Tamasha la Mwenge la mwaka 2022 lafanyika Kunming, China

ldleo

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
1,015
1,040
Tamasha la Mwenge la Kunming la mwaka 2022 limefanyika katika Kijiji cha Kikabila cha Yunnan, China. Watalii kutoka maeneo mbalimbali walicheza ngoma na muziki kwa pamoja kwa uchangamfu na kushiriki kwenye Tamasha la Mwenge la Mashariki na watu wa makabila madogo.

Tamasha la Mwenge ni tamasha la jadi la makabila ya Yi, Bai, Naxi, Lahu, Hani, Pumi na makabila mengine mengi. Tamasha hilo hufanyika mwezi wa sita katika kalenda ya jadi ya China kwa siku mbili hadi tatu.

VCG111393067224.jpg


VCG111393067045.jpg
 
Back
Top Bottom