mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Prof. Sospeter Muhongo: Mapendekezo ya Mpango wa Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

    LEO BUNGENI: MAPENDEKEZO YA MPANGO WA TAIFA KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 - Mchango wa Prof Muhongo Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo ameshauri yafuatayo: *Mipango yetu ya maendeleo ilenge kupunguza umaskini kwa kasi kubwa *Uwekezaji wetu ulenge kupunguza umaskini kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mbunge Saashisha Mafuwe akichangia Bungeni Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2024-2025

    "Katika taarifa ya Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2024-2025, Matarajio yangu ni kuona sasa kuwa na Mipango ya Nchi yetu ambayo inatekelezeka kwa muda mfupi na muda mrefu. Mipango ambayo itajibu matarajio ya wananchi" - Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai "Ili...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yatangaza Novemba 13, 2023 kuwa siku ya Mapumziko ya Umma kwaajili ya Kupanda Miti

    Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani na Utawala wa Nchi imetangaza kuwa Novemba 13, 2023 itakuwa Siku ya Mapumziko kwa Nchi nzima ambapo Wananchi wote watatakiwa kushiriki katika Upandaji Miti. Taarifa ya imesema hatua hiyo ni mpango wa Serikali kurejesha na kulinda mazingira...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha: Serikali inatarajia kukusanya na kutumia Tsh. Trilioni 47.424 Mwaka 2024/2025

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) amesema kuwa Serikali inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 47.424 katika mwaka 2024/2025. Dkt. Nchemba alisema hayo Bungeni jijini Dodoma wakati akiwasilisha Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Serikali itakopa Tsh. Trilioni 8.69 kwaajili ya Bajeti ya mwaka 2024/25

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema serikali inatarajia kukusanya na kutumia TZS trilioni 47.4 katika bajeti ijayo. Mapato ya ndani yanatarajiwa kuwa TZS trilioni 34.4, washirika wa maendeleo wanatarajiwa kuchangia TZS trilioni 4.29 na mikopo ni TZS trilioni 8.3. Mwigulu amesema hayo...
  6. JamiiForums Tanzania Tuache kujifariji 'kipuuzi' kuwa hata sisi tuliwafunga 5 - 0 mwaka 2012, ukweli ni kwamba kipigo chao kimetuuma mno

    Halafu msisahau Sisi tulipowafunga wao walikuwa na Kikosi dhaifu na Mgogoro mkubwa Klabuni kwao wakimtaka aliyekuwa Kiongozi wao Lyoed Nchunga ajiuzuru. Na nakumbuka Usiku wa kuelekea Mechi hiyo Mchezaji na Rafiki yangu mkubwa tu Jerryson Tegete alinipigia Simu na kuniambia kuwa Mechi yao ya...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Rafiki niliyemsaidia wakati wa shida akanitosa nilipopatwa shida, leo kanifanyia surprise ya kufungia mwaka

    To cut short story huyu jamaa ni rafiki yangu wa tangu utotoni. Mwaka 2012 nikiwa vizuri sana kiuchumi alipatwa na msiba wa baba yake mzazi. Yeye kwao ndio wa kwanza na ndio mtoto anae tegemewa na familia nzima. Kwao ni Dar ila msiba ulimkuta akiwa kaenda kufanya interview ya kazi Kigoma...
  8. JamiiForums Tanzania Bifu maarufu la Shah Rukh Khan na Sunny Deol lililodumu kwa miaka zaidi ya 20 mpaka kuisha kwake mwaka huu, tuna la kujifunza hapa

    Miongoni mwa mabifu yaliyowahi kutikisa nchini India basi bila shaka utazungumzia bifu lililokuwepo baina ya Shah Rukh Khan ukipenda muite King Khan au SRK na mbabe Sunny Deol. Hili bifu lilianzia kwenye Ile filamu ya Darr iliyotoka mwaka 1993 iliyowakutanisha Sunny Deol aliyecheza kama...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu asema Nchi haiwezi kupigwa Tsh. 30 Trilioni wakati Bajeti yetu haivuki Tsh. Trilioni 50, Mpina asema Waziri hajui lolote

    Mbunge Mpina asema hii nchi inapigwa kila kona na zaidi ya Tsh. 30 Trilioni zimepigwa na nyingine zimesafirishwa/ kutoroshwa nje ya nchi. Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba PhD amesema anachosema Mpina hakiwezekani kwa sababu Bajeti ya nchi haizidi tsh 50 trilioni. Mpina ameomba Waziri Dr...
  10. JamiiForums Tanzania Sekta ya Madini Kuchangia Pato la Taifa kwa Asilimia 10 Ifikapo Mwaka 2025

    Hatua hiyo inataokana na mikakati mbalimbali ikiwemo kufanya mabadiliko ya Sheria ya Madini ya mwaka 2010, yaliyotekelezwa mwaka 2017, hivyo kuundwa Tume ya Madini. - Mikakati hiyo imebainishwa na Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba alipozungumza na waandishi wa habari...
  11. JamiiForums Tanzania Haya ndio maisha halisi ya familia zetu hasa msimu huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka

    Jinsi ya kujitambua kuwa wewe ni paratrooper msimu huu wa sikukuu za Christmas na mwaka mpya 1. Ni pale vikao vya familia vitakapoanza bila kujali uwepo wako na vikaweza kuendelea hata ukisusa. 2. Ni pale utakuwa mtu pekee atakayehitajika wakitaka kuchinja mbuzi au kufanya shughuli yoyote...
  12. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Memory card ya simu yako ya 5MB mwaka 1956 ilikuwa ni sawa na mzigo wa tani za kutosha!

    Angalia picha ya memory ya 5MB ikisukumwa kuwekwa kwenye ndege kusafirishwa.
  13. JamiiForums Tanzania Makonda: Waziri akayekaa Robo Mwaka bila ripoti ya kazi atachukuliwa hatua

    Akizungumza katika hafla ya kukaribishwa jijini Dodoma, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema kutokana na Serikali kutenga Bajeti kwaajili ya miradi ya Maendeleo kwaajili ya Wananchi, Chama kinawataka Mawaziri kuwasilisha Ripoti ya kazi zao katika...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mwaka unaisha hivyo, je umefanya kipi ulichopanga?

    Wadau, Mwaka ndo hivyo unayoyoma,zimebaki majuma kadhaa kabla ya kuagana na 2023,kwa upande wangu nilipanga atlist nimiliki kiwanja kweli Mungu mwema nao na miliki ardhi yangu niliyoipata kwa jasho langu. Eneo ni kubwa zaidi ya robo heka,sasa ngoja nijipange mwaka nianze kujenga taratibu...
  15. JamiiForums Tanzania Yanga ni Klabu Bora Afrika kwa Mwaka 2022/2023 ndio maana imeingia kwenye Tuzo za CAF!

    CAF wanathibitisha ubora wa Yanga kivitendo ndio maana wameiteua kuingia kwenye tuzo zao za kuchagua Timu Bora barani Africa kwa mwaka 2023. Yanga ni timu pekee kwa Ukanda wa Africa Mashariki iliyoingia kugombania tuzo hizo! Yanga hawakuingia kwa bahati mbaya bali wamebebwa kwa mafanikio yao...
  16. JamiiForums Tanzania Nimeamini Maisha si kombolela, nimepata akiba ya Tsh. Milioni 14.7 mwaka huu

    Mwaka huu nimejitesa sana aisee. Kifupi mshahara wangu ni 900k take home. Niliamua kujitusu kwa mwaka huu kwa kila mshahara niupatao nasevu 600k nilianza kama utani vile pia kazini kuna allowance mbalimbali za kukuwesha kusongesha maisha kwa mwezi ukipambana vizuri 300k hukosi mbali na mipigo...
  17. JamiiForums Tanzania ZaiyLissa anaweweseka na penzi la Mingoclassic mwaka huu kitawaka moto kati yake na Luludiva

    Aliyewahi kuwa mpenzi wa dulla makabila ,ZaiyLissa bado anaweweseka na penzi la aliyewahi kuwa mpenzi anayekulikana kama Mingoclassic. Tangu awali wengi tulishajua Zai na Dulla hawatadumu yani ilikuwa suala la muda tu ndio maana hata ndoa yao kuvunjika ndani ya siku 45 tu haikutushtua sana na...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro: Tamasha la Kabila la Wamatengo Kufanyika Kila Mwaka

    WAZIRI DKT. NDUMBARO: TAMASHA LA KABILA LA WAMATENGO KUFANYIKA KILA MWAKA Tamasha la Utamaduni wa kabila la Wamatengo Mkoani Ruvuma litafanyika kila mwaka ili kutangaza utamaduni wa kabila hilo na Mkoa wa Ruvuma ndani na nje ya Tanzania. Hayo yameelezwa Oktoba 30, 2023 na Waziri wa Utamaduni...
  19. JamiiForums Tanzania Wasanii 8 Kutoka Bongo Waliozaliwa Kuanzia Mwaka 2000 Kwenda Juu

    Tusipoteze Muda Twende Moja Kwenye Moja Kwenye Majina Yao 1. Abigail Chams - Kazaliwa May 7, 2003 Label : Rockstar Africa 2. Yammi - Kazaliwa May 12, 2002 Label : The African Princess 3. Bruce Africa - March, 2000 Label : I AM Music 4. Cherry - July, 2000 Label : Bxtra Records 5. Anjella...
  20. JamiiForums Tanzania Binti wa dukani alitafutiwa kazi hii kwa taabu sana ila cha ajabu hajamaliza hata mwaka ana mimba, Ntalaumiwa nikiweka binti mwengine?

    Binti alifika dukani mwezi wa kwanza mwaka huu, Ni binti ambae sijawahi kuwa na tatizo nae kasoro hivi karibuni Siku ya ambayo duka halifunguliwi / mapumziko huwa ni Jumapili lakini kwa sasa hali imebadilika, Kwa takribani wiki 5 mfululizo zilizopita ni lazima siku moja wapo kati ya Jumatatu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…