mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jifunze hili kwenye hili sakata la ndoa ya Dr. Mwaka na Bakwata

    Salamu zenu... Dini ya kiislaam ni dini ambayo hakuna kitu kuhusu maisha ya mwanadam hakijawekwa wazi utaratibu wake... KILA KITU KATIKA MAISHA YA MWANADAM KIMEWEKEWA UTARATIBU KATIKA UISLAAM...KUANZIA KWENYE QUR-AN HADI HADITH ZA MTUME MUHAMMAD صلى الله عليه وسلم. NDOA, TALAKA, NA MIRATHI...
  2. JamiiForums Tanzania Baraza la Ulamaa latengua uamuzi uliovunja Ndoa ya Dkt. Mwaka

    Uamuzi huo umetolewa baada ya Baraza hilo kukutana kwa dharula na kutamka kuwa Ndoa ya Juma Mwaka Juma ‘Dr Mwaka’ na mke wake Qeenie Oscar Masanja haijavunjika kwa kuwa kuna malalamiko yaliyopelekwa katika Ofisi ya Qadhi. Taarifa ya Baraza inakuja ikiwa ni siku chache tangu Kikao cha Kamati ya...
  3. JamiiForums Tanzania Urusi kushtakiwa kwa kulipua ndege ya abiria ya Malaysia na kuua abiria 298 mwaka wa 2014

    Mdhulumaji Mrusi anasakamwa kote kote.... ===== The European Court of Human Rights has ruled that complaints against Russia from Ukraine and the Netherlands should go to trial. They pertain to the 2014 downing of commercial airline Flight MH17, among other things. The European Court of Human...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Dkt. Mwaka yavunjika. Imemaliza upendo kabisa

    Baraza la Mashekh wa Mkoa wa Dar es Salaam Chini ya Mwenyekiti wake Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam limevunja rasmi ndoa ya Bi. Queen Masanja ambaye alikuwa Mke wa Dk. Mwaka leo hii Tarehe 25/1/2023. “Ndoa hii imepoteza malengo na makusudio hakuna upendo wala maelewano baina yao hadi sasa zaidi...
  5. JamiiForums Tanzania Ni gari Gani Tano 5 zilizoagizwa zaidi mwaka 2022 Tanzania??

    Kwa upande wangu Mimi gari zilizoagizwa zaidi Tanzania mwaka 2022 ni 1. Toyota IST 2. NISSAN Dualis 3. Rumion 4. Forester 5. Harrier
  6. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike juu ya majengo ya kwenye viwanja vya Nanenane na Sabasaba ambayo hukaa bure na wazi kwa mwaka mzima?

    Hasa majengo ya nane nane. Kwenye viwanja hivi ambavyo vipo karibu kila mkoa, utakuta taasisi nyingi zimejenga majengo mazuri na ya kudumu. majengo haya huwa hayatumiki na watu kwa mwaka mzima isipokuwa Kwenye sherehe za nane nane au sabasaba. Tunawezake kuyatumia majengo haya kwa faida kwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

    Wakuu Huko Millard Ayo karipoti kuwa jamaa mke wake wa South Africa anadai talaka na toka mwaka jana hawako pamoja, sasa yule alitufanya wanaume tuonekane hatuna mapenzi na wake zetu kumbe nae ndani kuna waka moto. Haya mambo tuulizane yale nafundisho yake tuyafuate au tumteme maana hata yeye...
  8. JamiiForums Tanzania Soma vitabu ndani ya App hii kwa malipo ya Tsh 7,000 kwa mwaka

    Habarini. Makatabaapp. Inakuletea vitabu mbalimbali vya kiswahili kwa ada ya 7,000(Kutokana na kupanda kwa gharama ada ya sasa ni Tsh 10000 kwa mwaka. Tunaomba Moderator watusaidie kuweka 10,000 badala ya 7,000 kwenye title) kwa mwaka. Vitabu humo unaweza kusoma hata ukiwa offline. Tucheki...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China latoa “Chakula cha jioni cha Kitamaduni cha Mwaka Mpya” kwa watu wa China kote duniani

    Saa 2 usiku wa tarehe 21 Januari, likiambatanishwa na wimbo unaoimbwa na watoto, tamasha la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China ambalo limeandaliwa na Shirika kuu la utangazaji la China CMG limerushwa hewani, na kutoa "Chakula cha jioni cha Kitamaduni cha Mwaka Mpya" kwa watu wa China kote...
  10. JamiiForums Tanzania Ripoti: Watoto Milioni 400 wananyanyaswa Kingono duniani kila mwaka

    Kila mwaka, watoto zaidi ya millioni 400 duniani wananyanyaswa kingono, ripoti mpya ya Enonomist Impact imesema. Kwa kawaida ukatili na unyanyasaji kingono hufanywa siri kwa kuhofia aibu na kunyanyapaliwa, hivyo kuruhusu uhalifu huo kuendelea. Ripoti hiyo “Out of the Shadows Global Index...
  11. JamiiForums Tanzania INAUZWA Mwanza: Pikipiki aina ya King Lion (used mwaka na miezi 6)

    Huyu hapa Mfalme Simba anauzwa😎 cc zake ni kubwa, 150 cc Gear 5 Haina shida yoyote imetumika kwa matumizi binafsi tu bei elekezi: 1,400,000 tu inapatikana: SUMVE MWANZA
  12. L

    JamiiForums Tanzania Wenzhou, Zhejiang China: Wanafunzi wa kigeni wajifunza kuandika neno "Fu" ili kusherehekea mwaka mpya wa jadi wa China

    Januari 19, huko Wenzhou, mkoa wa Zhejiang, China, katika makazi ya Luyuan, Wilaya ya Lucheng, wakazi waliwafundisha wanafunzi wa kigeni kuandika neno "Fu" (linamaanisha "baraka" katika lugha ya Kichina) ili kusherehekea sikukuu ya mwaka mpya wa jadi wa China.
  13. JamiiForums Tanzania Nitaanzia hapa endapo nitakosa fedha za kununulia nyumba ya kupangisha mwaka 2023

    Ili niweze kujenga utajiri kupitia uwekezaji kwenye ardhi na majengo ninatakiwa kujihusisha na;- ✓ Umiliki wa ardhi na majengo. ✓ Au Utoaji wa huduma za uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Njia ya kutengeneza kipato cha haraka na kipato endelevu nikiwa umelala ni kumiliki ardhi za kukodisha au...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri; Tujipange kubadilika; Huenda miaka ijayo binadamu mzee zaidi ataishi mwaka mmoja tu na kuzeeka

    Ulishawahi kuwaza zamani watu waliishije zama wayahudi? Walikuwa na maumbo gani? Mfano ukiangalia umri wa maisha ya mfalme Suleimani alivyoishi miaka ile na wake zake?,vipi kuhusu kina yakoub, Daudi, ibrahim na wengine? Naomba hili niliweke kimahesabu ili tuone mantiki! Sitaki kujiuliza sana...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kumalizika kwa ziara ya Qin Gang ni mwanzo mzuri kwa diplomasia ya China barani Afrika kwa mwaka huu

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Qin Gang amemaliza ziara yake ya siku tano barani Afrika ilivyomfikisha Ethiopia, Gabon, Angola, Benin, na Misri. Hii ni ziara ya kwanza ya kikazi ya Bw. Qin Gang tangu ateuliwe kuwa waziri wa mambo ya nje wa China, na imefanyika wakati ushirikiano kati ya...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sekta ya kilimo itakua kwa 30% kufikia Mwaka 2030

    President Samia Suluhu Hassan has said Tanzania expects it's agriculture sector to grow at an annual rate of 10% by 2030 compared to the current growth of around 3.6% as part of the country's ambitious agriculture transformation vision. The President said Tanzania has developed a national...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Madeni ndo yanakuwa "on fleek" kipindi hichi cha mwaka

    Naona siku zinaenda ila mpunga unaenda kwa haraka zaidi Sasa sijui huu mwezi unaisha kwa style gani, sioni mahali pa kukopa, madeni yaliyopo tayari siyaelewi elewi majukumu yanazidi..nahisi kudata! Kwenye ahueni kidogo ni wapi aiseeee?
  18. JamiiForums Tanzania Mchungaji Hananja: Wachungaji KKKT wakihoji vitendo vya viongozi kuuza Mali za kanisa, wanafukuzwa, asema na yeye alisimamishwa mwaka mmoja

    Mchungaji Hananja akihojiwa na Bongo5 (ingia YouTube, kaongea nusu saa nzima) ameeleza uonevu mkubwa wanaofanyiwa na viongozi wakuu wa kanisa, na anasema yeye aliandikiwa barua na kiongozi mkuu wa kanisa kumsimamisha kazi bila mshahara kwa mwaka mzima, bila sababu yoyote ile. Hananja anasema...
  19. JamiiForums Tanzania Netflix inatafuta mhudumu wa Ndege atakayelipwa Tsh. 899,745,000 kwa mwaka

    Netflix inatafuta mhudumu mpya wa ndege ili kujiunga na watoa huduma wake na iko tayari kumlipa zaidi ya dola 385,000 kwa mwaka kwa atakayekuwa na sifa. Mhudumu huyo atafanya kazi kwenye moja kati ya Ndege zake binafasi katika mji wa San Jose, Calif. karibu na makao makuu ya kampuni ya Los...
  20. JamiiForums Tanzania Nimesali sana, nimeroga na nimejiendeleza kitaaluma lakini mwaka wa tatu sina ajira. Je, nimebakiza nini?

    Wakuu maisha ni safari ndefu na kuna mapito ila usiombe yakukute. Hapa nilipo nimefanya kila kitu kwa kutumia akili yangu na ujanja kama mwanadamu lakini mpaka leo sina ajira. Nilipopoteza kazi yangu wakati wa covid 2020 sikuwa najua kama nitafika 2023 sina ajira na nitafirisika. Nilikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…