Bajeti Wizara ya Katiba na Sheria ni Tsh, Bilioni 383.6 kwa mwaka wa Fedha 2023/2024

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,895
940

MHE. DAMAS NDUMBARO - BAJETI WIZARA YA KATIBA NA SHERIA NI TSH. BILIONI 383.6 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb), leo Bungeni Jijini Dodoma amewasilisha bajeti ya mpango wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara kwa mwaka wa Fedha 2023/2024, yenye ujumla ya Shilingi 383,619,511,000.00 kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida na Miradi ya Maendeleo kwa Mafungu ya Wizara na Taasisi zake.

Mchanganuo wa makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria na taasisi zake ni kama inavyoonekana;

1. Tume ya Utumishi wa Mahakama shilingi 5,595,906,000.00
2. Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali shilingi 18,817,867,0000.00
3. Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali shilingi 17,075,830,000.00
4. Ofisi ya Taifa ya Mashtaka shilingi 68,798,929,000.00
5. Mfuko wa Mahakama shilingi 217,978,755,000.00
6. Wizara ya Katiba na Sheria (RITA na LST) shilingi 42,004,741,000.00
7. Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora shilingi 8,151,538,000.00
8. Tume ya Kurekebisha Sheria shilingi 5,195,945,000.00
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2023-04-25 at 18.55.34.jpeg
    WhatsApp Image 2023-04-25 at 18.55.34.jpeg
    32.6 KB · Views: 6
  • WhatsApp Image 2023-04-25 at 18.55.33(2).jpeg
    WhatsApp Image 2023-04-25 at 18.55.33(2).jpeg
    39.2 KB · Views: 6
  • WhatsApp Image 2023-04-25 at 18.55.33.jpeg
    WhatsApp Image 2023-04-25 at 18.55.33.jpeg
    44 KB · Views: 6

MHE. DAMAS NDUMBARO - BAJETI WIZARA YA KATIBA NA SHERIA NI TSH. BILIONI 383.6 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb), leo Bungeni Jijini Dodoma amewasilisha bajeti ya mpango wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara kwa mwaka wa Fedha 2023/2024, yenye ujumla ya Shilingi 383,619,511,000.00 kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida na Miradi ya Maendeleo kwa Mafungu ya Wizara na Taasisi zake.

Mchanganuo wa makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria na taasisi zake ni kama inavyoonekana;

1. Tume ya Utumishi wa Mahakama shilingi 5,595,906,000.00
2. Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali shilingi 18,817,867,0000.00
3. Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali shilingi 17,075,830,000.00
4. Ofisi ya Taifa ya Mashtaka shilingi 68,798,929,000.00
5. Mfuko wa Mahakama shilingi 217,978,755,000.00
6. Wizara ya Katiba na Sheria (RITA na LST) shilingi 42,004,741,000.00
7. Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora shilingi 8,151,538,000.00
8. Tume ya Kurekebisha Sheria shilingi 5,195,945,000.00
Kwani yeye CAG anasemaje kuhusu budget ya Wizara ya Katiba na Sheria hadi Sasa!!!???
 
Back
Top Bottom