Jiji la Dar us Salaama (Dar es Salaam) Tanzania kabla na baada ya mwaka 1868

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,674
9,994
Kabla ya mwaka 1868, Jiji linalofahamika kwa jina la Dar es Salaam, halikuwepo kabisa. Badala yake kulikuwa na mji ulioundwa na miji mitatu maarufu, ambayo ni Kunduchi, Mbwamaji na Tindwa. Kila mji ulijitegemea, huku idadi ya wakazi wake wote kwa jumla haikuzidi watu 2,000.

Kati ya miji hiyo mitatu, miji miwili ya Kunduchi na Mbwamaji bado ipo hadi leo huku mji wa Tindwa, uliokuwa na eneo kubwa zaidi, ulimezwa na nguvu za matukio ya kihistoria yaliyosababishwa na mabadiliko na mpangilio mji mzima wa jiji.

Tukio kubwa la kihistoria lililobadili mpangilio wa miji hiyo mitatu na kuzaliwa kwa Jiji ambalo leo hii linalofahamika kama Dar es Salaam lilitokea mwaka 1865 pale Sultani Majid, aliyekuwa mtawala wa Zanzibar, kununua eneo kubwa la ardhi ya mji wa Tindwa, iliyomilikiwa na Sharif Attas na Jumbe Tambaza (machifu wa Kimashomvi).

Eneo hilo lilianzia Bustani ya Mnazi Mmoja karibu na Mnara wa Saa (Clock Tower) mpaka Magogoni (Ferri) mpaka kuelekea Daraja la Selender kutokezea Upanga lilikuwa ni Shamba la Jumbe Tambaza.

Lengo la Sultani huyo la kununua ardhi hiyo inayoanzia eneo la Magogoni hadi eneo la Hospitali ya Osheni Rodi (Ocean Road), eneo ambalo lilikuwa pori linalotazama Bahari ya Hindi na ambalo lilikuwa na ukimya, kiasi cha wakazi wa eneo la Tindwa kulipa jina la Mzizima, kwa sababu kila aliyepita eneo hilo alihisi mwili wake kusisimka na kuzizima kwa hofu ya kuwaogopa Wanyama pori.

Alinunua hilo eneo na kujenga majengo makubwa kwa ajili ya kufungua chuo/shule ya kufundisha dini ya Kiislamu kwa lengo la kueneza Uislamu kutokea hapo kuelekea maeneo mengine ya Mrima, Pwani na Bara hadi Kongo na Burundi na kwa watu wa nchi za ukanda wa Afrika Mashariki, Afrika ya Kusini na Afrika ya Kati.

Baada ya kununua eneo hilo, mwaka 1865 Sultani Majid aliingiza manuari kubwa za mizigo, zinazokadiriwa kuwa kati ya tatu hadi saba, zikiwa zimesheheni vifaa vya ujenzi na wataalamu wa ujenzi wa majengo ya chokaa na mawe, toka nchi za Bara Hindi na Uajemi. Na ndipo ujenzi wa majengo hayo ulipoanza kwenye eneo hilo la Mzizima mkabala na pwani ya Magogoni, huku majengo mengi yakijengwa eneo la Ocean Road.

Pamoja na Ikulu ile ya Magogoni, Seyyid Majid pia alijenga lile jumba la ‘Ocean Road Cancer Institute’ (ORCI) kwa sasa, ambalo mwanzoni lilikuwa ni Msikiti Mkubwa wa Ijumaa.

Ujenzi wa majengo hayo ulichukua takribani miaka mitatu na kukamilika mwaka 1868 na Sultani Majid mwenyewe alilipa jengo moja kubwa lilipo Magogoni hadi leo, jina la Dar us Salaama (tamka Daru Salaam), maneno ya Kiarabu yenye maana ya Nyumba ya Utulivu au Nyumba ya Amani. Na katika lango kuu pameandikwa maneno kutoka kwenye Qur’an Suuratul Hijr Ayah ya 46 isemayo (ٱدْخُلُوهَا بِسَلَـٰمٍ ءَامِنِينَ) Udkhuluuhaa Bisalaamin Aaminiin (Ingieni kwa salama na amani).

Wakoloni wa Kizungu walipokuja Tanganyika, mahala hapo ambapo palikuwa ni Msikiti Mkubwa wa Ijumaa, pakafanywa hospitali iliyojulikana kama ‘Ocean Road European Hospital’, iliyokuwa ikiwatibia Wazungu peke yao.

Na ndio utaona vijana wengi jiji la Dar es Salaam waliozaliwa baada ya uhuru kati ya miaka ya 60 - 70, wamezaliwa kwenye hospitali ya Ocean Road, ambayo sasa ni maalum wa kutibu saratani (Ocean Road Cancer Hospital), na kabla ya hapo yalikuwa ni majengo ya msikiti na mabweni ya vijana na wazee waliokuja kusoma Dar Us Salaam na bado mpaka leo muonekano wake ni ule ule.

Ikulu ile ya Magogoni wakati huo, ilikuwa imezungukwa na misikiti kadhaa ambayo yote, katika Utawala wa Kijarumani, ilibadilishwa matumizi na kufanywa taasisi nyengine.

Misikiti mingine iliyobaki ikasambaratishwa na kutumiwa kwa shughuli nyengine, ukiwamo Msikiti mkubwa uliokuwa baharini pale Forodhani, jijini Dar es Salaam, ulipogeuzwa kutoka msikiti na kuwa Kanisa la Mtakatifu Joseph mpaka hivi leo.

Kuanzia hapo, wakazi wote wa miji mitatu ya Kunduchi, Mbwamaji na Tindwa, wakabadili jina la Mji wa Tindwa na kuubatiza jina la jumba hilo kubwa kuwa Dar us Salaama, jina ambalo baadae lilimeza hata majina ya miji ya Kunduchi na Mbwamaji na kuifanya iwe vitongoji tu katika mji wa Dar us Salaam.

Kwa takribani miaka kumi tangu kufunguliwa kwa jengo hilo, raia toka nchi mbalimbali kuanzia Tanganyika, Msumbiji, Zaire, Burundi, Rwanda, Kenya na Uganda, walimiminika katika jumba hilo na kupata elimu ya Uislamu iliyotolewa na masheikh wakubwa toka nchi za Uarabuni, Lamu na Mombasa Kenya na Zanzibar.

Kati ya mwaka 1875 na 1878, Wajerumani walivamia Tanganyika na kuiweka katika himaya ya utawala wao, na jengo hilo lilibadilishwa matumizi yake toka kuwa kitivo cha elimu ya Kiislamu na kuwa makao makuu ya serikali ya Kijerumani na baadae kuwa makazi ya Mtawala wa Kiingereza na leo hii ni Ikulu ya Taifa.

Mbali ya kubadilishwa jina kwa jengo hilo, toka Dar ul Salaam na kuwa Ikulu, hata jina lilipewa mji wake kutokana na jengo hilo pia limebadilishwa toka Dar us Salaama (Nyumba ya Utulivu/Amani) na kuwa Dar es Salaam (Bandari ya Amani) ambayo wajuzi wa lugha ya Kiarabu wanakata kuwa neno hilo Dar es Salaam halina maana ya Bandari ya Salama.

🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Ahsante kwa history tamu. Naomba kuelimishwa. mji wa Kunduchi bd upo hata sasa. tTndwa imebadili jina na kuwa Upanga, mbwamaji imekuwa mji gani kwa dunia ya sasa?
 
Hizi story za yule Shekh mwenye mbwembwe nyingi .Inasemekana nyingi kweli kweli.

Story nyingi ambazo hazina kichwa wala miguu.
 
Ohhooooo kumbe inawezekana waislam wamedhulumiwa vingi mno..
Au kulikuwa na mpango kabambe wa chini kwa chini kuudidimiza usikue kwa marengo binafsi yaliyojificha
 
Unapotisha, mzizima ni Kizaramo kabisa hicho, mzi manake ni mji, na zima manake ni nzima, mzima, hivyo mzizima manake ni mji mzima,
 
Shida yako hausemi habari hizi umezipata kwenye vitabu gani na sisi tukavisome ili tuamini,
 
Ohhooooo kumbe inawezekana waislam wamedhulumiwa vingi mno..
Waafrika wa Tanzania ambao wanaamini katika uislamu. Dhuruma ya kilimani ufanywa kwa kuwalazimisha kwa vitisho haramu wenye dini kufuata imani ya tofauti na dini Yao.

Tupe maelezo ya kutosha Sasa ya Waafrika wa Tanzania waaminio uislamu kudhulumiwa.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom