mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Nimekosa kibarua kisa kitambulisho cha Taifa. Ni Mwaka wa nne sijapata kitambulisho cha NIDA

    Wakuu Kama mmesoma threads zangu za nyuma, ni wazi kwamba napitia kipindi kigumu kimaisha. Sasa wiki hii Kuna kibarua nilipata hapa Arusha wakahitaji kadi ya nida na ya chanjo ya Corona, nikawapa ya Corona na namba ya NIDA, wakasema wanahitaji kadi kabisaa siyo namba! Nilijiandikisha tangu...
  2. Kachina95

    JamiiForums Tanzania Simba SC pesa ziko wapi?

    Kama M bet kukaa kifuani pekee wanalipa bil 26 kwa miaka 5, wastani wa bil 5 kila mwaka, Mo anatoa billion ngapi kila mwaka kulipia matangazo yake yaliyojaa kwenye jezi ya simba. Je, billion 20 zipo kwenye account ya Simba? Je, pesa hizi zote zinaenda wapi? Kwanini hatuzioni kwenye usajiri...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kwa nini tunaagiza magari kwa zaidi ya M300 na kisha kuyauza kwa M5 tena ndani ya mwaka?

    Tusiwe wanafiki, Elimu zetu mmiliki wake huwenda ni shetani! Na Kwa bahati mbaya shetani hana mazoea na watu eti waishi vizuri na Kwa raha! Serikali zetu endapo watu wake wangelikuwa na nia ya kuzitoa nchi zetu kwenye Lindi la umasikini wa watu wao! Basi kusingelikuwepo na matumizi makubwa...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti UN: Wanawake 17,200 wameuawa na wapenzi na ndugu zao mwaka 2021 Afrika

    Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Madawa na Uhalifu (UNODC) na UN Women imesema Afrika ina kiwango kikubwa cha unyanyasaji dhidi ya Wanawake ikilinganishwa na idadi ya Wanawake wote. Kwa mujibu wa Ripoti Wanawake 5 wanauawa kila saa, na kwa mwaka 2021, karibu Wanawake na Wasichana 45,000 duniani...
  5. 6 Pack

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jeshi la Kenya dhidi ya M23: Je, Kenya itaweza kufanya kile ilichofanya Tanzania mwaka 2013?

    Inakuaje brothers and sisters, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Leo ndio siku ya mwisho waliopewa waasi wa Congo ili kusalimisha silaha zao kwa serikali, kinyume na hapo hatua kali za kijeshi zitachukuliwa kwa kundi lolote la waasi ambalo limekaidi amri hiyo. Na oparation hiyo...
  6. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Jengo refu kuliko yote Tanzania hadi mwaka 2022

    Opened in 2019 this is currently the tallest structure in Tanzania located along Sam Njuoma road in Dar es Salaam the building was constructed by Estim a Tanzanian company. The builiding is a complex with a 35flr tower and a 9 flr tower for office and commercial purposes with an ample parking...
  7. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2009 nilichorwa kwa wembe alama hii kwenye dole gumba la mkono wa kulia, maana yake nini?

    Ilikuwa ni miaka takriban 13 Iliyopita, mwaka 2009, siku moja niliamka na kukuta nimechorwa alama hiyo ya kujiviringisha, na alama hiyo ilichorwa kwa kutumia kitu chenye ncha kali (nilihisi ni wembe), ambapo alama hiyo ilikuwa imechongwa juu kwenye dole gumba la mkono wa kulia, kwenye ile ngozi...
  8. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja wa mzee Kinana madarakani, vijana wanagawana rushwa hadharani

    Mnakumbuka uchaguzi wa 2015 pale Dodoma kuna mtu alikamatwa na brifkesi la noti karibu na ukumbi wa CCM? Kipindi kile rushwa ilikuwa jambo la kawaida sana ndomana watu walikua na ujasiri ule, na juzi watu wamegawana rushwa kwenye chaguzi za ndani za CCM. Nyakati zote hizi mbili zina uhusiano...
  9. Pettymagambo

    JamiiForums Tanzania Nisaidie nyimbo kutoka Album ya mwaka 1995 ya Captain Komba na bendi yake

    Salaam wazee wa kambi. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, japo nilikua mdogo ila baadhi ya maneno katika nyimbo hizo nayakumbuka. 1. Muongo mbeya anauaa 2. Nyumba ya jirani yetu inateketea moto twende tukazime 3. Shime shime jaman, shimeshime kuomba tukazanee kuomba 4. Nakazi halina aibuu...
  10. Bridger

    JamiiForums Tanzania KWELI Asali ni hatari kwa watoto wenye umri chini ya mwaka mmoja

    Asali ni chakula kinachotumika kama dawa ya magonjwa mengi. Hutibu vidonda, kikohozi, huondoa sumu mwilini, ni chanzo bora cha nishati pia hutumika kwa kazi nyingi za urembo. Ukipita mtandaoni utaona baadhi ya makala zikiweka marufuku ya kuwapatia watoto wachanga asali. Jambo hili linaleta...
  11. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa kituo cha Afya Ikungi - Singida, Mashaka matupu mwaka unaisha ujenzi haueleweki

    IKUNGI-SINGIDA Na Gregory Jumbe Mahanju, Wakati Mama yetu anaendelea kujipambunua kutafuta pesa kwa wahisani ili kutekeleza ilani ya CCM, huko Wilaya ya Ikungi mkoani Singida katika kata za Ntuntu na Irisya tangu pesa zitolewe miradi ya ujenzi wa vituo vya afya katika kata hizo haijakamilika...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dar yaongoza ukusanyaji wa mapato kwa mwaka 2020/21

    Jiji letu la Dar limendelea kuchangia mapato ya taifa kwa zaidi ya asilimia 90 ya makusanyo kama ambavyo imethibitishwa na taarifa ya makusanyo ya mapato kwa mwaka 2020/21
  13. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Nimeachana na suala la kuoa mwaka huu

    Wakuu habari zenu, mwaka huu mimi member mwenzenu mwizukulu mgikuru (babu) nilipanga huu mwaka usiishe niwe na mimi nimepata jiko. Katika pitapita zangu nikakuta na toto moja zuri la kiarabu na linavaa mavazi ya heshima haswaa, nikazungumza nae tukawa tumeelewana vizuri basi mwisho wa siku...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Je, kuna wanafunzi wa mwaka wa pili na watatu wamepata mkopo?

    Wakuu habari Naomba kuuliza kama kuna mwanafunzi yeyote continuous kapata mkopo mpaka sasa maana kwa mujibu wa tangazo la HSLB wanadai kuwa wametoa mkopo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza hakuna sehemu wanawataja continuous. Lakini vile vile katika tangazo lao wanasema wamefungua dirisha la...
  15. Execute

    JamiiForums Tanzania Namba hazidanganyi, Mwinyi aliitoa Tanzania kutoka GDP ya dola bilioni 13.5 mwaka 1985 mpaka dola bilioni 5.7 mwaka 1995

    Hizo ndio takwimu zinavyoonesha. Nchi iliporomoka vibaya sana katika miaka hiyo kumi alipokuwa anaongoza rais mstaafu Mwinyi. Alishindwa kufanya makubaliano mazuri ya kiuzalendo na IMF na WB ili uchumi usiporomoke Mwaka 1985 Mwaka 1995
  16. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Picha: Ally Salum Hapi mkulima bora wa mwaka 2022

  17. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Watanzania watampa Rais Samia tuzo ya heshima mwaka 2025

    SHAKA: WATANZANIA WATAMPA RAIS SAMIA TUZO YA HESHIMA MWAKA 2025 Ampongeza kwa namna anavyochapa kazi bila mbwembwe wala zogo Asisitiza Chama kuridhishwa na juhudi hizo kwani matokeo yanaonekana Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali inapanga kukusanya Tsh. Tril 31.03 na itatumia Tsh. Tril 43.3 mwaka 2023/24

    Serikali ya Tanzania katika mwaka 2023/24, inatarajia kukusanya na kutumia Sh43.3 trilioni ikilinganishwa na makadirio ya Sh41.5 trilioni kwa mwaka 2022/23, ikiwa ni ongezeko la asilimia 4.4. Hayo yamesemwa leo Jumatatu, Novemba 7, 2022 na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba wakati...
  19. cold water

    JamiiForums Tanzania Kisa nilicho kutana nacho huu mwaka katika kutafuta ajira

    Jamani, jamani, ofisi zimetulia, majengo ni mazuri yanapendeza na kuvutia, na watu wake wanapendeza ukiwaangalia kwa nje lakini?! Lets go to the point, Mwezi fulani hapa kati kati katika kutafuta sehemu za kujitolea nikaenda ofisi moja hivi sehemu fulani, jamani nilikutana na kaka mmoja...
  20. Kaka mwisho

    JamiiForums Tanzania Nitumie dawa gani kutokomeza wadudu warukao na watambaao nisiwaone angalau kwa mwaka 1 ndani ya nyumba

    Wadau ni dawa gani naweza tumia kutomeza wadudu watambaao na warukao ndani ya nyumba. Nataka dawa ambayo nikitumia Mara moja naweza kaa angalau kwa muda mrefu bila kutumia. Sitaki dawa ya kutumia kila siku au kila wiki. Nataka mende,sisimizi,siafu,mbu n.k viwe vitu adimu ndani ya nyumba.
Back
Top Bottom