Umepanga kuupokea mwaka mpya 2024 kwa style gani?

Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
397
993
Wakuu kwema?

Mwaka mpya huo unajongea, umepanga kuupokeaje?

Baadhi huwa kwenye viwanja wakiupokea mwaka kwa shangwe, kwengine wakiukaribisha mwaka kwa maombi kwenye mikesha ya dini, wengine wakiwa nyumbani tu wenyewe kwenye utulivu na kutafakari wanayoyaacha na watakayoyaribisha, nk.

Wewe umepanga kupokea Mwaka 2024 kwa style gani?

happy new year.gif
 
kisulisuli
 
Mwaka huu nitajitahidi niupokee nikiwa nyumbani maana😂😂😂
 
Ndio nimeuona yapataa saa 1 iliyopita.

Ilikua ni fursa adhimu ya kukutana na rafiki zangu watatu ambao hatukuwa tumeonana kwa miaka 2 nimefarijika sana kuona wote tunaendelea kufanikiwa sana toka tukiwa nyumbani hadi sasa tukiwa ugenini.
 
Nataka niupokee nkiwa na manzi angu kafa kifo Cha mende ama popo kanyea mbingu. Pia mbuzi kagoma kwenda sio mbaya sana
 
Back
Top Bottom