"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.
Naibu Waziri wa Afya Dk. Godwin Mollel amesema katika kipindi cha Januari hadi Desemba mwaka 2022 jumla ya kondomu 111,984,600 zilisambazwa nchini ili kuongeza mapambano dhidi ya ugonjwa wa UKIMWI.
Chanzo: ITV Tanzania
Na kwa ninavyowajua Watanzania (Wabongo) kama kuna zilizotumika kwa mwaka...
Wanafunzi wa kigeni kutoka Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Zhejiang walifanya shughuli za kushuhudia ya mwaka mpya wa jadi wa kichina ili kupata uzoefu wa desturi za China na kuona uzuri wa utamaduni wa jadi wa China.
Mwandishi ambaye ana asili ya Visiwani Zanzibar, Abdulrazak Gurnah ametajwa na Taasisi ya Reputation Poll International, katika orodha ya mwaka 2023 ya Waafrika 100 wanaoheshimika zaidi.
Orodha hiyo ina watu binafsi kutoka sekta mbalimbali ikiwa ni pamoja na Utawala, haki za Binadamu, Elimu...
Ikiwa ni hatua ya kuendelea kukabiliana na maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi, Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel amesema Serikali imesambaza kondomu milioni 111.934 nchini katika kipindi cha Januari hadi Desemba 2022.
Hayo ameyabainisha juzi Januari 13, 2023 kwenye kikao cha ndani...
TFF inaendesha mpira kupendelea Simba, leo hii imejihizirisha,kusogeza mechi ya Simba na Mbeya City mbele, kwa sababu za kipumbavu ni kuzalilisha nchi yetu.
Nauliza hapa Simba walipoenda huko Dubai wameenda kuwakilisha nchi? Simba walipo enda huko Dubai TFF imewahusu nini mpaka wakasogeza mechi...
ELIMU BURE: Gharama ya kumsomesha mtoto mmoja wa primary kwa Mwaka ni 4MIL, na serikali inalipa kila mwaka
Hili limesemwa na Mwenyekiti wa Shule Binafsi Tanzania. Na amemshauri Rais akae na wataalam wake wamwambie ukweli.
Anapoteza pesa nyingi sana, wakati Elimu itolewayo duni
Bado mtoto...
Ni kweli nachukia sana wanawake wapiga mizinga. Ila sometimes ukiamka vizuri unafanya kweli unayamwagilia maji haya maua ya dunia.
Sio kwamba wana njaa au hawana hela ya bundle, NO ni kushea furaha tu uliyonayo.
Kwa hiyo leo nimeamua tu. Nitagawa bundle la internet kwa kila mtoto wa kike huko...
1. Maria Sarungi (shangazi)- umezaliwa familia Bora, ulikuwa na kila sifa uteuzi lakini ulikataa na kuamua 2022 ulie na wanaolia. Uliwindwa ukakimbia nchi lakini bado haukusita kupambana Kwa ajili ya Haki ya wale wote wanaonekana. Kupitia Maria space ulivuka viunzi vya kuminywa Kwa Uhuru wa...
Huko Iringa Mahakama ya wilaya ya Kilolo imemhukumu Frank Kigomba miaka 30 na kutakiwa kulipa faini ya shilingi laki 5 kwa kosa la kumbaka dada yake wa kuzaliwa kwa maelekezo ya mganga wa kienyeji ili awe tajiri.
Matukio ya kubaka, kuua na kutafta utajiri sasa yamehama kutoka kanda ya ziwa na...
Serikali imesema muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote ukipitishwa na kuwa sheria na kuanza kutumika mwaka huu, mwananchi yoyote ambaye hatakuwa na bima hiyo kuanzia mwaka 2026, hataweza kupata huduma zingine ikiwamo leseni ya udereva.
Kauli hiyo imetolewa leo na mjumbe wa sekretatieti ya...
ONYESHO DOGO KUTOKA TAMTHILYA INAYOITWA "WE ARE ONE", by Tanzanian British.
It is just After THE AFRICAN KING ASKED THE MISSIONARY FROM BRITAIN,WHAT DOES SLAVE MEAN!? CHECK IT please.-
MISSIONARY LEADER
SLAVE is some one who you own and works for you, under all conditions, and obeys you in...
Tangu mwaka 2017 tumekuwa tuki-export bidhaa zetu kwenda South Africa na India zaidi ambapo ilikuwa zaidi ya 10% ya exports zilienda katika nchi hizo. Huku nchi za falme za kiarabu zikipata chini ya 10. Kwa mwaka 2017 asilimia ya exports zilizoenda UAE zilikuwa 2.5 na mwaka 2018 ilikuwa 2.3...
Mwaka wa fedha 2021/22 ulikumbwa na uhaba wa nafaka kama ambavyo imeripotiwa na Benki Kuu ya Tanzania kuwa katika mwaka huo kulikuwa na uhitaji wa chakula tani 9,537,752 hata hivyo tuliweza kuzalisha tani 9,493,410 ambapo tofauti ni tani 44,342.
Suala la kuwa na upungufu wa chakula limeripotiwa...
Nawasalimu kwa jina la aliye juu wakulima wenzangu.
Nasimama hapa kutangaza rasmi kwamba 2023 nitafia shambani. Nimejiridha pasipo na shaka kwamba mali utaipata shambani.
Kwa hiyo 2022 nimeitumia vizuri kujiandaa na kutafuta mtaji. Nasema nitafia shambani nikijiamini kwa sababu ya maandalizi...
Hapa wameshajiharibia. Nimefurahi sana maana wanaenda mfukuza huyu kocha muda si mrefu. Atabaki tena Mgunda na Matola. Ndo nawaaambia hivyo.
Wachezaji watamnyima ushirikiano. Atabaki peke yake. Wachezaji wengi ni Royal kwa Matola na Mgunda kwa baadhi. Hawajapenda kocha mpya watamuaibisha mbaya.
Gharma za bidhaa zilikuwa juu naona na mwaka huu bado zimeendelea kuwa juu. Bidhaa za muhimu sana zaidi ya mafuta zimekuwa bei ghali, CHAKULA.
Sihitaji kutaja bei kwani kila anajione janga hili.
Sasa najaribu kutafakari nini chakufanya ili hali hii isiendelee kuumiza watanzania hasa wa kipato...
Hii kalenda tunayotumia, Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa.
Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? Au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Salum Hamdun amesema Tanzania imetambulika kuwa ni miongoni mwa nchi chache Afrika zilizopiga hatua katika mapambano dhidi ya Rushwa. Kwa mujibu wa shirika la International inaonyesha Tanzania imeshika nafasi ya 2 katika...
Twende kwenye mada direct.
Kila wiki ya mwisho ya December kuna dini inawafanyia brain wash washirika wake. Hapo wanasahaualishwa waliyotabiriwa mwaka unaoisha ambayo ni hewa (hayajatimia) na kutabiriwa mambo mapya.
Basi wanapigwa msasa mpaka wanafikia hatua kila muumini analiona ghorofa lake...
Ni Ofa ya mwaka mpya na mambo mazuri kwa bei poa kabisa.
Ni Adata Legend M.2 SSD Mpya kabisa kwa Tsh 150,000/= kila moja.
Description
● PCIe Gen3 x4 interface
● Fast read/write performance
● Heat sink keeps things 15% cooler
● Great upgrade option for creators
● High capacities
● Supports...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.