mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yaridhia mwaka mpya wa kiislamu kuwa siku ya kitaifa

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametangaza Siku ya Mwaka Mpya wa Kiislamu kuwa Sikukuu ya Kitaifa Zanzibar. Dkt. Mwinyi ametangaza siku ya Jumatano ya Julai 19, 2023 sawa na Mwezi Mosi Muharram kuwa siku ya mapumziko Kitaifa Zanzibar ili...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu pekee nimewadunga mimba wanawake watatu, sipati usingizi

    Mwezi wa March mwaka huu Somoe alinipigia simu kuwa Valentine day imejibu,maana tulioelekeana moto akiwa kwenye danger days, Nikamwambia wow! Haina shida nitalea. Mwezi wa sita ndani ya wiki mbili Herieth na Tina nao wakasema hawazioni siku zao Uwezo wangu ni mdogo sana kulea hizo mimba tatu...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo Kikwete ambaye 'comfortably' ameweza kuwakutanisha 'mahasimu' Odinga na Ruto, ila mwaka 2020 alishindwa kuwakutanisha Magufuli na Lissu

    Halafu wenye akili kuwazidi tukiwa tunasema hapa hamna mtu bali kuna Profesa wa unafiki Tanzania nzima mnasema tuna chuki nae binafsi, tunatumika au ni wadini na wakabila. Mliokuwa wavivu wa kufikiri na mnaompenda mnamuita mwamba wa siasa na diplomasia. Hivi inaingia akili mwamba na bingwa wa...
  4. Lee Swagger

    JamiiForums Tanzania Vitu hivi havikuwepo Mwaka 2003. Maisha yako Spidi

    Wakuu, Mkeka Wa Vitu Ambavyo havikuwepo kabisa Duniani Mwaka 2003. Maisha Yako Spidi Sana. Hichi Kizazi Cha Miaka ya 2000+ Ni Nyoko. Malezi Yao yanahitaji Moyo wa Chuma. Tupambane Hamna Namna. Ndio Maisha Yenyewe. Facebook Twitter iPhone📱 iPad Android Alibaba Apple App Store Uber Airbnb...
  5. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Mama J kwa kutimiza mwaka

    Napenda kuchukua nafasi hii kumtakia Kila la kheri Mama J kwa kutimiza mwaka mmoja, ilikua Yanga Day kama Leo.....
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu apata dawa mlundikano mashauri, ashauri majaji wapangiwe idadi ya kesi za kumaliza kwa mwaka

    JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahimu Juma, amesema kuna haja ya kuweka utaratibu wa kila Jaji wa Mahakama ya Rufani kumaliza idadi fulani ya mashauri kwa mwaka ili kuondoa mlundikano wa mashauri mahakamani. Alitoa kauli hiyo jana wakati wa mkutano wa nusu mwaka wa Majaji wa Mahakama ya Rufani...
  7. OLS

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta ndani ya mwaka mmoja imepanda kwa takribani 50%

    Ukiangalia bei za Petroli na Dizeli kwa kipindi cha mwaka mmoja. Yaani ukifananisha Agosti 2021 na Agosti 2022 utaona kuna percentage change ya takribani 50%. Dizeli ndio imepanda kwa kiasi kikubwa kwa kuwa ni zaidi ya 50% huku petroli imeongezeka kwa zaidi 45% kutegemea na bandari...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa 'Northern Malawi' tunawakumbusha waliosahau kuwa zile 'Ndege' zingine Mbili zilizokuwa ziwasili mapema mwaka huu mbona hazijatua bado?

    Wengine kama akina GENTAMYCINE tuna Udhaifu Mmoja mkubwa wa Kukariri Jambo na Kutosahau Milele hivyo tunakumbusha tu ujio wa Ndege zetu zingine Mbili Kubwa za Air Northern Malawi. Halafu tunawaombeni kama ambavyo huwa mnapenda Kukurupuka kwa kutafuta Sifa Kwetu Wananchi wa Northern Malawi juu...
  9. MANKA MUSA

    JamiiForums Tanzania Serikali hutumia bilioni 20 kila Mwaka kwa ajili ya kuagiza Mchuzi.

    Tanzania hutumia TZS bilioni 20 kwa mwaka kuagiza lita milioni 10 za mchuzi wa zabibu ili kutosheleza soko la ndani linalohitaji lita milioni 15. Serikali imeweka mkakati wa kuongeza uzalishaji & kuongeza thamani ya zao hilo hapa nchini ili liwanufaishe wakulima. #MamaYukoKazini
  10. tujuemoja

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nagombea Urais mwaka 2025

    "Ni kweli mnanipinga, lakini naomba ujue na kutambua sababu ya kwa nini unanipinga" Fanya mazoezi, kuwa na kiasi, kunywa maji safi na salama, Vuta hewa safi, ota mwanga wa jua, ndio jina langu yaani Afya bora. Majukwaani na panda kuzinadi zangu sera lakini wanaoshawishika ni wachache, kwa hoja...
  11. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2021 Watu Milioni 1.5 waliambukizwa VVU Barani Afrika

    Takwimu mpya za UNAIDS zinaonyesha kuongezeka kwa Maambukizi ya VVU huku ikikadiriwa kuwa kila dakika mbili ya mwaka 2021, msichana mmoja aliambukizwa VVU na kila dakika mtu mmoja alifariki kutokana na magonjwa yanayohusiana na UKIMWI barani Afrika Kulingana na Ripoti ya In Danger ya Shirika...
  12. Theb

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mfumo wa kulipa mishahara waajiriwa wapya wa Serikali kwa kila mwaka wa ajira unahitaji kuboreshwa uendane na ukuaji wa Sayansi na Teknolojia

    Andiko hili litakua katika sehemu tatu. Sehemu ya kwanza itakua utangulizi hapa nitaelezea maana ya mfumo wa malipo ya mishahara ya waajiriwa, Sehemu ya pili hapa nitatoa changamoto au madhaifu ya mfumo wa malipo ya waajiriwa wapya, Sehemu ya tatu na mwisho nitatoa mapendekezo au mtazamo wangu...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mtoto mdogo aliepotea Mbeya tangu 2020 anaedhaniwa aliibwa imebainika yupo Songwe kupitia group la Facebook, wazazi wapo kwenye harakati kumrudisha

    Ilikuwa ni tarehe 21-11-2020 siku ya Jumamos ambapo mtoto Nassir Jumanne mande mwangopola alipotea Chunya mjini, moja ya wilaya ya Mbeya. Wazazi wa mtoto, baba yake Jumanne Mwangopola na mama yake Shamimu Shabani walifanya jitihada kubwa kumtafuta lakini jitihada hazikuzaa matunda. Leo hii...
  14. Kinengunengu

    JamiiForums Tanzania KWA WAHENGA TU: Mara ya kwanza kuona TV/ Video/ Sinema ilikuwa mwaka gani na ulijisikiaje?

    Binafsi nakumbuka mara ya kwanza kuona video ilikuwa ni Late 1980"s na ilikuwa ni Sinema. Walikuja uwanjani kijijini kwetu wakihamasisha maendeleo. Waliwasha Sinema na Waliweka wimbo wa "Remmy Ongala" sikumbuki Jina ila Binafsi sikuwa najua tofauti ya Sinema na Muziki. Nikawa nacheza nikiamini...
  15. Frederick Daudi

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nikiona matokeo ya kidato cha sita yanaelea kila mwaka, najua yameundwa

    NIKIONA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAELEA KILA MWAKA, NAJUA YAMEUNDWA Utangulizi Elimu yetu imekuwa ikipitia katika vipindi tofautitofauti na mabadiliko makubwa ili kuiboresha. Mabadiliko haya huhusisha viongozi, mitaala, mihutasari na hata fomati ya mitihani. Hii ni tafsiri tu kwamba hakuna...
  16. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alivyonisaidia mwaka 2011 akiwa kaburini

    Mwaka 2011 nilipewa kazi ya kutafuta almasi na kumtumia mfanyabiashara mmoja wa Ulaya. Katika harakati za kutimiza jukumu hilo nikajikuta nalazimika kwenda nchini Namibia ambako kuna wauzaji wa almasi ambao mfanyabiashara huyo alikuwa ameshaonana nao na akanituma nikakague almasi zao na...
  17. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Nimeamini 100% Mwaka 2025 Rais ni Membe

    Siku moja nilikuwa Dodoma, jioni nikafika kwenye hotel moja inaitwa Morena kwaajili ya chakula cha jioni. Huwa napenda kwenda maeneo ya vile hususani nyakati za jioni maana kuna mengi waweza kujifunza japo vyakula vyao ni bei ghali. Katika meza nyingine walikuwepo wabunge wawili wa chama tawala...
  18. Richard

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana serikali kupandisha mishahara wakati uchumi wetu haujulikani umesimama vipi na serikali haina mapato ya kutosha

    Mshahara ulopendkezwa na TUCTA ni 1, 010,000 kwa mwezi na huo watosha kukabiliana na gharama za maisha. Kuna masuala kama mfumuko wa bei kwa bidhaa muhimu na pia gharama zingine za maisha kama malipo ya pango, matibabu hospitalini na malipo ya huduma zingine kama umeme na maji. Lakini serikali...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Mwenge la mwaka 2022 lafanyika Kunming, China

    Tamasha la Mwenge la Kunming la mwaka 2022 limefanyika katika Kijiji cha Kikabila cha Yunnan, China. Watalii kutoka maeneo mbalimbali walicheza ngoma na muziki kwa pamoja kwa uchangamfu na kushiriki kwenye Tamasha la Mwenge la Mashariki na watu wa makabila madogo. Tamasha la Mwenge ni tamasha...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Natamani Mdahalo wa Wagombea Wenza wa Urais Kenya ungetokea Kwa Tanzania mwaka 2015 au 2025 ili tujue Ugoigoi wa Watu

    Kwa mliobahatika Kuutizama Jana mtakubaliana nami kuwa. 1. Wagombea Wenza wana Akili sana kiasi kwamba wanashawishi kuwa wakiwa Ikulu watakuwa Msaada mkubwa Kwa Mabosi zao (Marais) 2. Wagombea Wenza wamechujwa Kweli katika Vyama vyao husika na siyo tu wa Kukurupushwa Kiuhuruma au Kiupendeleo...
Back
Top Bottom