"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.
Mimi kama mwanayanga kindakindaki naumia kwa kweli kwa nini kila msimu ni sisi tu ndio tunaanzia nyumbani na kumalizia ugenini?
Mbona wenzetu Simba wanapendelewa? Sisi ndio mabingwa wa nchi hii iweje tuanzie nyumbani? Timu kubwa zote zimeanzia ugenini kwa nini sisi tu? [emoji25][emoji25]
Muswada huu unapendekeza kufanya mrekebisho katika Sheria tano ambazo ni Sheria ya Ushuru wa Bidhaa, Sura ya 147, Sheria ya Kodi ya Mapato, Sura ya 332, Sheria ya Ushuru wa Barabara na Mafuta, Sura ya 220 na Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani, Sura ya 148.
Muswada huu umegawanyika katika...
Tozo pekee sio suluhisho la uchumi wetu .
Rudisha vitambulisho KWA wajasiria mali,vitambulisho viwe na gredi kutokana na mtaji wa muhusika,yaani ;-
Gredi A
Wajasiria mali wenye mitaji ya kuanzia milion 100 na kuendelea hao walipe hata laki tatu KWA mwaka!TRA watamuandalia kanuni mpya ya...
Mungu ni mkubwa sana, baada ya figisu ya kumfungia miaka 2 msemaji aliyeipa ubingwa Yanga baada ya kuukosa kwa miaka 4 ndugu Manara , figisu ziliendelea sana
Tukaona wachezaji wa Yanga wakitaka kuvunjwa miguu marefa kimya, adhabu ya Inonga hadi leo kimya, kamati ya masaa 72 huwa ni kuwaadhibu...
Namshauri Dk mwaka aombe radhi tu, hakuna atakachopungukiwa. Analeta malumbano yasiyo na msingi.
Namshauri Mkuu wa Mkoa amwite na kumnasaha aombe radhi, ikishidikana RPC amwite kwa mahojiano, maana analeta viashiria vya uvunjifu wa amani nchini. Ahojiwe,labda anatumika na kundi ambalo...
Bungeni Dodoma
Leo tarehe 15 Agosti, 2022 Bunge la limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Usimamizi wa Rasilimali za Maji ya mwaka 2022 (The Water Resources Management Act, 2022).
Kupitishwa kwa sheria hii kutaimarisha Bodi za mabonde ya Maji katika kusimamia Rasilimali za Maji...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dr Philip Isdor Mpango ameweka jiwe la msingi Mradi wa chanzo cha Maji Butimba Ujenzi wenye kiasi cha Shilling Bilion 69.3.
Katika hatua nyingine ametembelea Mradi huo na kuzungumza na wananchi pamoja na Wafanyakazi katika eneo la...
Habari wanaJF, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24. Kwa sasa ni mwanafunzi wa moja ya chuo kikuu nchini, nilipatwa na tatizo la kupiga makelele au mivumo masikioni mwaka 2016.
Nimesumbuliwa sana tatizo hili la masikio jambo ambalo linanipa shida hata nikiwa darasani kuwa na usikivu hafifu...
The launch of Uganda’s first-ever satellite, PearlAfricaSat-1, has been postponed to October 28 because of bad weather.
The launch, which is supposed to be accomplished by America’s National Aeronautics and Space Administration (NASA), was initially scheduled for September 28.
But in an...
WAZIRI wa afya Ummy Mwalimu ameeleza kati ya watu 100 Tanzania wanaoishi na virusi vya ukimwi 95 wanatumia dawa za kufubaza virusi (ARVs) huku watano kati yao wanaacha dawa hizo ,suala ambalo linakwamisha juhudi za mapambano dhidi ya gonjwa hilo.
Aidha amewaasa , wanaoishi na Virusi vya Ukimwi...
Najua nitaitwa majina yoote hapa, "shabiki maandazi, hujui mpira wewe, ushawahi kucheza mpira?unachangia sh ngapi"
Kwa kweli ikitokea simba ikachukua ubingwa wa ligi basi itakuwa miujiza mikubwa sana na kufika robo fainali ya CAF itabidi ifanywe sherehe kubwa sana.
Aiseee, eiiish ...
Katika hali inayoonyesha vita vya kampuni za uwindaji nchini, Serikali imeingia katika lawama ya upotevu wa mapato na kuzisababishia hasara kampuni sita zilizoshinda zabuni ya uwindaji kwa wenyeji na wageni wakazi iliyoendeshwa Agosti, 2021.
Taarifa ilizozipata Mwananchi zinaonyesha kampuni...
Taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma, Jerry Silaa imeonesha kuwa hasara ya shirika Shirika la Ndege Nchini (ATCL) imepungua kutoka Tsh. Bilioni 36 mwaka 2020/21.
Aidha ameishauri Serikali kuharakisha mchakato wa utekelezaji wa kuhamisha umiliki wa...
Hbari wana jf,
kuna dogo anaenda masomoni kwa mwaka 1 hivi, mwezi wa tatu alifanikiwa kuagiza gari yake toyota carina ti, ni mpya na kiukweli kaitunza, ataiacha kwake ila sehemu hio iko wazi na jua huwa linapiga je, ni turubai zipi nzuri za kuzuia hii hali?
kaniomba aniachie funguo kwajili...
Umoja wa Falme wa Kiarabu umezidi kuonesha umwamba katika kukuza teknolojia ya kutengeneza mvua ambapo kwa sasa wanapanda mawingu ili kutengeneza mvua.
Wataalamu wa UAE wamesema teknolojia hiyo sio tu ile ya kutuma ndege na kuweka kemikali kwenye mawingu bali ku-modify hali ya hewa kwa ujumla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.