"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.
Hizi ni moja ya filamu zilizobamba mwaka huu
1. Silverton siege 2022 filamu imechezwa south africa moja wapigania uhuru wanaiteka bank kubwa ndani ya hiyo kuna mtoto wa kigogo mkubwa na ni supervisor wa hiyo wanaiteka lakini hawaibi fedha shida yao kubwa ni nelson mandela aachiwe movie...
Haiingii Akilini nililishuhudia likibomolewa mwaka 2014 cha Kushangaza hadi leo mwaka 2022 lipo vile vile na kama Mwenye Jengo kaamua Kulisusia au Mamlaka nayo imeamua Kulisusia.
Tafadhali Mamlaka husika ama mumwambie mwenye Jengo alijenge upya au kama sasa lipo chini ya Mamlaka basi...
AISEE sikutarajia kwa mtu kama Senzo, kwa msukule hiyo inajulikana linaishi mjini kwa ulaghai, uongouongo na kujipendekeza, hivi jana nani hajaona hali halisi ya uwanja , hii kujidanganya ni kujitia dole la masaburi na kujinusa , what a shame
Msukule hauna impact ya kujaza uwanja bwana...
Niko under 30 nimechoka kupanga, nina kipato cha kati ila hakipo constant kulingana na ninachokifanya.
Nimedhamiria kujenga contemporary ya room 2 jiko na sebule bila dinning.
Kianzio milioni 10 ikitimia tu naanza
Nyuma hiyo hapo
Wataalamu nipeni mchanganuo.
Asante
Mwaka jana muda kama huu nilikua nachagua sehem ya kwenda kuiftar mana kwa siku nilikua napata mualiko kama 3 hivi.
Mwaka huu toka ramazan ianze sijapata mualiko, waislam wameanza kua wachoyo. Sijapenda kabisa hii tabia yao. Wiki hii ramazan inaisha ata mualiko wa uongo uongo hakuna. Kama...
Hapa Ukraine ajiulize mara mbili anasaidiwa au anaangamizwa ,haiingii akilini mtu anakula mboga saba alafu anakupa kipande cha silesi eti kakupenda ,
Kwa kamsaada hako usitegemee utamshinda Russia kwa hako kamsaada.
Yani wmarekani siwaelewi kabisaaa,msaada wa dola million 800 mdogo sana...
Rasmi Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Jumanne ya Machi 25, 2022 waliidhinisha na kuikaribisha rasmi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwenye uanachama mpya wa jumuiya hiyo inayokuwa na wanachama saba sasa.
Hii ni kufuatia mapendekezo ya kikao cha baraza la mawaziri cha Machi 25...
Nilikuwa maeneo ya Nzera jimboni kwa Msukuma uvuvi haramu umetamalaki. Makokoro na nyavu zilizopigwa marufuku maarufu kama Timba ndio zinatumika.
Nikaamua kuambaa ambaa mpaka mwambao wa ziwa wilaya Sengerema mwendo ni uleule.
Kumbe usimamizi wa sheria za nchi hutegemea na mkuu wa nchi aliepo...
Mwaka 1989 wakati huo nikiwa na umri mdogo tu (chini ya miaka 10), niliwahi kutapeliwa na mtu ambae mpaka leo sikuwahi kumuona tena machoni kwangu.
Iko hivi...
Siku hiyo nilikuwa nimepewa Tsh 200 na shangazi yangu niende nikanunue sukari. Thaman ya Tsh 200 kwa kipindi kile ilikuwa kubwa sana...
Ndugu habari zenu Mabibi na Mabwana
Kwa kudra za Allah naamini hata walio wagonjwa watapata nafuu na kupona na walio Magerezani watapata kutoka:-🙏🙏🙏
On my point
Kiufupi hali ya Maisha Ni ngumu sana Kuna high cost of living mainly kwenye bidhaa muhimu Kama Foodstuffs
Wazo langu Ni kwamba...
Ni kazi kweli kweli! Inaonesha hata mwaka huu mishahara kuna uwezekano mkubwa sana haitapanda. Sasa sijui SSH anashindwa nini? Watendaji hawa wamepeleka Bajeti haina kabisa pendekezo la kupandisha mishahara. Sijui wanataka wafanyakazi waanza kuwa kama wale WaTanzania wanaoishi Marekeni?
NB...
Licha ya sheria kukataza utoaji mimba, vitendo hivyo hufanyika na mara nyingi kwa njia zisizo salama. Pamoja na kwamba takwimu zinaonesha tatizo la vifo vya uzazi linapungua, bado kuna baadhi ya mambo yanachangia liendelee kuwepo ikiwemo suala la utoaji mimba usio salama ambao unachangia tatizo...
Kama ulishawahi kusikia msemo wa "machozi ya mamba", ndicho mabeberu wanakifanya kwa Ukraine! Mamba akikamata mawindo huwa anatoa machozi!! Hayo machozi ya mamba si dalili ya maumivu Bali ni kielelezo Cha kifurahia utamu wa mawindo aliyopata!
Kumekuwa na makelele ya vilio Toka Nchi za magharibi...
Kwa watumishi wa Umma. Na wengine wasio kuwa watumishi.
Zimebaki siku 11 kufika tarehe 1/52021 siku ambayo huitwa ya wafanyakazi.
ikumbukwe mwaka jana raisi alitoa kauli na hapa ninanukuu " niwahakikishie watumishi wenzangu mwaka ujao tarehe kama ya leo nitakuja na "pekeji" (kwa lafudhi yake)...
Kwa namna siasa zetu zilivyo tutarajie kwamba .
Kama Samia atapita 2025 basi mambo yatabakia hivi hivi nikimaanisha kwamba ripoti ya fedha kwa mwaka 2025/2026 ya CAG itakua safi sana.
Ila kama mambo yakiwa tofauti basi isikilizie kwani lazima itaukandia mno awamu ya sita.
Lakini kwa uhakika...
Tangu mwaka wa kwanza trilioni 1.5 ilipigwa nzima nzima, hii alisema Assad na kuanzia hapo akawa hasimu ya JPM, miaka 6 jamaa katuibia ngapi na ziko wapi?
Anza mikakati ya kutafuta wagombea makini kwa ajili ya udiwani, ubunge na urais. Pia chaguzi za serikali za mitaa.
Msisitizo ni kuwa hii ni wananchi kuikataa hii CCM ya wapiga madili hii ndio iwe hoja kuu.
Wewe binafsi usigombee maana haukubaliki. Tafuta watu makini.
2025 ushindi upo wazi kabisa.
Salaam!
Baada ya serikali kutoa kibali Cha kuajiri walimu zaidi ya elfu 10,
Kumekuwepo na mitazamo tofauti tofauti kuanzia bungeni Hadi mitaani kuhusu ni kigezo gani kitumike kuajiri walimu hao ili kuinua elimu nchini.
Hivyo ni Bora serikali izingatie kigezo Cha umri wa mwombaji pasipo kujali...
Kwa upande wa mziki wa bongo flavor huu wimbo unaweza ukawa wimbo bora.
Ni wimbo uliotulia kuanzia uimbaji hadi mapigo.Mwimbaji Amejaribu kubadilisha uimbaji tuliouzoea wa kwaya yaani mashairi na kiitikio na pia mapigo siyo kama ya miziki ya dance ya twanga pepeta.Ni mapigo ya aina yake ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.