"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.
Ilikuwa siku ya Ijumaa, tarehe 01, desemba 2001, katika uwanja wa mashujaa mjini Moshi tulipokutanika wanafunzi wa kidato cha pili katika kilele cha siku ya ukimwi duniani. Shughuli zilikuwa nyingi pale lakini mojawapo ya mambo yaliyoweka alama mpaka kesho katika waliokuwepo ni kile kiapo cha...
Young Africans ilicheza na Raja Casablanca jijini Dar es Salaam na kutoka suluhu ya 3-3(Najua hujawahi kuisikia hii) . Lakini Yanga ilipoenda Morocco ikapoteza kwa 6-0(hii ndiyo inatangazwa sana).
Kama Simba hapa Dar es Salaam tu wamepigwa 3.
Je, Morocco watapigwa ngapi?
Hello bosses,
Kwanza niwe mkweli tu, napenda sana movie za martial arts na ujasusi. Hii Drama ya Princess Agents ni tofauti kabisa na drama za kichina zilizokuwa zimezoeleka. Baada ya kuangalia Nirvan in fire sikudhan kama ntakuja pata drama ya kichina nzuri tena, yenye mkono na ujasusi...
Mwaka 1985 Rais wa Uganda Milton Obote alikuwa amepinduliwa na akina somebofy Okelo Sasa huyu Obotealikuwa Rafiki wa Nyerere ,akakimbilia Tanzania kunusuru maisha yake.
Haikuwa mara yake ya kwanza kupinduliwa na kukimbilia bongo.huko nyuma alishapinduliwa na idd Amini kama sikosei
Safari hii...
Kwa Mkapa hatoki mtu!!
Hii ni kauli mbiu maarufu kwa mashabiki wa Simba Sports Club linapokuja suala la mechi za Kimataifa za CAF. Kwa kauli hiyo ashakufa Al Ahly, Orlando Pirates, As Vita, Kaizer Chiefs na wengineo na sasa ni zamu ya kufa Raja Casablanca. Nani anabisha?
Kikosi cha Simba...
aliyekuwa
baada
benjamin mkapa
bila
caf
caf champions league
champions league
corona
covid 19
dhidi
imeisha
kuanzia
kufungwa
kuisha
kushabikia
kwa mkapa
leo.
mechi
mkapa
mlevi
mlevi mmoja
mmoja
mpira
mshahara
mtu
mwaka
mwamposa
mzima
raja casablanca
simba
waarabu
Huyu mwanadada Libianca ni mwanamuziki wa Cameroon, na mwaka huu ametoa wimbo uitwao PEOPLE. Binafsi nimeusikiliza mara kadhaa na kutambua kwamba huyu dada ana kipaji kikubwa mno cha uandishi na uimbaji. Mashairi ya huu wimbo yana ujumbe mzito sana na ametumia mahadhi ya Afro-Fusion (Huku...
Wanabodi
Naangalia TBC mubashara uzinduzi wa Mama Samia Legal Aid Campaign,
Katika ufuatiliaji wa uzinduzi huu mubashara kupitia TBC, kukatokea jambo fulani,
Wanasheria hawa, ndio waliotufikisha hapa!, jee tuendelee kuvumilia hizi slips of a tongue kwa wanasheria wetu manguli wabobezi na...
Leo katika hafla ya utiaji saini mikataba yenye thamani ya shilingi Trilioni 1.9 ya kuongeza usambazaji wa umeme kwa wananchi na maeneo ya kimkakati. Waziri wa Nishati January Makamba alisema Serikali inamkakati wa kuongeza uzalishaji umeme "Tunaposema tunazalisha umeme wa Megawati 1,700 na...
Habari za mchana Wana Jf.
Kuna mdogo wangu amefaulu kidato cha Nne nataka nimbadilishie shule na combination alizochagua awali huko Shuleni baada ya yeye kuja na mapendekezo mapya
Muda sasa tokea mwaka 2018 umekuja utaratibu mpya wa online unao muwezesha mwanafunzi kubadilisha shule ...
Kwa mujibu wa Ripoti ya Taasisi ya Global Financial Integrity (GFI) na Washirika wake imeonesha bado Tanzania ina tatizo sugu la Utakatishaji Fedha unaotokana na Biashara Haramu kiasi cha kupoteza zaidi ya Tsh. Trilioni 3.5 kila mwaka.
Kati ya vitendo vinavyochangia tatizo hilo ni pamoja na...
Hello JF
Kila mwanaume halisi ambaye ni kizazi halisi cha Adam na Hawa, walioishi bustani ya Eden na kupewa kila kitu na yenye kila kitu ndio wataelewa.
Asante Dr Mwaka kuwa mcha Mungu, unajua maandiko, hekima na busara zako ni kubwa sana.
Ishi na mwanamke at your own risk, a woman is an...
Wahenga wanasema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Hapo juu ni video yenye maneno kuntu kutoka kwa huyu Dr wa mchongo.
Maneno haya ni ya hekima kubwa na yanapaswa yakae vifuani kwetu sisi wanaume, yaingizwe kwenye katiba mpya
Hatuwezi kubadili Biblia au Misahafu ila hili ndilo neno la uokovu...
Sikuwa na lengo ka kuanzisha uzi katika muda mbovu kama huu, ila nimeshindwa kujizuia. Kelele nilizoziona kwa wingi ni juu ya kufunga ndoa au kutokufunga ndoa; lakini je, tunataka watu wafunge ndoa au waoe? Ni kwanini mtu afunge ndoa badala ya kuoa? Au kwanini mtu aoe badala ya kufunga ndoa...
Cristiano Ronaldo moja ya wachezaji bora Duniani ameanza kutimiza Ahadi yake ambayo aliisema Mwaka 2022 mwez wa 4 baada ya kufunga Hat trik ya 60 ambapo ali tweet katika mtandao wa Twitter na kuandika
"30 Hat-Tricks before 30 and 30 Hat-Tricks after 30.It's time to...
wasomi wote wa Cuba tuonane hapa
Yule mwanamke alijipanga maana nimeona tamaa za wazi kisa kale kajumba ndio analeta vilio na unafiki mitandaoni
salute kwa wasomi wa CUBA .
Kwetu wakristo tukiachana mali huwa zinagongwa pasu kwa pasu, ni maumivu juu ya taabu?
Kwa upande wa pili ni kwamba dr mwaka hana wajibu wa kugawa mali ?
Bi Queen apiga magoti na kusema anachohitaji zaidi yeye kwa sasa ni Amani, na kwamba yuko tayari kumuachia Mwaka kila kitu ili abaki na amani na kulea watoto wake.
Amesema kuwa anatamani mwisho wao uwe na amani, na kama kuna chochote Dkt. Mwaka anakihitaji basi amwambia ni njia zipi apite...
Nisiwachoshe sana, huyu bint anafanya siku ionekane fupi kila ukikutana na videos zake mitandaoni.
Kiufupi ni kama comedian flani kuanzia muonekano mpaka kauli zake.
Nilitazama interview moja anasema amelipwa dola za kimarekani 705(mia saba na tano) na kwamba anadai ni sawa milion kumi na saba...