu kuwa taasisi hiyo siyo ya...
🎇🎆🎇🎆 Heri ya mwaka mpya, Napenda kuwatakia heri ya mwaka mpya 2025 kwa uongozi wote wa JamiiForums na members wote wa JamiiForums mkawe na mafanikio mema 2025, Mungu awajazie pale palipo pungua. Mapambano lazima yaendelee 🛡️⚔️. Muwe na mafanikio mema 2025.
🎆🎉♥️🧨🎈♥️🎊🎇
🎇🎊♥️KARIBU♥️🎉🎆
🎆🎉♥️ 2025...
Wakuu,
Kama ulikula spana 2024 jirekebishe, acha uchawa, ukupe na umaandazi :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
Ukibisha utakula spana tu😹😹.
Happy New Year watu wazuri wa JF, wengine tushamaliza 25 tunaenda 26😎.
Sisi tunaangalia mwaka wa Biblia sio mwaka wa kidunia.
Ikawa asubuhi ikawa jioni siku mpya. Kwenye biblia hamna ikawa asububi ikawa usiku siku mpya. Hayo ya Usiku ni mambo ya Kidunia
Heri ya Mwaka mpya 2025
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.