mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Putin hatahutubia taifa kwenye mwisho wa mwaka

    Kuna tetesi nyingi sana jamaa anapitia hali mbaya hata ameshindwa jambo muhimu sana la kuhutubia taifa ambayo ni desturi yake kila mwisho wa mwaka... Vladimir Putin has pulled out of his "giant end of year press conference" this year, a Kremlin official has revealed, sparking rumours that he is...
  2. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ushauri kabla mwaka haujaisha tuwashike mkono wenye shida, Upendo na Maombi mtambuka

    Katika hali ya kuishi umungu ndani yetu na kumuishi mungu wetu, Kwa rehema zake tukajae mioyo ya huruma na upendo, tukawashike mkono enye shida mfano wagonjwa hospitalini Kwa chochote kile, iwe pesa, iwe chakula etc. Sambamba na hilo pia tusiwasahau wajane, yatima na wasiojiweza kama wenye...
  3. Jay_255

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Ofa ya kufungia mwaka kwa simu za Samsung

    Simu kali sana used kutoka dubai zinauzwa bei ya kutupa. Kuanzia 250,000 unajipatia samsung S7 samsung S8 kwa 290,000 Samsung S9 kwa 320,000 Samsung S9+ kwa 380,000 Samsung S10 kwa 400,000 Samsung S10+ kwa 490,000 Samsung S20 5G kwa 560,000 Samsung S20+ kwa 660,000 Samsung S20 Ultra kwa...
  4. Analyse

    JamiiForums Tanzania Mwaka unaisha, kama vijana yafaa kuwekana sawa. Tunahitaji kuanza upya

    Mwaka unaelekea mwisho, ila kama ndugu/Jamii moja basi tunastahili kushauriana baadhi ya vitu, ili walau mwaka ujao tuuanze tukiwa na mentality mpya kwenye baadhi ya mambo. Maisha ni magumu, na tunalalamika kuwa ni magumu, lakini approach zetu kwenye baadhi ya mambo ndio huwa zinaongeza ugumu...
  5. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha mafanikio na malengo ndani ya mwaka

    Wadau habari za mida hii, poleni na jukumu la kujenga taifa kwa wale wapambanaji tuu. Nisiwe na mambo mengi niingie kwenye maada. Mwaka mmoja una siku zaidi ya 365, kila mmoja huku kajiwekea malengo yake, ila kuweka malengo ni jambo moja na kufikia malengo ni jambo lingine. Na sisi Watanzania...
  6. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mwaka unaisha nimezalisha wanawake watatu sasa nina watoto 15

    Mwaka wangu huu, nimepiga hat trick nipeni mpira wangu. Asante sana Monica, Alice na Somoe kwa kunizalia. Sasa nimefikisha watoto 15, nashukuru kojo langu huwa halidanganyi, sura ngumu kama yangu. Tufyatue tu jamani.
  7. Sun Wukong

    JamiiForums Tanzania Tunaomaliza mwaka bila sex wala mahusiano tujuane

    Ngoja tujipongeze mwaka unaisha hivihivi kama utani ujawahi fumania naniliu hata mara moja wala kuwa kwenye mahusiano Natumai mwakani kutanoga zaidi kwetu Neema itatuangazia 😔😊
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kwa mwaka 1 na miezi 9 Serikali ya Samia imeokoa Trilioni 20

    Kwa miaka 5 Magufuli alikopa Trilioni 36, wastani wa Trilioni 7 kwa mwaka. Magufuli alipofariki mwaka jana mwezi March aliacha Deni la Taifa liko Trilioni 71. Toka mwaka jana Mwezi Aprili hadi October mwaka huu kwa mujibu wa ripoti ya Benki kuu ya Tanzania Deni la Taifa limeongezeka kwa...
  9. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Ninawashukuru watu hawa kabla mwaka huu kuisha.

    Habari ya wakati huu watu wangu wa nguvu..ninatumia kila mmoja wetu yuko salama kabisa..Kwa mlio hospitali basi ninaachilia roho ya uponyaji mkapate kupona mapema(ukiamini utaokolewa) Haya twende kazi.😊 Unajua bhana kwenye maisha kuna watu wanaweza kuja Kwa mara moja na kuondoka pindi lengo...
  10. Eleminator

    JamiiForums Tanzania Wimbo bora kwa mwaka 2022

    kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mwaka ndiyo unamalizika naamini kila mmoja kuna wimbo ambao ni bora kwake kutokana labda na verse fulani inamgusa. Kwa upande wangu ni "Champion" by Kontawa, verse: "Mlo mmoja na bado tulibeba nondo na maisha bado yakasonga." #uziuendelee
  11. maroon7

    JamiiForums Tanzania Picha yangu bora ya kufungia mwaka 2022

    Nawewe tupia yako
  12. KASHAMBURITA

    JamiiForums Tanzania Naweza kutumia transript ya chuo katika kuapply ajira za Polisi?

    Habari zenu wakuu naomba kuuliza naweza kutumia transript ya chuo katika kuapply ajira za upolisi zilitoka 2022 Note nimemaliza chuo mwaka huu kwaiyo vyeti bado
  13. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Xmas inakuja humu, hadi Xmas iishe na mwaka mpya bye

    Marafiki na wengine wote, Xmas njema, nawatakia na heri ya mwaka hadi siku zijazo, tuombe uzima. Merry Xmas and Happy New Year guys.
  14. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Huu mwaka 2023 nategemea kuishi ki-padri

    Usiniwaze Sana Mimi nawaza Maisha yangu. Ili nifikie Goals na nisiweke- pause Lazima niishi ki-padri (Priest life) Nahitaji chukua Chuma ya Pili ili nimpatie My Mama that All na siwezi mchukulia Chuma ya Chini ya Mil 20
  15. eliakeem

    JamiiForums Tanzania Tupongezane na kutakiana heri kwa mwaka ujao wa 2023

    Tumetoka mbali tangu Januari mpaka sasa ni Desemba. Tupongezane na kutakiana heri kwa mwaka ujao wa 2023.
  16. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Nani amelitendea haki jukwaa la michezo kwa mwaka 2022?

    Leo ni Desemba 3, tumeingia mwezi wa mwisho kwa mwaka huu! Ni member gani amenogesha zaidi jukwaa hili kwa mwaka huu? Karibuni
  17. Fursakibao

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mwekezaji aliyeikamata ndege yetu alijitoa kwenye mradi mwaka 2015 Mwigulu Nchemba ukataka kumrudisha ikashindikana. Sasa hayo madai ni ya nini?

    Agro Eco Energy alijiondoa kwenye mradi wa sukari wa Bagamoyo 2015, huyu aliyeikamata ndege yetu ni nani? Mwigulu Nchemba tunahitaji majibu hapa. Kwa mujibu wa gazeti la The Guardian la tarehe 21 October 2015 kampuni ya The Swedish international Agency ilijitoa kwenye uwekezaji wa mradi wa...
  18. maishapopote

    JamiiForums Tanzania Sitakaa nilisahau tangazo la CocaCola la mwaka 1995

    Cocacola walitoa tangazo lao mwezi wa December 1995, likiitwa CocaCola Caravan, nilikuwa nimemaliza darasa la saba. Aisee nilivyoliona nilichanganyikiwa, lina uubunifu wa kuanzisha hisia zako hata kama huipendi Christmass. Tokea mwaka huo CocaCola walilirusha tena mwaka 1998 na nafkiri 1999 ila...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2021, 70% walioambukizwa VVU Tanzania ni Wasichana

    Takwimu za Maambukizi mapya ya VVU zimeonesha Wasichana wenye miaka 15-24 walioambukizwa VVU kila wiki walikuwa 212, sawa na wastani wa Maambukizi mapya 30 kila siku. Kwa mujibu wa WHO, hadi kufikia mwishoni mwa mwaka 2021 kulikuwa na watu milioni 38.4 wanaoishi na VVU Duniani kote, ambapo...
  20. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Tunafunga mwaka mnajivunia Nini?

    Mimi nimefurahi Kwa sababu nimepata marafiki humu wa kweli. Ndio najivunia Kwa Raha zangu kweli kwasababu kuongeza wanafiki ni Raha sana unajifunza sana maarifa mapya . Sijui kwenu mnajivunia Nini?? Good day .
Back
Top Bottom